MZAWA TV Online
MZAWA TV Online
  • Видео 2 161
  • Просмотров 2 087 191

Видео

WAKAZI NJOMBE WAMSHUKURU RAIS DKT SAMIA KWA KUPATA GESI KWA BEI NAFUU
Просмотров 294 часа назад
WAKAZI NJOMBE WAMSHUKURU RAIS DKT SAMIA KWA KUPATA GESI KWA BEI NAFUU
ZAIDI YA MILIONI 244 ZIMETOLEWA KWA WATUMIAJI WA YAS , FANYA MIAMALA USHINDE GARI , FEDHA AU SIMU
Просмотров 597 часов назад
Na Mwandishi Wetu. January 3,2025, Mtandao namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali YAS - Tanzania, wameufungua mwaka kwa kukabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa Kampeni ya “Magift ya kugift” kwenye DROO 8, Ikumbukwe katika Kampeni hii zawadi zinazotolewa ni Garu 2 MPYA , Pesa Milioni 1 - 50 na simu Janja Sita kila siku. Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hizo kwa washindi M...
WENJE: SIWEZI NIKANUNA LISSU AKICHAGULIWA KUWA MWENYEKITI, NITATENGENEZA MAHUSIANO YA KUFANYA KAZI
Просмотров 4349 часов назад
#MZAWATV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►RUclips: ruclips.net/channel/UCAhS5pmrfUuOo0drPOGjPqQ ►INSTAGRAM: mzawaonline ►TWITTER: mzawablog ►FACEBOOK: mzawabog ►WEBSITE: mzawa.co.tz/
ANZA MWAKA 2025 KWA KUSHINDA GARI JIPYA NA FEDHA HADI MILIONI 10 KUTOKA YAS ... TAZAMA VIDEO HII
Просмотров 17День назад
ANZA MWAKA 2025 KWA KUSHINDA GARI JIPYA NA FEDHA HADI MILIONI 10 KUTOKA YAS ... TAZAMA VIDEO HII
WASANII KUFANYA SHUGHULI BILABUGHUDHA KUPITIA MAKUBALIANO YABASATA NA TRA
Просмотров 115День назад
WASANII KUFANYA SHUGHULI BILABUGHUDHA KUPITIA MAKUBALIANO YABASATA NA TRA
TBS WATOA ELIMU YA VIWANGO KWA WAWEKEZAJI , WAJASIRIAMALI NA WAFANYA BIASHARA PWANI
Просмотров 2114 дней назад
TBS WATOA ELIMU YA VIWANGO KWA WAWEKEZAJI , WAJASIRIAMALI NA WAFANYA BIASHARA PWANI
TAZAMA VIDEO HII USHINDE GARI , PESA HADI MILIONI 10 NA SIMU JANJA KAMPENI YA MAGIFTI YA KUGIFTI
Просмотров 3014 дней назад
TAZAMA VIDEO HII USHINDE GARI , PESA HADI MILIONI 10 NA SIMU JANJA KAMPENI YA MAGIFTI YA KUGIFTI
TBS WATOA WITO KWA WAFANYA BIASHARA NA WAJASIRIAMALI KUHAKIKI UBORA WA MIFUMO NA BIDHAA ZAO
Просмотров 2614 дней назад
TBS WATOA WITO KWA WAFANYA BIASHARA NA WAJASIRIAMALI KUHAKIKI UBORA WA MIFUMO NA BIDHAA ZAO
KATAVI YANUFAIKA NA UPATIKANAJI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Просмотров 2014 дней назад
KATAVI YANUFAIKA NA UPATIKANAJI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
WAKULIMA WA KAGERA NA SIMIYU WAVUNJA REKODI WAONDOKA NA ZAWADI ZA VUNA NA MIXX BY YAS
Просмотров 3621 день назад
WAKULIMA WA KAGERA NA SIMIYU WAVUNJA REKODI WAONDOKA NA ZAWADI ZA VUNA NA MIXX BY YAS
MIXX BY YAS WA KWANZA TANZANIA KUWALIPA WAKULIMA WA HEWA UKAA ( CARBON )
Просмотров 2921 день назад
MIXX BY YAS WA KWANZA TANZANIA KUWALIPA WAKULIMA WA HEWA UKAA ( CARBON )
KAMPUNI YA YAS WABADILISHA MAISHA YA DADA WA KAZI ZA NDANI , ASHINDA MILIONI 10 MAGIFTI YA KUGIFTI
Просмотров 3221 день назад
KAMPUNI YA YAS WABADILISHA MAISHA YA DADA WA KAZI ZA NDANI , ASHINDA MILIONI 10 MAGIFTI YA KUGIFTI
LISSU ADAI UTARATIBU MPYA NDANI YA CHADEMA
Просмотров 19921 день назад
LISSU ADAI UTARATIBU MPYA NDANI YA CHADEMA
EQUITY BENKI NA ADC KUWAWEZESHA MIKOPO WANAWAKE WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI.
Просмотров 5021 день назад
EQUITY BENKI NA ADC KUWAWEZESHA MIKOPO WANAWAKE WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI.
YAS MTANDAO WENYE INTANETI YA KASI ZAIDI , WASHINDA TUZO KWA MARA YA PILI MFULULIZO
Просмотров 6821 день назад
YAS MTANDAO WENYE INTANETI YA KASI ZAIDI , WASHINDA TUZO KWA MARA YA PILI MFULULIZO
CHADEMA YATOA MAAZIMIO MAZITO MUDA HUU
Просмотров 1 тыс.28 дней назад
CHADEMA YATOA MAAZIMIO MAZITO MUDA HUU
TAMASHA LA KASWIDA KUTIKISA JIJI TAREHE 29/ 12 / 2024 MAALIM MAPE AELEZA
Просмотров 5728 дней назад
TAMASHA LA KASWIDA KUTIKISA JIJI TAREHE 29/ 12 / 2024 MAALIM MAPE AELEZA
KABLA HUJANUNUA MABATI , NONDO NA VIFAA HIVI VYA UJENZI ZINGATIA HAYA , TBS WATOA ELIMU KWA KINA.
Просмотров 19328 дней назад
KABLA HUJANUNUA MABATI , NONDO NA VIFAA HIVI VYA UJENZI ZINGATIA HAYA , TBS WATOA ELIMU KWA KINA.
TBS WATOA UTARATIBU MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA VIFAA HIVI VYA UMEME.
Просмотров 7528 дней назад
TBS WATOA UTARATIBU MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA VIFAA HIVI VYA UMEME.
WAFANYA KAZI 16 WA KAMPUNI YA YAS WAFIKA KWENYE KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO
Просмотров 2128 дней назад
WAFANYA KAZI 16 WA KAMPUNI YA YAS WAFIKA KWENYE KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO
ACT WAZALENDO WAHITAJI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KURUDIWA UPYA
Просмотров 13928 дней назад
ACT WAZALENDO WAHITAJI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KURUDIWA UPYA
KAMPUNI YA YAS WAWAKUMBUKA WENYE MATATIZO YA MACHO MKURANGA , HUDUMA NI BURE
Просмотров 6728 дней назад
KAMPUNI YA YAS WAWAKUMBUKA WENYE MATATIZO YA MACHO MKURANGA , HUDUMA NI BURE
DC SHEKIMWERI ASHUHUDIA JITIHADA ZA MIXX BY YAS KUKUZA SEKTA YA KILIMO NCHINI
Просмотров 928 дней назад
DC SHEKIMWERI ASHUHUDIA JITIHADA ZA MIXX BY YAS KUKUZA SEKTA YA KILIMO NCHINI
UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI , GARI AU SIMU KUTOKA MTANDAO WA YAS
Просмотров 3528 дней назад
UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI , GARI AU SIMU KUTOKA MTANDAO WA YAS
TBS WAPATA CHETI CHA UMAHIRI KATIKA HUDUMA YA UTHIBITISHAJI WA UBORA WA BIDHAA KUTOKA SADCAS
Просмотров 100Месяц назад
TBS WAPATA CHETI CHA UMAHIRI KATIKA HUDUMA YA UTHIBITISHAJI WA UBORA WA BIDHAA KUTOKA SADCAS
PROF. MUSHI ASHANGAZWA NA VIPAJI VYA DIT KATIKA SAYANSI NA TEKNOLOJIA , MAHAFALI YA 18
Просмотров 60Месяц назад
PROF. MUSHI ASHANGAZWA NA VIPAJI VYA DIT KATIKA SAYANSI NA TEKNOLOJIA , MAHAFALI YA 18
TAZAMA VIDEO HII USHINDE GARI , MAGIFTI YA KUGIFTI AWAMU YA PILI
Просмотров 24Месяц назад
TAZAMA VIDEO HII USHINDE GARI , MAGIFTI YA KUGIFTI AWAMU YA PILI
DIT WATOA TUZO KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA TAALUMA NA UBUNIFU
Просмотров 41Месяц назад
DIT WATOA TUZO KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA TAALUMA NA UBUNIFU
SERIKALI YAWAKUMBUKA WANACHI YATOA RUZUKU YA GESI KWA BEI NAFUU
Просмотров 34Месяц назад
SERIKALI YAWAKUMBUKA WANACHI YATOA RUZUKU YA GESI KWA BEI NAFUU

Комментарии

  • @EtiminSadallah
    @EtiminSadallah День назад

    Wajumbe hawajielewi unaongea nao wanaongea au wamekudhalau

  • @LucyMatheW-o5k
    @LucyMatheW-o5k День назад

    Niko na ww mwanangu 😂😂 Binti mkupete

  • @SAIDAMAKUBI-j1f
    @SAIDAMAKUBI-j1f День назад

    Kwa hiyo pcB hana sifa??

  • @KornelJohn
    @KornelJohn 2 дня назад

    Utalweza kupambana ccm

  • @PoliteJustine-s9z
    @PoliteJustine-s9z 2 дня назад

    Huyu jamaa anaweza mapambano kweli?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 дня назад

    Nguo nyekundu kama Waganga wa kienyeji

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 дня назад

    Nguo nyekundu kama Waganga wa kienyeji

  • @AgustnoBoaz-m4m
    @AgustnoBoaz-m4m 2 дня назад

    Harakati za mwenyekiti Mr Mbowe ni kufanya siasa za kuigiza

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 6 дней назад

    Kila la kheri mama ❤❤❤

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 6 дней назад

    Hivi tuko pemba au mmetuletea Kipemba Tanganyika? Kiuswahiliswahili. Kizimkazi maana yake ni nini? Tusikubali kugubikwa kisiasa kwa kupewa kijikanga. Tunahitaji maendeleo ya kweli si yakupambishwa kwa siku moja. Tunahitaji elimu bora kwa wote ili watu wajitambue na kujiunga katika barakayı ya maendeleo ya kudumu yao na watoto wao. Si visherehe vya siku moja na unarudi kwenye umaskini titili. Chagua maendeleo bora ya kudumu na shirikishi.

  • @victoriaabby-y7c
    @victoriaabby-y7c 6 дней назад

    Akili kubwa

  • @barackbaraka7271
    @barackbaraka7271 10 дней назад

    ❤❤❤

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 11 дней назад

    Unaongea sana broo,punguza unnecessary stories,zinapunguza credibility yako

  • @ukululegeorge9309
    @ukululegeorge9309 11 дней назад

    Hoja ya Lisu ni sahihi kabisa

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 11 дней назад

    Chadema nendeni na lissuuu,

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 11 дней назад

    Eti Siri? Haahaa chadema wamepoteza dira.Mnaficha nn?😂

  • @matiredms917
    @matiredms917 11 дней назад

    Wewe ni barakala na mvurugaji. Utafanikiwa kuivuruga CHADEMA lakini hakika utaangamia kwenye hila zako hizo.

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 11 дней назад

    Mbowe alifanya kazi na wajumbe wa ajabu sana. Mtu alikuwa hospitali Ubelgiji amerudi kuja kushawishi wenzake kuuwa chama chake. Tabia zake kama wanafunzi wa std 1 na awali wanaolalamika hovyo

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 11 дней назад

      Wakipinga haya ya lissu chadema watakosa uhalal wa kuikosoa ccm

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 11 дней назад

    Lisu ni bure kabisa!

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 11 дней назад

      Kwa majizi na wala rushwa lissu ni bure kweli

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 9 дней назад

      Mungure wewe ndiye mbowe? maana unapenda mambo yawe Siri!!

  • @josephmagige874
    @josephmagige874 11 дней назад

    Kumbe mbowe alikuwa anakifanyia biashara chama.Hafai

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 11 дней назад

    CAG alitoa hati Bora ya fedha za chama. Je, kama mnachangiwa Hela na wanachama na marafiki wa chama Giza ni lipi maana hamna miradi? Wewe ni kiongozi mtata huwezi kuongoza chochote, unastahili kutetea kesi mahakamani tu

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 11 дней назад

    Nimechoka kusikia mpaka Salum Mwalim ni team Mbowe?

  • @davidchambulila6318
    @davidchambulila6318 11 дней назад

    Tundu lissu anatoa elimu juu ya chadema kama taasisi na nini mwenyekiti amekifanya na yeye atafanya nini

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 11 дней назад

    Correct Lissu!

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 11 дней назад

    Laiti kama CHADEMA watafuata na kuzingatia ushauri na mawazo ya huyu jamaa (Tundu Lissu) basi watafika mbali sana. Lakini wakikaa na viongozi hawa wanafiki, waongo ongo, wala rushwa na wapenda mambo ya gizani waliopo chini ya Freeman Mbowe na pengine aweza kuendelea, basi hawatafika popote tena!

    • @SeyangaSudi-r6u
      @SeyangaSudi-r6u 11 дней назад

      Jamaa ana vicean ya hq!anajua mpaka anapitiliza na kwa wanasiasa wote wa wkt huu hakuna anaemuweza bonge la kiongozi ukiachilia hakuna binadamu aliekamilika anajua kudadavua hoja clea kazi kwenu wanachama wa chadema mbowe hamuwezi hata therusi na Wala sio level yake bila makando kando ya mbowe with washirika wake mapemaaaaaa anapigwa kwa kura nyingi sana na anapata aibu ya kijinga

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 11 дней назад

    Martin Luther King, Castro, Che Guevara, Krutchev, Patrice Lumumba, Nasser, PLO Lumumba, Julius Malema, Mandella, Steave Biko, Samora Machel, Walter Rodney, Thomas Sankara, Mao tse Tung. Sasa wanamapinduzi kanda ya tanzania: Nyerere, Karume, Sokoine, Abdulrahman Babu, Kawawa, Ponda Issa Ponda, Sheikh Kadogoo, Nkindikwa, Sativa, Lissu, Heche, Lema, Abdul Nondo, Pambalu, Mwabukusi, Madereka, Mdude, Max Machumu, Aida Kenani, Bishop Mpemba, Ismail Jussa.

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 11 дней назад

      Mtoe Malema, anasapoti ushoga

    • @MsabahAli-d6u
      @MsabahAli-d6u 11 дней назад

      Engeza Maalim Seif hapo kaka

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn 11 дней назад

      Asante kwa kufuatilia orodha hiyo. Naam Maalim Seif nakubali alikuwa mpambanaji. Ataongezwa. Mwingine kanishauri nimtoe Julius Malema, kisa: anaunga mkono ushoga! Kazi kubwa zaidi katika juhudi hii ni ile orodha ya upande wa pili ya wapinga mapinduzi. Inabidi ujasiri kuwataja na vigogo walioko katika mfumo fisadi wa sasa unaolitesa taifa letu!

  • @AhmadLodi-e8x
    @AhmadLodi-e8x 12 дней назад

    Sawa mr Lisu unatueelimisha vyema

  • @PeterNaftalkichere-bm2wp
    @PeterNaftalkichere-bm2wp 12 дней назад

    Mimi ni mkeleketwa wa chadema takribani miaka alubaini namzidi huyo mboe chama sio mali yake ni mali ya watanzani wote hata na wana ccm,aachie unga'ng'anizi anatosha kwa alio yafanya kwa kipindi chake

  • @CharlsMlaki
    @CharlsMlaki 12 дней назад

    Nampendekeza John Heche

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 12 дней назад

    Mbona Mbowe haongei tokea achukue fomu?? Huyu kila siku yupo hewani! Mara club house mara mitandao ya kijamii! Ajifunze kunyamaza wakati uongee! Mdomo huponza kichwa!😢😢😢

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 12 дней назад

    Lisu acha kulialia

  • @AbdulrazaqMadenge
    @AbdulrazaqMadenge 12 дней назад

    Nakuelewa sana kamanda

  • @juliasmtundu442
    @juliasmtundu442 12 дней назад

    Tutanue.uwigo WA wawa PIGA kula.ktk uchagizi WA kuchagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 12 дней назад

    Maswali ya msigwa kuhusu matumiz ya pesa ndani ya chadema alippoulizwa lisu kuhusu maswali ya msigwa lisu alisema hoja za msigwa zijibiwe hadharani naanza kulewa kwann msigwa alihama chadema, kwann msigwa alipoongelea swala matumiz mabaya ya fedha ndan ya chadema alisema hoja zake zijibiwe huu mjadala wa lisu naanza kuelewa kwann heche ,lema, wapo kimya, wale wazee akina lwaitama wapo kimya kuna mambo meng nyuma ya hili

    • @gadielmungure9711
      @gadielmungure9711 11 дней назад

      Kiongozi asiye na nidhamu atawezaje kuongoza nidhamu ktk chama? Rushwa Lisu hajataja waliopokea kwa Abduli na kiasi cha kila aliyepokea. Kama wazee hawapo uligombea kwa sababu Gani? Lisu ni ndumila kuwili. Kutokubaliana maridhiano ugomvi wa Nini? Lisu ni mshari sana anataka ubabe. Unasema hamkuambiwa yote ya rais na mbowe je hata yasiyohusu chama unataka uambiwe? Kama ccm iliwadanganya na kukataa kwa maandishi mkathitisha wote unabwabwaja maneno ya Nini? Kama walibisha maridhiano kwenye vikao ccm ikakataa mnalalamikia nini?

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 11 дней назад

      Chadema inabidi isafishwe

  • @MadieMtimbuka
    @MadieMtimbuka 12 дней назад

    Jamaa wamekuwa wa mitandao kila wakati yy

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 12 дней назад

    Huyu jamaa hayupo sawa hafahamiki

  • @alphoncembassa6401
    @alphoncembassa6401 12 дней назад

    Hii ndiyo katiba yetu na siyo siri kusema katiba iliyoko

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 12 дней назад

    Ccmilishachoka mda ilishabakia kuchonganisha tu vyama vya upinzani wanatafuta huruma kwa wanancha na sisi wananchi hatuna habari nao maana toka uhuru ni salakasi tu kwa wananchi.chama kitakachokuja kuikomboa tanzania ni chadema

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 12 дней назад

    Mahusiano nakumbuka msiba wa lowassa mbowe alikua anakenua meno na makonda ila lema akakaza Msiba wa kibao mbowe alisimama kuwanyamazisha waliokua wanamzomea shetani yule aliyetumwa na samia kuzungumza Mbowe anavujisha siri za chama

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 12 дней назад

    Lissu anajianika njinsi alivyo mpuuzi anaanika mapungufu ya chama wakati yeye ni makamu mkuu wa chama alitakiwa ayatatue sasa anamlaumu nani anajiondoa kwenye uwajibikaji wa pamoja kama taasisi

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 12 дней назад

      Kwanza lissu ni mgombea..mgombea yeyote hawezi sifu mpinzani wake hata mbowe hawezi msifu lissu Cha pili kama ww unapenda uongo wengine tunapenda ukweli kwahivyo Wacha wapenda ukweli tukae na lissu ww Kaa huko

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 12 дней назад

      Mbowe hata kitakia watu kheri ya x mass kimyaaaa sugu alipost huko insta akafunga sehem ya comment Mbowe hawezi jitokeza kujibu kama lissu anavyojibu maswali

    • @EurogiusClavery-sn2wl
      @EurogiusClavery-sn2wl 12 дней назад

      Ni kiongozi wa taasisi yenye katiba Kwa hiyo Kila kitu anachokifanya kiwe in with the constitution of the party, so kumlaumu lissu ni ujinga na huezi mlaumu Kwa sababu ya ujinga wako

    • @Thevineyard9889
      @Thevineyard9889 11 дней назад

      Mpuuzi ni wewe usiye na uwezo wa kuelewa hoja. Ukiulizwa anajianikaje hata hutaweza kueleza!!

    • @benjaminmfaume9594
      @benjaminmfaume9594 11 дней назад

      Acha Lissu aongee. Ni vema kuwa mkweli maishani. Tundu ni msomi mzuri na ni muwazi kwa kila mtu.unafanyaje siri ufisadi katika chama au nchi. Ukiwa mvivu kusikiliza na kuelewa utapata taabu kuwa sahihi katika kazi zako

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 12 дней назад

    Ila ndungu yang lisu mimi nilikutengemea san, na mdawote wauchaguzi wa urais nilikupa kura yang , mahan nijidanganya una hekima kumbe sivyo. Kwanin mambo mengine ushidwa aje kuyasema ndani ya vikao vya chama ndani? Naukiwa mjumbe wa kamatikuu? Uwe mfanya siasa usiwe manarakati. Mahan chadema ilihisha toka uko. ❤❤❤

    • @ErickyKatunzi
      @ErickyKatunzi 12 дней назад

      We humjui Lissu,vizuri yeye anajibu maswali kukiokoa chama,chama hakina nguvu Sasa hivi mbowe na baadhi ya viongozi wamekula ruswa, na ndiyo maana wanaleta maigizo ndani ya chama. Watu Sasa hivi wanahitaji kiongozi asiye mwizi na mpiga dili.mbowe nimpiga dili.anakidalalia chama.

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 12 дней назад

      Kwan kipi kibaya amekisema

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 12 дней назад

      Wewe siyo timu chadema ni timu ccm usituhalibie siku sisi nyokoro mkubwa,chadema na lisu wetu hawakuhusu kahangaike na hicho chama chenu chakavu cha majambazi.ya chadema yaache Kama yalivyo.

    • @NestoryNyansagah
      @NestoryNyansagah 12 дней назад

      Huo ndo ufikiri wako umefikia

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 12 дней назад

      Shida unaanzia njiani. Sikiliza hotuba zote

  • @sethmlelwa1844
    @sethmlelwa1844 12 дней назад

    Mimi nadhani Lissu anapoteza sifa kila siku hasa baada ya kuanza kwa mchakato huu wa uchaguzi. Ivi na mwingine akianza kusema hivi mambo ya ndani ya Chama kuhusu yeye itakuwaje? Nilimpenda sana lkn hana ki Adam's apple Cha kumsaidia kuchuja mambo. Anajiondoa kabisa kwenye mistakes za Chama wakati yeye ni miongoni mwa viongozi wakuu wa Chama.

    • @ErickyKatunzi
      @ErickyKatunzi 12 дней назад

      Watanzania mnapenda sana kudanganywa,kwakuwa mmezoea uwongo na mnawapenda watu wanaowaongopea,ndiyo maana tupo hapa tulipo. Lissu kanyooka.Siyo mwongo.

    • @BoscoSwedi
      @BoscoSwedi 12 дней назад

      Wenye akili tunamuelewa, uwazi uwazi...

    • @CharlsMlaki
      @CharlsMlaki 12 дней назад

      Wanao mshutumu wote ni watu wezi wenye madhambi

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 12 дней назад

      Ukizoea wizi huwezi kumuwlewa mh Lisu

    • @Thevineyard9889
      @Thevineyard9889 11 дней назад

      Kama huna akili na uelewa, huwezi na hutakuja kumwelewa!!

  • @titusrobert5890
    @titusrobert5890 12 дней назад

    Lissu ulikuwepo kwenye uongozi wote, Leo unataka kutuaminisha nini?.Acha unafiki

    • @ErickyKatunzi
      @ErickyKatunzi 12 дней назад

      Hujui kuwa mtendaji mkuu na mwamuzi mkuu ni mbowe,kwahiyo ndiyo maana wanataka kuwe na ukomo na uwazi na uhuru ndani ya chama.

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 12 дней назад

      Pia alikuwa mwanasheria wa chama.. team mbowe wako field wakipiga kazi kushawishi wapiga kura.... team lissu tupo social media

    • @RwelamiraPascal
      @RwelamiraPascal 11 дней назад

      Titus Kila jambok lina wakati wake muafaka kulieleza au kulitoa nje. Fuatilia nchi zote utaelewa ninachosema.

    • @EmmanueNzilano
      @EmmanueNzilano 11 дней назад

      Ccm mmetoka wpi mnaiuza nchi hii Kwa mkate.

  • @SurprisedCorgi-kn2sm
    @SurprisedCorgi-kn2sm 12 дней назад

    Mwamba yuko sahihi labda nongwa2 zitumike

  • @mathewduxo714
    @mathewduxo714 12 дней назад

    👏👏mwamba anatema cheche!! ❤

  • @Worldunite
    @Worldunite 13 дней назад

    Ikiwa sie tunalipa kodi kwa taabu sana ili maisha yaende, hapohapo kuna hili kundi la wasanii wanakula Bata

  • @TishianoKipwagi
    @TishianoKipwagi 14 дней назад

    Hii siyo ccm

  • @TishianoKipwagi
    @TishianoKipwagi 14 дней назад

    Miaka 20 inatosha kabisa jamaani

  • @charlesmbise2344
    @charlesmbise2344 15 дней назад

    Mbowe my brother,ningefurahi sana ungekaa pembeni

  • @georgemakashi-wh6mg
    @georgemakashi-wh6mg 15 дней назад

    Pumbafu zenu mmeshidwa kumshauli mbowe ajihuzulu ampishe lisu awe mweyekiti