Jack Music Coach
Jack Music Coach
  • Видео 173
  • Просмотров 228 994
SHARP & FLAT | Jinsi ya Kusoma Funguo za Nyimbo
Karibu tangalie kipengele kingine muhimu katika kusoma nyimbo.
Ufunguo ni kipengele Muhimu sana katka kujifunza
Просмотров: 145

Видео

JINSI YA KUJUA MAPIGO YA WIMBO
Просмотров 14621 час назад
Kujua mapigo ya wimbo ni muhimu kwa kila anayependa kuimba ili usije ukapotea safarini. Karibu sana Call: 255 768 409 454 Email: mpeople22@gmail.com Whatsap: 255 768 409 454 Usiache kusubscribe, ku like, ku share na kukoment
Jinsi ya kusoma wimbo mpya kwa Staff Notation
Просмотров 169День назад
Karibu ujifunze namna rahisi kabisa ya kusoma Staff Notation
MAZOEZI YA UDHIBITI WA PUMZI
Просмотров 99Месяц назад
Wengi wanayo pumzi nyingi lakini hawawezi kuitumia vizuri ili kuwasaidia katikauimbaji wao. Somo hili limelenga kukuelekeza namna unavyoweza kuidhibiti pumzi yako ukaitumia bila kuisha au kukata haraka.
Mazoezi ya kuandaa sauti | Vocal Warm up part 2
Просмотров 262Месяц назад
Jack Music Coach | Sing to the best, Mazoezi ya maandalizi sauti kwa ajili ya kuimba, mazoezi haya yatakusaidia kama utayafanya kwa uaminifu dk 10 - 15 Lip trill - Kusaidia Kuondoa mivutano ya misuli Humming - Kuandaa mishipa ya sauti na kulainisha sauti Vowel Exercise - Kusaidia Matamshi ya maneno kwa muimbaji Tempo Exercise - Kusaidia mwendo.
Jinsi ya kufanya mazoezi ya kuandaa koo | Vocal Warmup
Просмотров 2402 месяца назад
Vocal warm up ni mazoezi muhimu sana kuandaa koo na sauti yako kabla ya kuimba, leo tutaangalia mazoezi manne ya kuandaa koo lako
JINSI YA KUFANYA MAZOEZI YA PUMZI KWA WEPESI - MUIMBAJI
Просмотров 3352 месяца назад
Jifunze mbinu 4 muhimu za jinsi ya kukuwezesha kupata pumzi ya kutosha kama muimbaji
Jinsi ya kujua Ufunguo B | Staff Notation
Просмотров 3003 месяца назад
Leo jifunze ufunguo B jinsi unavyopatikana katika staff Notation
Mbinu | Kanuni Rahisi ya kukariri ufunguo wowote wa WIMBO
Просмотров 1433 месяца назад
HII NI MBINU MBORA KABISA ITAKAYOKUSAIDIA KUKARIRI FUNGUO
JINSI YA KUJUA UFUNGUO "A"
Просмотров 1913 месяца назад
Tunaendelea kujifunza Funguo katika Muziki, nikualike uendelee kutufuatilia RUclips | Jack music Coach Email | jacksontimo22@yahoo.com Simu | 255 768 409 454 Instagram | Jack Music Coach Facebook | Jack Music Coach
SWALI LILILO ULIZWA SANA NA WAIMBAJI
Просмотров 1343 месяца назад
Hili ni swali ambalo limeulizwa na watu wengi Je! nifanye nini ili niweze kuimba vizuri? Leo nimeleta jibu la swali hili karibu sana
Jinsi ya kuandaa / kupasha sauti kabla ya kuimba
Просмотров 1904 месяца назад
Jinsi ya kuandaa / kupasha sauti kabla ya kuimba
JINSI YA KUJUA UFUNGUO WA WIMBO WOWOTE PART 3
Просмотров 7718 месяцев назад
JINSI YA KUJUA UFUNGUO WA WIMBO WOWOTE PART 3
JINSI YA KUJUA UFUNGUO WA WIMBO WOWOTE PART 2
Просмотров 1,1 тыс.8 месяцев назад
Sehemu hi ya pili tutajifunza ufunguo G na namna ya kuupata katika wimbo wako
JINSI YA KUJUA UFUNGUO WA WIMBO WOWOTE PART 1
Просмотров 1,5 тыс.8 месяцев назад
JINSI YA KUJUA UFUNGUO WA WIMBO WOWOTE PART 1
KUMWABUDU BWANA- O Worship The Lord (Church hymnal instrumental)
Просмотров 12010 месяцев назад
KUMWABUDU BWANA- O Worship The Lord (Church hymnal instrumental)
WASTAHILI BWANA - Church Hymn
Просмотров 14510 месяцев назад
WASTAHILI BWANA - Church Hymn
HESHIMA NA UTUKUFU
Просмотров 7310 месяцев назад
HESHIMA NA UTUKUFU
UKIMYA KATIKA MUZIKI
Просмотров 32911 месяцев назад
UKIMYA KATIKA MUZIKI
BWANA SIKIA _ Hear Our Prayer O Lord _ Church hymnal instrumental.
Просмотров 7211 месяцев назад
BWANA SIKIA _ Hear Our Prayer O Lord _ Church hymnal instrumental.
I WILL GO By AY NYARUGUSU SDA CHOIR Official Video 20231080p
Просмотров 32411 месяцев назад
I WILL GO By AY NYARUGUSU SDA CHOIR Official Video 20231080p
Wakristo Imbeni _Nyimbo za Kristo instrumental,
Просмотров 16411 месяцев назад
Wakristo Imbeni _Nyimbo za Kristo instrumental,
Mtazame Mwokozi / turn your eyes upon Jesus _ church hymns instrumental
Просмотров 17411 месяцев назад
Mtazame Mwokozi / turn your eyes upon Jesus _ church hymns instrumental
Jifunze mazoezi ya sauti hatua ya mwanzo
Просмотров 499Год назад
Jifunze mazoezi ya sauti hatua ya mwanzo
Harmonizing voice a Choir Teachers Guide
Просмотров 80Год назад
Harmonizing voice a Choir Teachers Guide
Vyakula Hatari kwa Afya ya Sauti
Просмотров 444Год назад
Vyakula Hatari kwa Afya ya Sauti
How to Breathe, Easy Techniques in 2024
Просмотров 48Год назад
How to Breathe, Easy Techniques in 2024
MUDA WA KUIMBA NOTI (MAPIGO YA NOTI
Просмотров 778Год назад
MUDA WA KUIMBA NOTI (MAPIGO YA NOTI
Nina Haja Nawe _ I need thee Every hour _Christ hymn
Просмотров 160Год назад
Nina Haja Nawe _ I need thee Every hour _Christ hymn
NJIA RAHISI YA KUJUA MAJINA YA MISTARI NA NAFASI KATIKA STAFF
Просмотров 1,9 тыс.Год назад
NJIA RAHISI YA KUJUA MAJINA YA MISTARI NA NAFASI KATIKA STAFF

Комментарии