The Fisher's choir
The Fisher's choir
  • Видео 11
  • Просмотров 2 614

Видео

UZINDUZI WA ALBAMU YA VIDEO KUFANYIKA TAG KING’ONGO DECEMBER 2024
Просмотров 71Месяц назад
UZINDUZI WA ALBAMU YA VIDEO KUFANYIKA TAG KING’ONGO DECEMBER 2024
Hatutamuacha Bwana. CAs King'ongo Spiritual Centre
Просмотров 2472 месяца назад
usimuache Bwana wala kurudi nyumba
Yote yanawezekana kwake yeye aaminie:Rev Fank Mtui.
Просмотров 762 месяца назад
Karibu uabudu nasi TAG King'ongo Spiritual Centre
Hoja zenye nguvu mbele za Bwana, huleta matokeo makubwa Rev Frank Mtui
Просмотров 622 месяца назад
KING'ONGO SPIRITUAL CENTRE (KSC)
THE FISHER'S CHOIR MPANGO WAKO NINI? (Oficial Video)
Просмотров 5229 месяцев назад
wokovu ni raha kuokoka ni raha sana
BWANA YEYE NI FAHARI YETU.... WWK. KING'ONGO SPIRITUAL CENTER
Просмотров 4129 месяцев назад
Yeye ni Mungu wetu ni Baba yetu hatumuachiBwanayeyeninguvuyetu
REHEMU BABA TAIFA LETU LA TANZANIA 🇹🇿 THE FISHER'S CHOIR (Oficial Video)
Просмотров 65810 месяцев назад
Mungu wa mbinguni ponya Nchi yetu Tanzania (2Nyakati 7:14)
MASS KWAYA KING'ONGO SPIRITUAL CENTRE.MPIGIENI BWANA KELELE ZA SHANGWE WATU WOTE
Просмотров 20710 месяцев назад
Mungu ndie mlinzi wa familia zetu na ndoa zetu.
KWAYA NZURI SANA YA WANAWAKE WATUMISHI WA KRISTO (WWK) TAG KING'ONGO SPIRITUAL CENTRE
Просмотров 12011 месяцев назад
KWAYA NZURI SANA YA WANAWAKE WATUMISHI WA KRISTO (WWK) TAG KING'ONGO SPIRITUAL CENTRE

Комментарии

  • @evkapatya5195
    @evkapatya5195 9 дней назад

    Mungu awabariki

  • @JESUS354
    @JESUS354 13 дней назад

    Hongereni sana watumishi wa Mungu, KWAYA YETU KUU YA KANISA. Mungu aendelee kuwainua juu zaidi na zaidi.

  • @MercyLaurent-s7q
    @MercyLaurent-s7q 14 дней назад

    Hongereni sana wapendwa kaz nzur

  • @freddymihayo2192
    @freddymihayo2192 14 дней назад

    Kwaya yetu nzuri sana MUNGU awabariki hongereni sana

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 14 дней назад

    Hongereni sana kwa huduma Mungu awabariki kwaya yetu kuu ya kanisa

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 14 дней назад

    Hongereni sana kwa huduma Mungu awabariki

  • @rehemanjau544
    @rehemanjau544 Месяц назад

    Kwakweli hii SI yakukosa

  • @kenedysanga3744
    @kenedysanga3744 Месяц назад

    Unaanzaj kukosa kwamfan🎉

  • @JESUS354
    @JESUS354 2 месяца назад

    Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, Vijana wangu wazuri mnoo ktk huduma. ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 2 месяца назад

    Hongereni sana vijana Msimwache Mungu❤

  • @ALOISIAKIMWERI-b9m
    @ALOISIAKIMWERI-b9m 2 месяца назад

    Ameeen...kazi nzuriii mnoo hongeren sanaaa

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 2 месяца назад

    Aminaa

  • @evkapatya5195
    @evkapatya5195 3 месяца назад

    Mungu awabariki ❤

  • @LucyKadege
    @LucyKadege 3 месяца назад

    Najiungamanisha na maombi haya

  • @JESUS354
    @JESUS354 5 месяцев назад

    ❤❤🎉🎉🎉Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu Kwa huduma hii njema Mnoo!!

  • @JamesJonas-it8hc
    @JamesJonas-it8hc 7 месяцев назад

    Hongereni Sana Ndugu zangu katika kristo

  • @JudithNnungu
    @JudithNnungu 7 месяцев назад

    Mungu awabariki sn watumish wimbo wa wawakati

  • @annasamuel8371
    @annasamuel8371 8 месяцев назад

    Hongereni sana the firshers, Bwana Yesu awatunze!!! Nawakubali ❤

  • @MariaFrank-vk8ku
    @MariaFrank-vk8ku 8 месяцев назад

    Nice🙏🙏🙏🙏

  • @freddymihayo2192
    @freddymihayo2192 8 месяцев назад

    Kazi nzuri hongereni sana THE FISHERS

  • @davidsulemani1849
    @davidsulemani1849 9 месяцев назад

    Be blessed 🙌🙌

  • @RehemaTemba-fb3zt
    @RehemaTemba-fb3zt 9 месяцев назад

    Kaz nzuri watumishi wa mungu

  • @rehemanjau544
    @rehemanjau544 9 месяцев назад

    Amen, Glory be to God 🙏

  • @FelistaAbel
    @FelistaAbel 9 месяцев назад

    Barikiwa sana watumishiii

  • @DorcasAlex-kv1nh
    @DorcasAlex-kv1nh 9 месяцев назад

    MUNGU awabariki sana wapendwa

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 9 месяцев назад

    Mungu awainue kwa viwango vikubwa

  • @JESUS354
    @JESUS354 9 месяцев назад

    Hongereni sana watumishi wa Mungu,Kwaya Kuu *The Fisher's; King'ongo Spiritual Center* ❤❤❤❤... Mungu awabariki sana,awape NGUVU ya Kusonga Mbele na huduma hii! Zaidi,Mungu Wetu Mkuu akutane na Mahitaji Yenu yoote,Kwa KUJITOA HUKU!!

  • @definkellar1851
    @definkellar1851 9 месяцев назад

    Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri sana,Mungu azidi kuwapaka mafuta na kuwatia nguvu kufanya kazi hii njema 👏nimependa sana kazi yenu🙌❤️

  • @RehemaTemba-fb3zt
    @RehemaTemba-fb3zt 9 месяцев назад

    Tuna barikiwa sana

  • @naomiseven-sm9pb
    @naomiseven-sm9pb 9 месяцев назад

    👏👏kazi nzur

  • @mariahmihayo9781
    @mariahmihayo9781 9 месяцев назад

    Wamama watumishi wa kristo🔥🔥🔥

  • @rehemanjau544
    @rehemanjau544 9 месяцев назад

    Glory be to God

  • @SaidinaNestoryMapunda
    @SaidinaNestoryMapunda 9 месяцев назад

    Mungu akubariki Kiongozi kwamaono haya Mungu arehemu Taifa letu

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 10 месяцев назад

    Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri

  • @naomiseven-sm9pb
    @naomiseven-sm9pb 10 месяцев назад

    Wimbo mzuri Nchi yangu zawadi yangu 💪

  • @graysonyusto9971
    @graysonyusto9971 10 месяцев назад

    God bless you brethren

  • @freddymihayo2192
    @freddymihayo2192 10 месяцев назад

    Ujumbe wa wakati tulionao, Mungu awabariki

  • @freddymihayo2192
    @freddymihayo2192 10 месяцев назад

    Kwaya ya viwango, The Fishers choir hongereni sana. Kazi nzuri hiyo.

  • @JESUS354
    @JESUS354 10 месяцев назад

    Wimbo wa NYAKATI ❤❤❤🎉🎉

  • @chigastv4726
    @chigastv4726 10 месяцев назад

    Hongera sana kwaya yangu pendwa hapa mjini

  • @IkramWaya-lr2si
    @IkramWaya-lr2si 10 месяцев назад

    kwakweli mbalikiwe saana watumishi wa mungu.

  • @mariahmihayo9781
    @mariahmihayo9781 10 месяцев назад

    Kazi ni njema 👏👏 Mungu awabariki

  • @frasjokob5485
    @frasjokob5485 10 месяцев назад

    Mbonge la nyimbo muna mukumbusha mbali mubalikiwe wote

  • @mushimichael6623
    @mushimichael6623 10 месяцев назад

    Kazi nzuri sana

  • @mosey255
    @mosey255 10 месяцев назад

    this is the best one....❤

  • @shadrackcharleskalinga9690
    @shadrackcharleskalinga9690 10 месяцев назад

    Hongera kwa kazi nzuri,mungu awabariki kwa uinjilishaji🎉

  • @JESUS354
    @JESUS354 10 месяцев назад

    Mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu, wimbo Una maonyo na mafundisho mengi Juu ya kizazi tulichonacho.Mungu aliponye TAIFA LETU Tanzania!!

  • @rehemanjau544
    @rehemanjau544 10 месяцев назад

    Wimbo una mguso sana kwakweli

    • @JoyceMlelwa
      @JoyceMlelwa 10 месяцев назад

      Hongereni sana wapendwa

  • @JESUS354
    @JESUS354 11 месяцев назад

    Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, Wimbo MZURI sana wa kutaka/kutamani KUMJUA MUNGU!!: MUNGU AWABARIKI SANA ❤❤

  • @JullyBaraka
    @JullyBaraka 11 месяцев назад

    Mbarikiweee kwa kazi nzuri ya munguui