- Видео 5
- Просмотров 3 214
mwanakwerekwe Youth Choir
Танзания
Добавлен 12 май 2024
MWANAKWEREKWE YOUTH CHOIR|MUNGU WETU(Official Video)
Hakika Mungu wetu ni yule yule na wala habadiliki kwa mambo yake,Upendo wake na nguvu zake ni Za milele,Karibu kutizama video hii hakika utabarikiwa🙏🏼
Просмотров: 197
Видео
MWANAKWEREKWE YOUTH CHOIR|KANYAGIO(Official Video)
Просмотров 7692 месяца назад
Tumepewa mamlaka ya kukanyaga Nge na nyoka Tumepewa nguvu ya kuitawala dunia na vilivyomo kwa mamlaka yake yeye Mungu Na imani yetu mahali popote tukanyagapo pamebarikiwa Sikiliza #KANYAGIO🎶na usisahau share,subcsribe na ku comment na utabarikiwa zaidi🙏🏼
MWANAKWEREKWE YOUTH CHOIR|TWATEMBEA(Official Video)
Просмотров 5713 месяца назад
Amini kwamba katika haya maisha Mungu hawezi kukuacha mwenyewe atakushika mkono na utatembea ukiwa imara #TWATEMBEA ni wimbo wenye maneno ya shukrani na maneno ya ushindi karibu kuusikiliza na usisahau ku share,like na comment na Mungu atakubariki sana🙏🏼🔥
MWANAKWEREKWE YOUTH CHOIR|MATATIZO(Official Video)
Просмотров 8033 месяца назад
Matatizo ni mengi na shida hazikomi ila yote kwa yote bado tunaamini kwamba Ngome yetu ni Mungu,fuatilia ujumbe huu utakubariki sana.🙏🏼
MWANAKWEREKWE YOUTH CHOIR|TUNAKUSHUKURU(Official Video)
Просмотров 8793 месяца назад
Hatuna namna wala Lugha yoyote ya kumshukuru Mungu kwa yote aliyofanya kwetu,ni mengi na wala hayana hesabu ila tumekuja na wimbo huu kama shukrani kwetu,Karibu kuusikiliza usisahau kushare kwa ndugu jamaa na marafiki,Ahsanteni.
Ameeeen Mungu awabariki sana muendelee kufanya mambo makubwa zaidi
Upendo wa Mungu haupungui kwa mwanadamu 🙏Mungu awabariki mno !!!
MIMI NI MUISLAM ila nyimbo zenu ni nzuri sana Karibuni rwanda🇷🇼
KAZI ZENU ZINATUBARIKI SANA MUNGU AWABARIKI
🙏🙏🙏🙏
Amen
My choir God bless us 🙏
My Choir 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌❤️
Asante Mungu kwa kazi hii , Mungu awabariki
Karibuni sana kenya Mungu akipenda
❤
Karibuni sana kenya Mungu akipenda
Kazi zenu zinatubariki sana Tunaomba mzidi kuimarika zaidi ili zitufikie nyimbo zingine mpya
My Team Mungu asiwapungukie hata kidogo
Mungu wetu ni yule yule na wala habadiliki
Mungu awabariki mno wapendwa Nyimbo zenu ni nzuri sana na zinatubariki
Mungu awabariki
Hongereni sana watumishi
🎉🎉🎉
Well done
Barikiwa sana kwa huduma hii mnafanya ,Mungu awapandishe viwango vya juu zaid
Kanyagio🔥🔥🔥
Mbarikiwe sana🙏
Mungu aendelee kuwatia nguvu muendelee kusonga mbele zaidi 🙏🫡
Kazi ni njemaaaa❤❤❤❤❤
Nice one song ❤❤❤
❤❤❤❤❤
Good job with much blessings ❤
🥰🥰
My favorite song and my favorite choir God bless us
waooooo Mungu awabariki sana watoto wa maroda
🎉🎉🔥🔥
🎉
Waoooh MUNGU ni mwema sana nyimbo nzuri na MUNGU awabariki mno sana tutakanyaga kila mahali kwa mamlaka tuliyopewa na MUNGU
Bwana ndio ngome yetu
❤❤❤❤
Kazi nzr sana mungua awabarika sana mzidi kuitenda kazi yake aminaaaaaaa❤❤
Nzuri
Mbarikiwa kwa wimbo huu. Nimeusubiri sana
@@elizabethwilfred5945 Ahsante sana mpendwa,Mungu akubariki san🙏🏼
Wow nice song
@@dunaMelisa Thankx so much
❤❤
@@ChristinaNjau 🥰🫂
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
🥰🫂
deepest part nice
It true so wonderful🥰
🔥🔥🔥🔥🔥
🫂
Nice song! Barikiwa mno!🙏
Ameeen mratibu wetu
Mbarikiweee
❤❤❤❤❤
🥰🫂
My song ❤❤❤❤
🔥🔥
👏🏿👏🏿barikiwa
Ameeen
Much love 💕 ❤❤❤❤❤❤❤
Bless up family🫂
🎉🎉
🫂