- Видео 13
- Просмотров 347 319
JeffBalla Fundi
Добавлен 5 мар 2014
Видео
N'Jomba Achumani- Dach Mashine ft Kibalangwa
Просмотров 32Год назад
N'Jomba Achumani- Dach Mashine ft Kibalangwa
Rapper Dee ft Dachi mashine Mara Nyingine Tena
Просмотров 1565 лет назад
Produced By JeffBalla Fundi@StudioJoto
Dachi Mashine Umekiwasha
Просмотров 2746 лет назад
Dachi Mashine- Umekiwasha- Produced By JeffBalla Fundi@StudioJoto
"Mara Nyingine Tena"Demo Ya Rapper Dee
Просмотров 696 лет назад
"Mara Nyingine Demo Ya Rapper Dee,Coming Soon.Produced By JeffBalla Fundi@StudioJoto
Faraja Yangu Rapper Dee ft Dachi Mashine
Просмотров 986 лет назад
Produced By Jeffballa Fundi@Studio joto
Twende Sawa
Просмотров 1126 лет назад
Twende Sawa By Dachi Mashine ft Rapper Dee Producewd By jeffBalla Fundi@Studio Joto
Excellent.
Hii ndiyo ilikuwa bendi kongwe 1964 _ 2024 60 years Nuta ,Juwata,Ottu Msondo musical band
🎉
Rip all ,the best band all time
Msondo Ngoma....RIP Computer Mwanyiro.
Ngoma safi , ujumbe mzito !! Rest in piece moshi , momba , ngurumo , mbwembwe
Hatari sana
Mahojiano ya Lucy Bandawe kule Global TV yamenileta hapa leo 2024, Sept 01....
Tupo pamoja mwinyi mpeku mwenzangu 😀😀😀👊🏽👊🏽🙆🏽
Mi pia😂😂😂😂 umbea huu daah
Tupo wengi😅
Hata mimi
Mbeya mwenzangu😂😂😂 na mimi baada ya kusikia kule nikasema ngoja nije nisikilize😂😂😂
Haya ndio mambo yetu watu wa zamani
Noma Sana hii
Baba ya Ngoma original
Magoma kitakita, baba ya muziki katika ubora wao.
DAA hapo Tx bado mzima hajapata Ajali Gurumo mzima, solo ina Mabera, ridhim pishuu bazz mwanyiro computer, ila sasa hivi ukipigwa sehemu ya TX ANAIMBA PACHA WAKE MOSHI MAJALIWA AFANDE. DAA HUZUNI LIST YOTE HAIPO KABAKI ROMARIO TU
Gonga like yako hapa twende pamoja 2024
Makirikiri
Mkwe wangu Lucy bandawe
Watanzani tumetoka mbali na muziki wetu
We acha tu, Ayub uko wapi kaka angu, wananikumbusha CCM kirumba kule mwanza, super kamanyola bado wapo? nipo Kampala saiv naburudisha huku bhana aisee
Safiii Ya Watanzaniaaaaa
Msondo ngoma music band🎉🎉🎉
Muziki wa heshima na wenye maadili KWA jamii za kiafrika KWA kulinda utamaduni. wetu
nakumbuka mbali sana rip wote dansi kama dansi enzi hizo hatari sana
Hawa walikuwa mabingwa wa muziki
Hakuna siiiriii mamaaa, haayaaa..... Nyimbo za zamani unaburudika na unapata some kabisa
Ngoma ya ukaye
Namwona Mzee btchuka apo ilikuwa mwaka gani
Haitatkea bendi Kama msondo
Hapa Sawa
Nawaombea kwa mungu wote muliotangulia hivi vipaji vibaki kwa watoto wenu wawe kama nyie kwa faida ya vizazi vijavyo nao waburudike
👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Msondongoma
hawa jamaa walikuwa na muziki wa maadhi ya kitanzania. niliwaelewa sana. wapumzike kwa amani, waliotangulia mbele ya haki
Siku hizi ni wazee wa pis Kali ndo maana ndoa hazidumu
Hakika zama hizi mziki ulipigwa na kutleta burdening ya ukweli
CI mchezo henzi hizo miaka ya tisini tisini pale ilala vijana social Hall mtoto hatumwi dukani
Othman momba rip tungo muruwa Kwa Lucy bandawe mambo hadharani
Lucy bado yu hai ni raha sana kuimbwa na hawa wakongwe ktk ujumbe mzuri
Lucy Bandawe, Bado pisi kali
Living songs living lyrics
Lucy bandawe nipeleke nyasa
Hakika ninakimbuka mbali sana
Timu ilitimia 2022
Mungu awape pumziko waliotang Uliwa walitupa uwezo ilikuwa mkubwa
Am Amapio
Kweli huu ndo mziki
Noumaaaaaaa 😍😍😍😍😍 daaaaahhhh
Ahsante Momba
Jmn zakale dhahabu
Kumbe sijakosea kuoa mnyasa hii nyimbo hata sikua naifaham lakin nimeitafuta baada yakuisikia sehem ikanigusa nakunikumbusha enzi nimdogo baba aliipenda piaa "2021"
Laiti Mwnyz Mungu angefanya zama zikajirudia. Hakuna kama muziki wa dansi
Dunia inazunguka lazima zitarudi wajukuu ndio wanao risi
Wimbo ni wa kitambo, lakini bado makali yake pale pale, Hongereni Msondo Ngoma
Vema msondo na Lucy bandawe,pamoja wengi wa wimbo huu wametangulia mbele ya haki.