- Видео 153
- Просмотров 124 270
Mulhim Tv
Добавлен 19 окт 2017
MULHIM TV ni channel ya kiislam yenye kurusha vipindi mbalimbali na video za kiislamu. Pamoja na vipindi Maalumu Kwa Lengo La Kukufunza, Kukuelimisha na Kukuburudisha.
TUFATILIE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII:-
#Facebook: Mulhim Foundation
#Instagram: Mulhim Foundation
TUFATILIE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII:-
#Facebook: Mulhim Foundation
#Instagram: Mulhim Foundation
Видео
TAMUSSA HOLY QUR - AN COMPETITION. Ep1
Просмотров 37Месяц назад
TAMUSSA HOLY QUR - AN COMPETITION. Ep1
KISA CHA KUHUZUNISHA CHA WEMA HAUOZI (Sheikh: Hassan Ahmed)
Просмотров 1,8 тыс.8 месяцев назад
KISA CHA KUHUZUNISHA CHA WEMA HAUOZI (Sheikh: Hassan Ahmed)
MR. HAYDAR HAMSHARD AFURAHISHWA SANA NA MASHINDANO YA QUR'AN... ACHANGIA MIFUKO 80 YA CEMENT.
Просмотров 569 месяцев назад
MR. HAYDAR HAMSHARD AFURAHISHWA SANA NA MASHINDANO YA QUR'AN... ACHANGIA MIFUKO 80 YA CEMENT.
NASAHA FUPI KUTOKA JAI (SHEIKH: FAKI ABDALLAH)
Просмотров 279 месяцев назад
NASAHA FUPI KUTOKA JAI (SHEIKH: FAKI ABDALLAH)
JE WAYAJUA MADHARA YA ZINAA...? By (Mwl. Dimoso)
Просмотров 1,5 тыс.Год назад
JE WAYAJUA MADHARA YA ZINAA...? By (Mwl. Dimoso)
MULHIM CREW_ NASHEED_HUBBAH (Official Audio)
Просмотров 3192 года назад
MULHIM CREW_ NASHEED_HUBBAH (Official Audio)
MUHADHARA WA WANAWAKE: Mke Mwema Anajulikana Kwa Sifa Zipi?
Просмотров 3292 года назад
MUHADHARA WA WANAWAKE: Mke Mwema Anajulikana Kwa Sifa Zipi?
Umuhimu wa adhkar na faida zake 1 (by Sheikh Abdallah Ally)
Просмотров 2292 года назад
Umuhimu wa adhkar na faida zake 1 (by Sheikh Abdallah Ally)
HARAMBEE YA KUNUNUA KIWANJA (Kwaajili Ya Msikiti na Hospitali)
Просмотров 442 года назад
HARAMBEE YA KUNUNUA KIWANJA (Kwaajili Ya Msikiti na Hospitali)
ZIARA YA MULHIM DADAZ (Al madrasat Nnur Chanika)
Просмотров 3402 года назад
ZIARA YA MULHIM DADAZ (Al madrasat Nnur Chanika)
MADRASA ZETU: I'baadu Swaalihin (Vingunguti - Karakata)
Просмотров 1292 года назад
MADRASA ZETU: I'baadu Swaalihin (Vingunguti - Karakata)
MWANAMKE KATIKA UISLAMU: Stara Ya Mwanamke Katika Uislamu (By: Ukhty Nafisa Bint Mahamoud)
Просмотров 7 тыс.2 года назад
MWANAMKE KATIKA UISLAMU: Stara Ya Mwanamke Katika Uislamu (By: Ukhty Nafisa Bint Mahamoud)
KISA CHA IMAMU SHAAFIY KATIKA KUTAFUTA ELIMU. Pt 3
Просмотров 1132 года назад
KISA CHA IMAMU SHAAFIY KATIKA KUTAFUTA ELIMU. Pt 3
KISA CHA IMAMU SHAAFIY KATIKA KUTAFUTA ELIMU Pt 2
Просмотров 702 года назад
KISA CHA IMAMU SHAAFIY KATIKA KUTAFUTA ELIMU Pt 2
ZIARA YA KUWATEMBELEA MAYATIMA ILIYOFANYWA NA JTF PAMOJA NA KUSHIRIKIANA NA MULHIM FOUNDATION
Просмотров 3242 года назад
ZIARA YA KUWATEMBELEA MAYATIMA ILIYOFANYWA NA JTF PAMOJA NA KUSHIRIKIANA NA MULHIM FOUNDATION
KISA CHA IMAMU SHAAFIY KATIKA KUTAFUTA ELIMU pt 1
Просмотров 882 года назад
KISA CHA IMAMU SHAAFIY KATIKA KUTAFUTA ELIMU pt 1
MUHADHARA WA WANAWAKE : Upi Uislamu Sahihi (By Sheikh Muhammed Nduli)
Просмотров 3432 года назад
MUHADHARA WA WANAWAKE : Upi Uislamu Sahihi (By Sheikh Muhammed Nduli)
ZIARA YA KUWATEMBELEA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA OCEAN ROAD (13/2/2022)
Просмотров 2092 года назад
ZIARA YA KUWATEMBELEA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA OCEAN ROAD (13/2/2022)
MUHADHARA WA WANAWAKE: Uhai Wa Wanawake Ndio Uhai Wa Uislamu Ep2 (By: Sheikh Abdallah Ibn Ally)
Просмотров 1032 года назад
MUHADHARA WA WANAWAKE: Uhai Wa Wanawake Ndio Uhai Wa Uislamu Ep2 (By: Sheikh Abdallah Ibn Ally)
MUHADHARA WA WANAWAKE: Uhai Wa Wanawake Ndio Uhai Wa Uislamu Ep1 (By Sheikh: Abdallah Ibn Ally)
Просмотров 3172 года назад
MUHADHARA WA WANAWAKE: Uhai Wa Wanawake Ndio Uhai Wa Uislamu Ep1 (By Sheikh: Abdallah Ibn Ally)
TUNAPO SIKIA MANENO HAYA TUTAFAKARI KISHA TUYAFANYIE KAZI....!!
Просмотров 523 года назад
TUNAPO SIKIA MANENO HAYA TUTAFAKARI KISHA TUYAFANYIE KAZI....!!
Subhanallah
Mashaallah Allah akupe ufaswahazaidi
Masha Allah
Nanikweli hapo nakusaport nuridini kishik umesema ukweli wapatiye Dose kwasababu kunawaisilam wenye kupuhuza hayo
ALLAH atuongoze umat Muhammad
acha ongo
SubhanaAllah 😢
Hii ni sauti ya MUNGU mwenyew ameamua kuzungmza nasi kupitia sheikh wake
Sijui kwanini Allah anipe imn narizki ilionabarka nisaidie
Yani huyu shekhe namkubli anaoeka wazi kilakitu, Allah Akulipe khery. Pamoja na sisi umati wa muhammad S.AW
Amiin
Subuhanallah 😭💔
Allah tusemehe sana Dah msiba huu 😢😢😢
Wallaih Nana 😢😢😢😢😢
Wallaih bana😢😢😢😢
Umesema kweli kabisa lakini tuwe wa kweli sheikh maneno mazuri lakini wewe mwenyewe unatembelea gari ya zaidi million 100 na zaidi hebu kuwa mfano mzuri uza gari yako ingie kwenye dawa
Subhanallah hata hiyo laki pengine hawapati kabisa
سبحان الله العظيم رب العرش العظيم ❤❤
allah
kitu cha mungu kinaendeshwa na wachamungu na chadunia kinaendeshwa na wanadunia
shekh kishik embu mashshekh acheni unafiki muogopeni mung ww unauwezo wakifedh umesha saidi walmu wangapi
Unapokua unasema kitu hebu jarb kufikoria mara mbil. Yeye anawez kusaidia dunia nzima. .ata kama akimsaidia mtu mmoja hiyo nibora .vipi kama kila mweny uwezo akijitoa kwamtu mmoja... chung kauli zako. Unajuane kama hawasaidii. Yeyw ni dai anawaasa watu watoe mali zao. Umenikera san kiukweli😢😢
Yan adi nimetaman mujua kama wew nimwislam au simwislam. Man ninachojua mwislam hawez kuongea maneno mabay kwa dai mzur kama uy
Mufti na Bakwata wanakula Ubwabwa wa Maulid kila Siku
Twakupenda kwajili ya Allaaah ❤❤❤
Subuhana😢😢😢😢
Shekhe hujambo una wake wangapi
Mmoja tu.
Hakika
Sasa mbwa ana shida gani ww umechoka tulia
Ukome kumutuliza shekh
Huna adabu
Watu wengne wapotofu wa akili km huyu xx km hujui shida y mbwa uliza au unyamaze mbwa n haram kumgusa muisilamu
❤❤❤❤
NAKUPENDA KWAAJIR YA ALLAH❤
yarrabii tujaalie tue wenye kuwaelimisha na wake zetu na vizazi vyetu na wayafuate
Allah akujalie tuwe wenye kufata mamlisho ya allah
❤❤
Subhana Allah 😢😢😢
Inshaallah mungu atusaidie.Amin.
Akika uwa nachukia sana anavofanya uyu mama
Mungu tujarid mashehe wema
Hiki kilio si tu kwa waislamu huyu mama muislamu mwenzenu tumemchoka hajui vitu vya kupewa kipaumbele
Subhanallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ hakika nikwel tunaenda wapi sis jaman hatufkiri siku ambay haitomfaa mtu mali wala watoto isipokuwa amali njema tulozifanya apa dunia Yarabbi tupe mioyo ilosalimika
Waally km salm
allah
Subhanallahh
INALILAHI WANAILEHI RAJIUUN
Allumma baarik
Jazzakkallah khair❤
Kilio hiki kingekua sio mbele za watu malipo yake yangekua bakubwa zaid
Hakulili ww wala sio kwa kujionyesha ila anatukumbusha ili tuweze kutoa kwan kutoa ni faida yetu na sio yake
Watu tunaangalia Sana mambo ya kidunia ndio wanaomba yanawapa faida na umaarufu, Allah atupe mioyo yakutoa ktk mambo ya khairat
Kweli
😭😭😭😭
Shukurn sheikh wetu kwa elimu 🙏🙏
Allah akbar subuhana Allah
Mula ndi mema kuako mogo acobariki she