- Видео 368
- Просмотров 10 400
SNKD INVESTMENT EVENT'S
Добавлен 29 июн 2020
"COMMITED TO PEOPLE, COMMITED TO THE FUTURE"
KILIMO CHA MCHANGANYIKO WA MIHOGO, MAHINDI KIBITI
KILIMO CHA MCHANGANYIKO WA MIHOGO, MAHINDI KIBITI
Просмотров: 10
Видео
MAHAFALI YA TATU DIMANI SEKONDARI 2024
Просмотров 1814 дней назад
MAHAFALI YA TATU DIMANI SEKONDARI 2024
SNKD INVESTMENT, SKAUTI ZIMBWINI NA DIMANI MAARI YA TATU KATIKA KATA YA DIMANI 2024
Просмотров 5214 дней назад
SNKD INVESTMENT, SKAUTI ZIMBWINI NA DIMANI MAARI YA TATU KATIKA KATA YA DIMANI 2024
Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa 🇹🇿 #SNKD INVESTMENT
Просмотров 3021 день назад
Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa 🇹🇿 #SNKD INVESTMENT
SNKD INVESTMENT KUTAMBUA, KUBAINI KUTANGAZA NA KUENDELEZA (4K)VIPAJI
Просмотров 628 дней назад
SNKD INVESTMENT KUTAMBUA, KUBAINI KUTANGAZA NA KUENDELEZA (4K)VIPAJI
MKAGUZI KATA DIMANI & I/C DAWATI LA JINSIA WILAYA YA KIBITI NDANI YA 90.7 RUFIJI F. M
Просмотров 3328 дней назад
MKAGUZI KATA DIMANI & I/C DAWATI LA JINSIA WILAYA YA KIBITI NDANI YA 90.7 RUFIJI F. M
TECHNOLOGY SNKDINVESTMENT KATIKA KUHAMASISHA MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Просмотров 13Месяц назад
TECHNOLOGY SNKDINVESTMENT KATIKA KUHAMASISHA MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
4K KUTAMBUA KUBAINI KUTANGAZA NA KUENDELEZA VIPAJI KUPITIA TAASISI BINAFSI SNKD INVESTMENT
Просмотров 36Месяц назад
4K KUTAMBUA KUBAINI KUTANGAZA NA KUENDELEZA VIPAJI KUPITIA TAASISI BINAFSI SNKD INVESTMENT
TUPATE WADHAMINI KIDOGO KUTOKA SNKD INVESTMENT 25.12.2024
Просмотров 19Месяц назад
TUPATE WADHAMINI KIDOGO KUTOKA SNKD INVESTMENT 25.12.2024
KWA MARA YA KWANZA KANISA WAKALI WA DANCE KUTOKA RUFIJI WAKUTANA NA MKURUGENZI WA SNKD INVESTMENT T5
Просмотров 25Месяц назад
KWA MARA YA KWANZA KANISA WAKALI WA DANCE KUTOKA RUFIJI WAKUTANA NA MKURUGENZI WA SNKD INVESTMENT T5
TUNAMALIZA MWAKA 2024 TUNAPOKEA 20245 #MWL. MICHAEL AHSANTE MUNGU
Просмотров 17Месяц назад
TUNAMALIZA MWAKA 2024 TUNAPOKEA 20245 #MWL. MICHAEL AHSANTE MUNGU
YATOKANAYO NA BIBI TITI MEMORIAL FESTIVAL 2024
Просмотров 6Месяц назад
YATOKANAYO NA BIBI TITI MEMORIAL FESTIVAL 2024
TUWALINDE _SNKD INVESTMENT KATIKA BIBI TITI MEMORIA FESTIVAL 2024
Просмотров 34Месяц назад
TUWALINDE _SNKD INVESTMENT KATIKA BIBI TITI MEMORIA FESTIVAL 2024
kupinga Ukatili kupitia bibi memorial 2024 na askari kata Dimani 14.12.2024
Просмотров 15Месяц назад
kupinga Ukatili kupitia bibi memorial 2024 na askari kata Dimani 14.12.2024
Ushirikishwaji katika jamii unatuleta Karibu na jamii
Просмотров 19Месяц назад
Ushirikishwaji katika jamii unatuleta Karibu na jamii
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SIKU YA 10.12.204 MAADHIMISHO YA KUPINGA UKATILI WILAYA YA KIBITI SNKD
Просмотров 62Месяц назад
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SIKU YA 10.12.204 MAADHIMISHO YA KUPINGA UKATILI WILAYA YA KIBITI SNKD
ELIMU YA KUPINGA UKATILI SIKU 16 YATOKANAYO MAAFARI YA 30.11.2024 ZAWADI STAR
Просмотров 21Месяц назад
ELIMU YA KUPINGA UKATILI SIKU 16 YATOKANAYO MAAFARI YA 30.11.2024 ZAWADI STAR
SNKD INVESTMENT _MIONGONI MWA MECHI NGUMU BAINA YA ARGENTINA 🇦🇷 FC VS MCHUKWI FC CHINI YA DC KOLOMBO
Просмотров 3Месяц назад
SNKD INVESTMENT _MIONGONI MWA MECHI NGUMU BAINA YA ARGENTINA 🇦🇷 FC VS MCHUKWI FC CHINI YA DC KOLOMBO
SNKD INVESTMENT _MKURUGENZI WA SNKD INVESTMENT AKIWA NDANI YA BATIKI YA MAMO AKIKUMBUKA JAMBO
Просмотров 25Месяц назад
SNKD INVESTMENT _MKURUGENZI WA SNKD INVESTMENT AKIWA NDANI YA BATIKI YA MAMO AKIKUMBUKA JAMBO
MAMA NIPELEKE SHULE NIWE KAMA WENZANGU
Просмотров 532 месяца назад
MAMA NIPELEKE SHULE NIWE KAMA WENZANGU
TUWALINDE SONG ARTIST A. INSP ENG. KIHONGOLE
Просмотров 1192 месяца назад
TUWALINDE SONG ARTIST A. INSP ENG. KIHONGOLE
SNKD INVESTMENT _MKURUGENZI WA SNKD INVESTMENT AKIWA SHAMBANI MASOMO KWA VITENDO 2024
Просмотров 342 месяца назад
SNKD INVESTMENT _MKURUGENZI WA SNKD INVESTMENT AKIWA SHAMBANI MASOMO KWA VITENDO 2024
Kama mnaitaka mali mtaipata shambani baba yake akawambia
Safi sana vijana wa skauti
Ahsante sana ndugu zangu tuendelee kufurahishwa na huduma za SNKD INVESTMENT
Tunaanza na kufundisha Karibu sana elimu muhimu u sana hii
Yalivyo fanyika 2024 na watendaji wa dawati Kibiti, huyu ni Mkaguzi msaidizi wa polisi na incharge wa Dawati wa wilaya Kibiti kesho, msikilize kuna kitu utapata
👏
👏
Wekeza katika shule
Hovyo sana, matukio ya mauaji ndo yawe sababu watu kuachana? Watu wakitumia mawazo ya huyu zitakuwa vurugu hiyo dini yake anayoijua yeye sijui ipi, wakristo mme mpende mke na mke mtii mme sawa: wapi imeandikwa muachane ikiwa upendo haupo au umepungua? Biblia inasema ndoa ni kifungo kifo tu kiwatenganishe, alichokifunganisha Mungu mwanadamu hana mamlaka ya kukitenganisha. Huyo anayekuamini na kukupenda bila kuwa na mapungufu umekutana naye wai? Kwa maana kila mtu mwanzo huonekana kuwa bora baadaye mambo hubafilika lakini hivyohivyo maisha yameenda huyu anatuandalia kuws na watoto wengi wenye mzazi mmoja huu ushauri si mzuri hata kama maraizo yapo ni kuvumiliana na kuomba Mungu mwenye kuianzisha ndoa atujalie upendo tuache tabiaba mbayo tumrudie Mungu KUACHANA siyo SULUHIDHO.
Kuna error nyingi sana katika comment yangu mfano suluhisho n. K lakini muhimu zingatia comment.
Ongeleni sana
Ahsante bibi titi memorial festival 2024
Thank
Ina ujumbe muhimu sana Katika Jamii yetu. Hongera sana Kiongozi
Ahsante bbtiti festival 2024
Ahsante chamata kutoka morogoro
Safi kuhamasisha wazazi wawapeleke watoto shule
Nzuri
Great sir
Great sir
Hongereni sana watu wa Bungu kwa igizo zuri juu ya kupinga Ukatili, katika maadhisho ya kupinga Ukatili wa kijinsia siku 16
Hatari sana mambo ya Dimani ni bambam
Nayakumbukaka
Ivi yanga sisi tunafungwaje
SNKD INVESTMENT Kilimo 2024, kilimo ni uti wa mgongo wa taifa
Born to be engineer, Mungu akujalie uzima na afya njema utimize ndoto zako amina
Day one of manual practical training sessions at SNKD INVESTMENT
Amen
ruclips.net/video/UnrRe9urZ44/видео.htmlsi=e42YXvdk2yi7eJ7I
Inafikirisha sana
Ukatili sasa Kutokomezwa kwa njia utolewaji kwa njia ya maigizo
You are welcome my clients
Yes
🙏
Nooma 😂sana
Safi Sana engineer kihongole
Upandaji wa parachichi Mkoani Iringa mufindi kijiji cha lulanda
Ahsante upendo tv
KARIBUNI NFUGU WATEJA TUNAPENDA
Wahehe siyo wamchezo
Katika Maafari ZAWADI STAR MKURUGENZI WA SNKD INVESTMENT AKATOA NENO
Mkurugenzi wa SNKD INVESTMENT aKufanyiwa interview katika moja ya vituo vinavyofadhiliwa Shirika la kimataifa la Compassion na Mshirika mwenza Agape Englizh medium na hapa ni mtaa wa KKKT Kibiti
Hatari sana unyanyasaji
Huyu kijana anahitaji Kuendelezwa ili asomeee kanisa, wasiliana nae kupitia MKURUGENZI SNKD INVESTMENT 0656917557
Huyu kijana aweza kuwa nani huko mbele kwa uwezo huo hapo akiwa na 2yrs
❤🎉
Habari ndugu Mtanzinia Karibu ujifunze Udereva wa awali katika Ofisi zetu zilizopo Kibiti Mjini katika darasa murua kabisa, Aidha utafundishwa ufundi wa Chombo chako cha moto. Ifahamike Dereva mzuri anauwezo wa Kutambua au kubaini, kutafuta, kuweka ahueni au Kumaliza kabisa tatizo la ofisi yake, Aidha Milango yake mitano imsaidie katika kufanya hayo yote. Wakati hayo yanafanyike lazima avae vazi sahihi mahali sahihi kwa afya yake, mazingira na usalama wa mahala pa kazi. Sisi kama ofisi tunazo overcoats maalum kwa wanafunzi. Kama unabitaji kujifunza udereva na computer SNKD INVESTMENT ni jibu la hitaji lako. Jisajili ili fursa hii muhimu isikupite docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSefrR3mSm2TaIBzETz7N-nf7n1PUIOYDYu6_PkKnII9QNxSsA/viewform?usp=sharing OUR SCHOOL MOTO "SNKD INVESTMENT COMMITED TO THE PEOPLE, COMMITED TO THE FUTURE"