- Видео 11
- Просмотров 2 173
MDUDU TV
Добавлен 26 ноя 2011
HATA KAMA PAMBA JIJI SIKUSIMAMIA USAJILI LAKINI HAISHUKI DARAJA-ATAMBA MINZIRO,GYAN ATAMBA KIZUNGU
WAKATI Kocha Mkuu wa Timu ya Pamba Jiji "Wanalindanda" Fred Minziro akikiri Ubovu wa timu hiyo tangu ilipoanza amesema amewahakikishia wapinzani wao Fountaingate kuwa hawaamini kuwa kama matege ni sehemu ya ugonjwa Bali Pamba Jiji imeagizwa kuchukua pointi Tatu kwenye mchezo wa ligi Kuu ya NBC itakayopigwa kwenye Uwañja wa Tanzanite Kwaraa Mjini Babati Mkoani Manyara.
Mbali na tambo hizo zilizotolewa nq Baba Isaya kwa upande wake Msemaji wa Pamba Mussa William amemwambia Kocha Mohamedi Muya kuwa asitegemee matokeo ya kukariri ya kutowachia pointi tatu ama Moja kama ambavyo Dodoma Jiji na Mashujaa walivyowaachia.
Kauli ambayo ilijibiwa na Nicholaus Gyan kuwa hawaamini majigambo hayo ya Pamba...
Mbali na tambo hizo zilizotolewa nq Baba Isaya kwa upande wake Msemaji wa Pamba Mussa William amemwambia Kocha Mohamedi Muya kuwa asitegemee matokeo ya kukariri ya kutowachia pointi tatu ama Moja kama ambavyo Dodoma Jiji na Mashujaa walivyowaachia.
Kauli ambayo ilijibiwa na Nicholaus Gyan kuwa hawaamini majigambo hayo ya Pamba...
Просмотров: 17
Видео
KONDOA MJI TUSIPOTATUA KERO ZAO HAWATASHIRIKI UCHAGUZI NOV,TUSIBWETEKE MADIWANI NA WATAALAM
Просмотров 141День назад
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa Mkoani Dodoma Bw Saidi Majaaliwa amewataka Madiwani na Wakuu wa Idara kuanza mkakati wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi ana kwa ana ktk kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serkali za mitaa ili wananchi waweze kujenga Imani na shauku ya kushiriki kupiga kura agizo Hilo amelitoa kwa Madiwani na Wakuu wa Idara waliokuwa wakishiriki vikao vya Bara...
MABONDIA 14 WATOLEANA NYONGO YA KUUANA MANYARA
Просмотров 1629 дней назад
MABONDIA 14 WA UZITO MBALIMBALI WAKIWEMO WASICHANA WAWILI KITOKA MIKOA YA SINGIDA,DODOMA,ARUSHA,K'NJARO NA WENYEJI MANYARA WAMEAPQ KUUANA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUMTAFUTA BONDIA MBABE WA MIKOA HIYO LAKINI PIA KUUNDA TIMU YA TAIFA.....#azamtv ,#simbasc #citytv #africa
TUTAWAOGESHA NGUMI ZA MWANA UKOME MABONDIA,JKT WANATUJUA
Просмотров 18114 дней назад
MABONDIA WA MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI NA KATI WANATARAJIA KUZIPIGA MJINI BABATI MKOANI MANYARA KWA LENGO LA KUUNDA TIMU YA TAIFA,HUKU MABINGWA WATETEZI MKOA MANYARA WAKIJINADI KUTETEA UBINGWA WAO WA 2019.
KMC-SIO RAHISI KIIVYO KAMA FOUNTAIN WANAVYOJIGAMBA
Просмотров 3815 дней назад
FOUTAIN HATE YA MKOANI MANYARA JUMATAYI MAJIRA YA SAA 8 ALASIRI IMEJIGAMBA KUWAADHIBU KCM KWENYE UWANJA WA TANZANITE KWATA ILI KIJIWEKA KATIKA KUTWAA UBINGWA WA LIGI YA NBC.#simbasc #azamtv #yangasc #gadi
WAANDISHI MANYARA WAFUNGWA KWA KUWATISHA WAHASIBU
Просмотров 21016 дней назад
TIMI YA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MANYARA INAYOSHIRIKI LIGI YA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MAKAZI IMEKUBALI KIPIHO CHA MABAO 2-0 DHIDI YA CHUO CHA UHASIBI CHA MKOANI MANYARA #azamtv #simbasc #zbctvznz #wepesi #yangatv
FOUNTAIN GATE-TUMEZOA TUZO SITA ZA TFF KULIKO SIMBA NA YANGA WALA HATURINGI
Просмотров 19920 дней назад
TIMu ya soka ya Fountain Gate inayoshiriki ligi Kuu ya NBC imesema licha ya mshambuliaji wao Selemani Mwalimu kutunukiwa tuzo ya Uchezaji Bora wa Mwezi Septemba sanjari na Kocha wao Mkuu Mohamedi Muya itaendelea kuzipakata Tuzo hizo kwakuwa inayo malengo mazito ya kuonyesha upinzani lakini pia kugahamika Kimataifa....kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa timu hiyo Issa Mbuzi akiungwa mkono na Koch...
SIKIA ARDHI MANYARA ILIVYOATHIRIWA NA TINDIKALI
Просмотров 23423 дня назад
#Citytv #tktv #ktnews #azamtv #zbctvonline #gadiwala #globalnews #porionlive #simbasc #truthsoflife #yangasc #manaratv
VIONGOZI WALIOPINGA STAKABADHI GHALANI WAMEISIGINA ILANI NA KUUZA ARDHI HATUTAWAPITISHA-CCM
Просмотров 22625 дней назад
Duu!! WATEKAJI HAWA HAPA!....LAKINI TUJIANDIKISHE KWANZA!!..MWENEZI CCM
Просмотров 50527 дней назад
#mdudutv
WANAWAKE MADALALI WAONGOZA KUFUNGA BARABARA KUU KWA MAJABALI NA MICHONGOMA
Просмотров 357Месяц назад
Ubabaishaji kila mahali.. tusifanye siasa kwa kila jambo.
Sawa mdudu tv
Bwegesana wenamsenge
changamoto keeling
Pumbavu wewe nenda kaliwe mgongo huko
@@AliciaKyai shindana kwa Hoja na si kwa lugha isiyo na maadili! Subscribe mdudu tv
Asante mdudu tv Joseph Malungula
Huna jipya bwana unatafuta kiki tu sativa ametekwa na chadema kina roma je Ali KIBAO kashushwa juu ya gari kwa mitutu ya bunduki Kama mnawajua kwann msiwakamate acha zako
Loh yaani nchi imeisha kabisa kwa kweli mungu tu atusaidie
ccm ni ugonjwa kweli wanambinu za kitoto Sana na yote hii vyombo vya usalama wanawachekea tu wakifanya ujinga na hatari Kwa taifa
Subscribe
Mduduuuuu
Mdudu kazini
👏🏻👏🏻