Royal TV
Royal TV
  • Видео 317
  • Просмотров 447 327
CCM Tanga Wazidi kuisambaratisha CHADEMA.
Uongpzi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Tanga umezidi kukibomoa Chama Cha Demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ) Kwenye mkoa huo baada ya Viongozi wake kadhaa ngazi ya mkoa kukohana chama hicho na kujiungq na Chama Cha Mapinduzi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kara ya Makorola Viwanja vya COMMUNITY.
Akipokea kati kutoka kwa Katibu wa CHADEMA mkoa , Mwenyekiti wa Baraza la wanawake ( BAWACHA ) na Diwani Viti maalum Muheza kwa tiketi ya CHADEMA Kwenye mkutano huo Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Ndugu Rajabu Abdurahman Jumma amesena huu ni Mwanzo tu wa kuiaga CHADEMA Kwenye mkoa huo.
Просмотров: 16

Видео

📍JE UNASUMBULIWA NA YA VIUNGO📍 ?🎳
Просмотров 212 года назад
📍JE UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA VIUNGO📍 ? 🎳 Kama Vile Miguu kuwaka moto , Maumivu ya kiuno na mgongo Kwa Muda Mrefu , Nyonga , Magoti N.k. 🎳 Hebu Sikia Hii - Maumivu Ya Viungo Yamekuwa Yakiwasumbua watu wengi hasa Wanaofanya Kazi za Kukaa au Kusimama Kwa Muda Mrefu , Wenye uzito mkubwa , Wanaotumia Dawa za Kutibu Magonjwa Mbali Mbali Kwa Muda Mrefu Hasa Ya Maumivu , Wenye Historia Ya Ajali Mbali...
J.K. NYERERE - Mabwana Wawili.
Просмотров 1022 года назад
J.K. NYERERE - Mabwana Wawili.
"TANZANIA HAINA DEMOKRASIA :- Prof. Kitila Mkumbo.
Просмотров 1222 года назад
PROF. MKUMBO: KATIBA ILIYOPO SIO YA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja. Amesema hali hiyo imechangia kuwa na demokrasia dumavu ambayo inapelekea kuchelewa kwa maendeleo, ambapo amedai kuwa kuna uhusiano wa demokrasia bora na maendeleo Pia ameshauri kuwa K...
Huyu Chama atakuja kuuwa Mtu Siyo Kwa Migoli hii.
Просмотров 382 года назад
Hili holi hapa Goli la Cretus Chama SIMBA dhidi Ya BIASHARA United Benjamin Mkapa Stadium. 04. March. 2022
Serikali Yaamua Kumjibu Josephat Gwajima
Просмотров 283 года назад
*SERIKALI KUPITIA KWA NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE DKT. GODWIN MOLLEL IMEMJIBU MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA KUHUSU UPOTOSHAJI ANAOENDELEA KUUFANYA JUU YA CHANJO YA CORONA.*
Waziri Wa Afya Dr Gwajima atoa Ufafanuzi Muekejeo " UVIKO 19"
Просмотров 113 года назад
*UFAFANUZI WA DKT. GWAJIMA KUHUSU MWELEKEO WA UVIKO-19.* Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima atolea ufafanuzi na kuweka sawa wale wanaodhani ajenda ya Uviko-19 inatofautiana kati ya awamu ya 5 ya Hayati Rais Magufuli na awamu ya 6 ya Rais Samia Suluhu Hassan. Dira ya kupambana na Uviko-19 katika nchi yetu ni moja tu na kwasasa Serikali ya awamu ya 6 inafanyia kazi dira ya awamu ya 5. #Corona in...
Kiungo Wa Simba Jonas Mkude Aomba Radhi
Просмотров 414 года назад
Kiungo Wa Klabu Ya Simba Ya Jijini Dar es Salaam Ameomba Radhi Rasmi Kwa Uongozi , Mashabiki Wanachama na Wapenzi Wote Wa Klabu Hiyo Kutokana na Makosa Ya Utovu Wa Nidhamu Aliyowahi Kuyafanya Kwenye Klabu Hiyo.
Maalim awataka Wapemba Kuheshimu Viongozi Wanaotokana na Ccm.
Просмотров 434 года назад
"Kama tumekubaliana tutende haki basi tutende haki, ikitokea kiongozi akafanya ubaguzi basi ajue tutagombana" Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar
Mgombea Mwenza Wa Urais CUF afanya Balaa Uvinza Kigoma.
Просмотров 324 года назад
Video from Salum
Hotuba Ya Profesa Ibrahim Lipumba Kabla Ya Ukawa Kutoka Nje Ya Bunge la Katiba
Просмотров 6174 года назад
Intatahamwe
MAPOKEZI YA PROFESA LIPUMBA LAA - 13/AUGUST/2020
Просмотров 614 года назад
MAPOKEZI YA PROFESA LIPUMBA LAA - 13/AUGUST/2020
Kingwendu , Bambo na Mtanga Habari Nyingine Uchaguzi Jimbo la Ilala.
Просмотров 4604 года назад
Kingwendu , Bambo na Mtanga Habari Nyingine Uchaguzi Jimbo la Ilala.
MAFURIKO YALITESA JIJI LA DAR ES SALAAM
Просмотров 575 лет назад
MAFURIKO YALITESA JIJI LA DAR ES SALAAM
HOTUBA YA MWENYEKITI BAWACHA "HALIMA MDEE" ALIYOITOA MKUTANO MKUU BAWACHA
Просмотров 1195 лет назад
HOTUBA YA MWENYEKITI BAWACHA "HALIMA MDEE" ALIYOITOA MKUTANO MKUU BAWACHA
JOHN BOKO NA MOHAMMED HUSSEIN SHABALALA WAREJEA KIKOSINI SIMBA S.C.
Просмотров 345 лет назад
JOHN BOKO NA MOHAMMED HUSSEIN SHABALALA WAREJEA KIKOSINI SIMBA S.C.
KOCHA MPYA SIMBA SPORTS ATINGA RASMI MAZOEZINI BUNJU
Просмотров 385 лет назад
KOCHA MPYA SIMBA SPORTS ATINGA RASMI MAZOEZINI BUNJU
MCHEZAJI TIMU YA TAIFA ATOA KALI YA MWAKA NUSURA AANGUE KILIO
Просмотров 125 лет назад
MCHEZAJI TIMU YA TAIFA ATOA KALI YA MWAKA NUSURA AANGUE KILIO
HUYU HAPA KOCHA MPYA SIMBA SPORTS CLUB
Просмотров 445 лет назад
HUYU HAPA KOCHA MPYA SIMBA SPORTS CLUB
KIJIJI CHA KIEGEYA KILOSA WALIA MIRADI KUTOENDELEZWA EDSON MAGWILA
Просмотров 775 лет назад
KIJIJI CHA KIEGEYA KILOSA WALIA MIRADI KUTOENDELEZWA EDSON MAGWILA
MTENDAJI MKUU SIMBA SENZO MAZINGIZA AZUNGUMZIA UJIO WA KOCHA MPYA
Просмотров 225 лет назад
MTENDAJI MKUU SIMBA SENZO MAZINGIZA AZUNGUMZIA UJIO WA KOCHA MPYA
PASCAL WAWA AJIFUA UFUKWENI KUIKABILI YANGA
Просмотров 235 лет назад
PASCAL WAWA AJIFUA UFUKWENI KUIKABILI YANGA
SELEMANI MATOLA AREJEA RASMI KUIFUNDISHA SIMBA
Просмотров 245 лет назад
SELEMANI MATOLA AREJEA RASMI KUIFUNDISHA SIMBA
MKUTANO MKUU SIMBA SPORTS CLUB
Просмотров 3135 лет назад
MKUTANO MKUU SIMBA SPORTS CLUB
MZEE NOMA HUYU , ASIPOANGALIA ANAWEZA KUTAJA HATA SIKU YAKE YA KUFA
Просмотров 2575 лет назад
MZEE NOMA HUYU , ASIPOANGALIA ANAWEZA KUTAJA HATA SIKU YAKE YA KUFA
STENDI KALOLENI UJENZI WAZIDI KUSUASUA
Просмотров 95 лет назад
STENDI KALOLENI UJENZI WAZIDI KUSUASUA
UZINDUZI UWANJA WA SIMBA BUNJU COMLPEX - ANGALIA MASHABIKI WALIVYO PAGAWA
Просмотров 805 лет назад
UZINDUZI UWANJA WA SIMBA BUNJU COMLPEX - ANGALIA MASHABIKI WALIVYO PAGAWA
MZEE DALALI AIBUKIA UZINDUZI UWANJA WA SIMBA SC. BUNJU COMPLEX
Просмотров 195 лет назад
MZEE DALALI AIBUKIA UZINDUZI UWANJA WA SIMBA SC. BUNJU COMPLEX
UWANJA WA SIMBA BUNJU WAKAMILIKA - TAZAMA VIDEO HII HAPA
Просмотров 3065 лет назад
UWANJA WA SIMBA BUNJU WAKAMILIKA - TAZAMA VIDEO HII HAPA
PROF MUSSA ASSAD AKABIDHI RASMI OFISI KWA CAG MPYA
Просмотров 85 лет назад
PROF MUSSA ASSAD AKABIDHI RASMI OFISI KWA CAG MPYA

Комментарии

  • @ghethezahran3393
    @ghethezahran3393 2 дня назад

    Allah awalipe kwa dhulma zao

  • @HassanSalum-w5v
    @HassanSalum-w5v 3 дня назад

    Ubaya wa sultani si wema hawa mbwa karume nyerere na hawa ccm wamerithi unyama wa wazee wao

  • @maase2023
    @maase2023 8 дней назад

    Dhuluma tupu hii

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 10 дней назад

    dhulma haidumu ikidumu huangamiza na kiukweli zanzibar au africa ya mashariki ni vigumu kuendelea au kupiga hatua… sababu ya unafiki

  • @MishaHass
    @MishaHass 13 дней назад

    Wahaini ni nini jamanii

  • @parmukhsinghhoogan3669
    @parmukhsinghhoogan3669 18 дней назад

    Hawa walichuuzwa na watu wetu wa hapa na walipandishwa vyeo kutokana na mambo haya msiyafiche wengine tulikuwepo hapo

  • @hamadmkasha6998
    @hamadmkasha6998 19 дней назад

    Maendeleo ya watu yanaenda sambamba na upatikanaji wa huduma za jamii hem kwa anejua tunaomba twakwimu za upatikanaji wa huduma za jamii kutoka mwaka alotawala sultani hadi 19964 na kutoka mwaka 19964 Hadi sasa

  • @hamadmkasha6998
    @hamadmkasha6998 19 дней назад

    Zaidi ya mamia ya miaka yaliteketea znz ikiwa chini ya utawala wa sultan, tujiulize znz alioiacha sultan alieitawala kwa mamia ya miaka ni sawa na hii tuliyoitawala wenyewe kwa miaka 61 tu. Kiukweli pasipo siasa za chuki znz hii sio ile aloiacha sultan miaka 61 iliyopita, kwenye elimu mashule kila shehia, kwenye afya vituo vya afya kila shehia. Umeme kila shehia, maji kila shehia , barabara kila shehia, masoko kila pahala, usafiri wa kila aina n.k n.k n.k

    • @msafirindiyembuke5168
      @msafirindiyembuke5168 9 дней назад

      Kwa hio maendeleo ni kumwaga damu za wanyonge Yeye mwenyewe karume kafaje?

  • @hamadmkasha6998
    @hamadmkasha6998 19 дней назад

    Wkt wa utawala wa sultan maendeleo na huduma za jamii zilipelekwa ktk maeneo ambayo sultan na jamii nyengine za kigeni zilikuwa zinaishi (elimu, afya, maji, umeme, makazi n.k ) na hilo lipo waz linaonekana na kila mtu. Angalia mji mkongwe unguja, chakechake na wete kwa pemba utakuta ni sehem pekee kulikwa na makaazi mazuri na huduma za jamii. Hivi ukitoa maeneo hayo kwa mfano maeneo mengine yote ya ng'ambo , shamba na vijijini kulikuwa hakuishi watu??

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 15 дней назад

      Nyumba hujengwa na wananchi, na kawaida Dunia nzima mijini huwa na majumba mazuri na huduma nyingi kuliko vijijini. Sasa kwa mfano Dar es salaam huwezi fananisha na Morogoro au kigoma

  • @LevyPhares
    @LevyPhares 20 дней назад

    Very good 👍 👏 👌 😀 ☺️ 🙌 👍 👏

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 29 дней назад

    Ndio maana laana huyu alikufa kifo kibaya kabisa

  • @mr.monstertz1546
    @mr.monstertz1546 Месяц назад

    Makaburi kujenga si haramu

  • @AlfredMataro-w3q
    @AlfredMataro-w3q 5 месяцев назад

    Nihatar mla weito😅

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 5 месяцев назад

    Hapo hapakua na wahaini ni uongo mtupu zilikua ni chuki na kesi za kubambikizwa kama ilivyo karne hii ya vyama vingi wapinzani wamebambikiziwa kesi za kijinga na uongo lkn na yeye alikiona cha mtema kuni alionya mauti ya risasi kama alivyo kua akiua

  • @NzaliIgnas
    @NzaliIgnas 7 месяцев назад

    Napenda sana kabira rangu ireen mgaya

  • @Sultan-o7m9s
    @Sultan-o7m9s 9 месяцев назад

    Sikukuwepo Ila Nataka Kujua kwanini watu walikuwa wanasheherekea....?

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 10 месяцев назад

    Akhera haiko mbali

  • @adefemimafe85
    @adefemimafe85 Год назад

    😂😂😂😂

  • @AnnoyedDivingBoard-ep1wf
    @AnnoyedDivingBoard-ep1wf Год назад

    Hakika ya uislamu usingeujua ndugu yangu na wala usingeitwa masoud kwani hao warabu ulipandikizwa chuki ndio waliokuja kuufundisha uislamu Zanzibar

  • @AsiaAyubu-e2i
    @AsiaAyubu-e2i Год назад

    Kama ww ni 2akanda maalum weka makopa❤❤

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Год назад

    Hongera sana

  • @kenedyababu2571
    @kenedyababu2571 Год назад

    Ai!! Amagoro gayo monaweito 🤭🤭🤭

  • @chachaE1992
    @chachaE1992 Год назад

    😂

  • @DavisShilale-rt4vl
    @DavisShilale-rt4vl Год назад

    Wa zungu kupita selekari wametualibia Mila zetu

  • @wizzditto747
    @wizzditto747 Год назад

    Hii ndio tatizo la vinchi vidogo maskini vinavyoongozwa na ngozi nyeusi maskini

  • @MwitaJunior
    @MwitaJunior Год назад

    Mcheza kwao hutunzwa ❤❤

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 Год назад

    Mm sina msemo ila ALLAH Hajaghafilika tuna subiri siku yahukumu tukaone haki

  • @ShamimuMgassa-hv7ef
    @ShamimuMgassa-hv7ef Год назад

    Nimemiss sana

  • @ramadhanmussa673
    @ramadhanmussa673 Год назад

    Wameondoshwa mabepari wamekaa mafisadi

  • @Marjeby
    @Marjeby Год назад

    Kuma ya mama yake karume mungu hawezi kumsamehe

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 5 месяцев назад

      Sasa wewe unataja jina la Mungu na matusi juu

    • @nassirali7499
      @nassirali7499 25 дней назад

      Mungu akusamehe ww kwa matusi uliyoyamwaga mtandaoni

  • @yassirsuleiman7804
    @yassirsuleiman7804 Год назад

    إنا لله وإنا إليه راجعون الله أكبر

  • @DaudiMwita-uj7yx
    @DaudiMwita-uj7yx Год назад

    Viva nyansurumunti ndio home by mng'ang'a mwikwabe ngoreme boy

  • @Kevjoseful
    @Kevjoseful Год назад

    Sio Ritungu

  • @Lillies78
    @Lillies78 Год назад

    Safi sana Tarime moja.

  • @mbanjenyambega2525
    @mbanjenyambega2525 2 года назад

    asili yetu iyoooo

  • @robbymnanka5461
    @robbymnanka5461 2 года назад

    Mhoji ✊

  • @bathromeomwanyonga9535
    @bathromeomwanyonga9535 2 года назад

    Wewe nimlembo umependeza

  • @jackanmrambakichoi7683
    @jackanmrambakichoi7683 2 года назад

    Mtu hungoja asifiwe sio kujisifu......ona sasa

  • @nurusuleiman1091
    @nurusuleiman1091 2 года назад

    MashaAllah asante sana sheikh

  • @mudathirmasoud4515
    @mudathirmasoud4515 2 года назад

    musiseme inasikitisha waarabu wametufanyia mengi mabaya hemu fikirieni

    • @hamudydudy9785
      @hamudydudy9785 2 года назад

      The Arab brought you islam

    • @muddaththirhamoud1240
      @muddaththirhamoud1240 2 года назад

      Usijisemee tu mambo usiyo yajua

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 2 года назад

      Wamekufanya nini waarabu

    • @hamudydudy9785
      @hamudydudy9785 2 года назад

      @@muddaththirhamoud1240unacheka nini wewe nyani . naona jinsi ulivyo bado katika Jahiliya. bado ungekuwa unakula nyani na usingejua jinsi ya kufuta punda wako haywan

    • @hamudydudy9785
      @hamudydudy9785 2 года назад

      @@muddaththirhamoud1240 wewe ni mjinga. mapinduzi yako yalifanywa na makafiri kuwauwa maulamaa wote ili ubaki kuwa punda na muislamu yeyote anayeshirikiana na makafiri kuua waislamu yuko nje ya uislamu

  • @josephsuma1201
    @josephsuma1201 2 года назад

    Safi sana dogo kazi nzur ndg

  • @humisinyamieli9758
    @humisinyamieli9758 2 года назад

    Mora mlaze mahali pema kiongozi we2 mzalendo.

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 2 года назад

    Inasikitisha sana

  • @mrugamagweiga6895
    @mrugamagweiga6895 2 года назад

    Magweiga

  • @filipdjod9903
    @filipdjod9903 2 года назад

    Hatukumbuk we nend tu

  • @iddyamana545
    @iddyamana545 2 года назад

    Tunakukumbuka baba Rip chuma mwamba kiboko ya majizi mafisadi

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 года назад

    Mungu akulaze pema peponi inshaallah, Amin 🤲🤲

  • @danikimati8497
    @danikimati8497 2 года назад

    Nikweli hakuna zaidi yako bado

  • @manyankimwita7968
    @manyankimwita7968 2 года назад

    Napenda sana kabila langu

  • @jacksonchacha1603
    @jacksonchacha1603 2 года назад

    Poa kabira langu