- Видео 813
- Просмотров 1 180 737
MAGOTI TV
Танзания
Добавлен 27 май 2015
Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Kupitia somo hili utajifunza mambo mengi na ili uweze kumjua Mungu aliyekuumba na kumuishia yeye.
Somo hili likakubariki, likakujenge na kukutia moyo katika kila hatua ya maisha unayoipitia.
.....................................................................................................................................................................................................................
Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
Tigopesa 0712626937 Veronica Kanick
CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
Mungu akubariki sana.

The Power of Offering | Pastor Japhet Magoti | Githurai Central SDA Church
Neno la Mungu ni Taa ya Miguu yangu na Mwanga wa njia yangu.
Neno la Mungu ni Pumzi ya maisha yangu, unapolisoma neno la Mungu hautapotea gizani bali Nuru ya Bwana itaangaza Maishani mwako kila wakati.
..............................................................................................................................................................................................................................................................................................
Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jays...

Просмотров: 879
Видео
Usikubali kuanza safari kwa mashaka.
Просмотров 1 тыс.Месяц назад
Usikubali kuanza safari kwa mashaka.
Langata Camp Meeting Emphasis || Nguvu ya Kutoa #1 || Ev. Japhet Magoti | Morning Service
Просмотров 7047 месяцев назад
Langata Camp Meeting Emphasis || Nguvu ya Kutoa #1 || Ev. Japhet Magoti | Morning Service
Camp Meeting Emphasis || Nguvu ya Kutoa Sadaka || Ev. Japhet Magoti | Morning Service
Просмотров 4137 месяцев назад
Camp Meeting Emphasis || Nguvu ya Kutoa Sadaka || Ev. Japhet Magoti | Morning Service
UMEIANDAAJE KESHO YAKO? - Japhet Magoti
Просмотров 1,4 тыс.9 месяцев назад
UMEIANDAAJE KESHO YAKO? - Japhet Magoti
KESHO IMO NDANI YA SADAKA || Sehemu ya 1 || - Japhet Magoti
Просмотров 1 тыс.9 месяцев назад
KESHO IMO NDANI YA SADAKA || Sehemu ya 1 || - Japhet Magoti
SIRI YA KUONGEZEWA MIBARAKA - Japhet Magoti
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
SIRI YA KUONGEZEWA MIBARAKA - Japhet Magoti
NGUVU YA SADAKA KUFUNGUA FAMILIA ILIYOFUNGWA NA SADAKA - Japhet Magoti
Просмотров 5 тыс.Год назад
NGUVU YA SADAKA KUFUNGUA FAMILIA ILIYOFUNGWA NA SADAKA - Japhet Magoti
MAFANIKIO YAKO YAPO NDANI YA SADAKA NA AGANO - Japhet Magoti
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
MAFANIKIO YAKO YAPO NDANI YA SADAKA NA AGANO - Japhet Magoti
SEMA NA MAGOTI: JINSI TULIVYOJIANDAA KWA MTIHANI NA MAISHA YA BAADAE - SHULE YA WAVULANA, NYAMBARIA
Просмотров 1 тыс.Год назад
SEMA NA MAGOTI: JINSI TULIVYOJIANDAA KWA MTIHANI NA MAISHA YA BAADAE - SHULE YA WAVULANA, NYAMBARIA
CAMP MEETING MABERA 2023 - Japhet Magoti
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
CAMP MEETING MABERA 2023 - Japhet Magoti
WHEN I GROW UP I WANT BE LIKE ESTHER - Pst.Boaz Ouma
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
WHEN I GROW UP I WANT BE LIKE ESTHER - Pst.Boaz Ouma
KUA KATIKA IMANI, CAMP MEETING MABERA CENTRAL 2023 - Japhet Magoti
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
KUA KATIKA IMANI, CAMP MEETING MABERA CENTRAL 2023 - Japhet Magoti
UMEJIANDAAJE KWA AJILI YA MAKAMBI - Japhet Magoti
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
UMEJIANDAAJE KWA AJILI YA MAKAMBI - Japhet Magoti
NIUMBIE NURU MAISHANI MWANGU - Japhet Magoti
Просмотров 2,1 тыс.Год назад
NIUMBIE NURU MAISHANI MWANGU - Japhet Magoti
IMANI YAKO INAPOJARIBIWA - Japhet Magoti
Просмотров 10 тыс.Год назад
IMANI YAKO INAPOJARIBIWA - Japhet Magoti
JIFUNZE KUULIZA MASWALI - Japhet Magoti
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
JIFUNZE KUULIZA MASWALI - Japhet Magoti
YESU NIOKOE NIMECHOKA - Japhet Magoti
Просмотров 3 тыс.Год назад
YESU NIOKOE NIMECHOKA - Japhet Magoti
MAISHA NI TAREHE, MAISHA SIO STAREHE (USIOGOPE KIFO) - Japhet Magoti
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
MAISHA NI TAREHE, MAISHA SIO STAREHE (USIOGOPE KIFO) - Japhet Magoti
SADAKA IMEBEBA MAVUNO YAKO - Japhet Magoti
Просмотров 1 тыс.Год назад
SADAKA IMEBEBA MAVUNO YAKO - Japhet Magoti
SADAKA IMEBEBA HATMA YAKO - Japhet Magoti
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
SADAKA IMEBEBA HATMA YAKO - Japhet Magoti
SHINDA UPINZANI KWA NJIA YA SADAKA - Japhet Magoti
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
SHINDA UPINZANI KWA NJIA YA SADAKA - Japhet Magoti
KWENYE BARAKA LAANA HUONDOKA - Japhet Magoti
Просмотров 1,9 тыс.Год назад
KWENYE BARAKA LAANA HUONDOKA - Japhet Magoti
Nimekataa hii roho katika jina la Yesu, mtumishi kataa hii roho
Amen pastor asante nimebarikiwa na somo hili
Amen naendelea kubarikiwaa
Nimebarikiwa Sana
Amina Mungu Atusaidie sana
Amen 🙏🙏🙏
Mmh kwa upande wangu siamini katika hayo usemayo
Sio kwel
Wewe ni muongo kabisa ujumbe huo sio wa MUNGU,mbona ni msaada sana hawa wazaliwa wa kwanza,wako awe hivo kama unavyosema
Amen
Muongo mkubwa wewe
Amina hallelujah tutor sadaka tuunganishe na maombi
Tusaidie Mungu katika kuondoa laana katika maisha yetu
Nakataa Kwa Jin's lá yesu
Amen, ninabarikiwa
Ukweli ❤❤❤❤❤
Ameen ❤
God amen🙏🏻🙏🏻🙌🏻🫶❤🎉🎉
Nakataa kwa jina la yesu
Muongoo
ACHA uwongo kaka
Wewe ni mwongo sana sijawahi ona mtafiti wa mchongo kama wewe Rudi tena kufanya utafiti daaa huyu kaka ni mwongo sana
Mungu azidi kukubariki ufike mbali na familiya yako
Thanks God 🙏🏼 😊 🫂 🙏🏼
Amen Amen barikiwa kwa fundisho nzuri
Agano lako Mzazi na Mungu Huponya hayo yote katika Jina Yesu
This message is touching me, may God save us from all family curses
Amen
Amen
Mutumishi wa mungu barikiwa na familiar Yako sikujua Wala sikuwai jua jinsi yakutoa sadaka laiti mungu angekuleta mapema watoto wangu hawange pitiya haya yote maishani mwao sikuwai watolea sadaka wakianza shule ndiyo maana wameteseka sana katika shule ya upili kila mtoto akifika kidatu Cha tatu vita ina Anza shuleni mwalimu Moja tu anajitokeza mtoto anasumbuliwa Hadi natafuta shule nyingine nabadikisha mtoto hakuna mtoto wangu ambaye aliitwa shule aka Anza na akamalizia huko wanaitwa shule nzuri ndiyo Wana Anza vizuri but hawatamaliza huko na hata nakiwabadilisha amalize kidatu Cha inne watoto wangu wakimaliza matokeo ikitoka wanalia wanashangaa kama matokeo ni Yao juni werevu wanaanza vizuri na matokeo mazuri but wakimaliza matokeo hieleweki hata Wana shindwa kuendelea Kwa sasa hivi Kuna mtoto wangu mdogo ambaye amefanya mutihani wa kidatu Cha inne tuna subiri matokeo na amesoma Kwa shida kumbwa muno but Nashukuru mungu maana mafundisho haya yamenisaidiya barikiwa na omba tu mungu akanipe kazi Nita mtolea sadaka Kwa ajili ya watoto wangu na Kwa masomo Yao japo wamepitiya shida Nita shukuru mungu nitatoa sadaka ili afungue njia waendelee mbele na masomo na awape KAZI nami Nita wafunza njia ya kutoa barikiwa
Hayo manano hayana ukweli hata kidogo, wengine MUNGU ametubariki na kututendea mema na bado tunamuamini kwa makubwa zaidi. Maisha ni kanuni za Ki-Mungu na hayaendeshwi na uzoefu wetu sisi wanadamu. Naikemea hiyo roho kwa Jina la YESU KRISTO
SIO KWELI
MUNGU akubariki sana.
Asante kwaneno la Mungu Mtumishi
Nakataa katika jina la Yesu Amen
Tok uongo huo
Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌👋
Shukurani 🙏🙏 naendelea kufuatilia mambo ya ndoto mpaka mwisho
Mungu aendelee kukutumia sana , nimejifunza mengi kupitia kwako
Amina
Mbona unatusema ivo tunaumia tuambie huwa tumekosea wapi au huwa tumekuja kwa bahati mbaya??
Hakuna bahati mbaya Kwa wa kwanza
Amen 🙏 barikiwe baba
Amen
Sio kweli kwa jina la yesu nakataa
Powerful anointing
Ameeeeeeen Ameeeeeeen Ameeeeeeen
Yaani pastor I wish ningepata hili somo mapema ila kwa Mungu hakuna gumu my brother ameuza shamba la familia ila naanza kufunga kwa ajili ya shamba letu kwa Imani Mungu atatenda
Waja mungu atupiganie
Amen 🙏🙏🙏 God help me to defeat pharaoh in my life, pharaoh had made my life miserable
Sitakuwa Mimi Katika jina la Yesu