- Видео 66
- Просмотров 157 045
SallaFarm
Добавлен 26 авг 2017
SallaFarm
Vifaranga
Aina ya kuku
New Hampshire (Israel)
Rhodes island
White Cornish
Bei za vifaranga
Day 1@2000
Day 7@2500
Day 14@3000
Day 21@4000
Day 30@5000
TUNAUZA AZOLA
TUNAUZA NUTRIANT ZA AZOLA
TUNAJENGA LOCAL CAGE
TUNATOA HUDUMA NDANI NA NJE YA NCHI
Vifaranga
Aina ya kuku
New Hampshire (Israel)
Rhodes island
White Cornish
Bei za vifaranga
Day 1@2000
Day 7@2500
Day 14@3000
Day 21@4000
Day 30@5000
TUNAUZA AZOLA
TUNAUZA NUTRIANT ZA AZOLA
TUNAJENGA LOCAL CAGE
TUNATOA HUDUMA NDANI NA NJE YA NCHI
Видео
cages za chuma za kuku 1000 mto wa mbu manyara
Просмотров 2819 месяцев назад
cages za chuma za kuku 1000 mto wa mbu manyara
Banda la kisasa bunju b call 0622889446
Просмотров 10 тыс.Год назад
Banda la kisasa bunju b call 0622889446
cages za chuma za kuku 600 Arusha kimandolu,karibu Salla farm Arusha call 0622889446 .
Просмотров 1 тыс.Год назад
cages za chuma za kuku 600 Arusha kimandolu,karibu Salla farm Arusha call 0622889446 .
mabanda ya kisasa(cages)Arusha kisongo st.Joseph sec.school....call 0622889446 Kwa huduma zetu
Просмотров 437Год назад
mabanda ya kisasa(cages)Arusha kisongo st.Joseph sec.school....call 0622889446 Kwa huduma zetu
Banda Bora chalinze malivundo kuku 2500 call 0622889446
Просмотров 1,9 тыс.2 года назад
Banda Bora chalinze malivundo kuku 2500 call 0622889446
Banda Bora mkoa wa kilimanjaro kcmc cages za kuku 1050
Просмотров 3392 года назад
Banda Bora mkoa wa kilimanjaro kcmc cages za kuku 1050
eneo dogo unafuga kuku wengi na huduma zinakuwa rahisi 0622889446
Просмотров 10 тыс.2 года назад
eneo dogo unafuga kuku wengi na huduma zinakuwa rahisi 0622889446
local cages ya kuku 2000 ktk eneo mita 10 Kwa 10 call 0622889446
Просмотров 4062 года назад
local cages ya kuku 2000 ktk eneo mita 10 Kwa 10 call 0622889446
kazi nzuri Morogoro tungi call 0622889446
Просмотров 1,1 тыс.2 года назад
kazi nzuri Morogoro tungi call 0622889446
Banda la kuku 450-500 Dar es salaam 0622889446
Просмотров 7 тыс.2 года назад
Banda la kuku 450-500 Dar es salaam 0622889446
Salla farm Arusha cages za kuku 2000 part 2.....0622889446
Просмотров 2,3 тыс.2 года назад
Salla farm Arusha cages za kuku 2000 part 2.....0622889446
epuka changamoto za magonjwa Kwa kujenga cages ...Salla farm Arusha 0622889446
Просмотров 1262 года назад
epuka changamoto za magonjwa Kwa kujenga cages ...Salla farm Arusha 0622889446
Salla farm cages za kuku 2000 part one arusha call 0622889446
Просмотров 2532 года назад
Salla farm cages za kuku 2000 part one arusha call 0622889446
Hydroponic fodder inavyorahisisha ufugaji
Просмотров 3512 года назад
Hydroponic fodder inavyorahisisha ufugaji
Jinsi ya kumiliki banda bora 0622889446
Просмотров 2182 года назад
Jinsi ya kumiliki banda bora 0622889446
Ujenzi wa Mabanda ya kisasa Mwanza Igoma 0622889446
Просмотров 1,5 тыс.2 года назад
Ujenzi wa Mabanda ya kisasa Mwanza Igoma 0622889446
Januaary 10, 2022 ujenzi wa local cage Arusha call 0622889446
Просмотров 8 тыс.3 года назад
Januaary 10, 2022 ujenzi wa local cage Arusha call 0622889446
Mabanda ya kisasa Dar es salam kigamboni 0622889446
Просмотров 12 тыс.3 года назад
Mabanda ya kisasa Dar es salam kigamboni 0622889446
Hichi ndicho chanzo cha mafanikio yako kiufugaji
Просмотров 1,2 тыс.3 года назад
Hichi ndicho chanzo cha mafanikio yako kiufugaji
Mabanda yanayorahisisha ufugaji 0622889446
Просмотров 7 тыс.3 года назад
Mabanda yanayorahisisha ufugaji 0622889446
Mfugaji alivyotumia eneo dogo kufuga kuku wengi 0622889446
Просмотров 2,2 тыс.3 года назад
Mfugaji alivyotumia eneo dogo kufuga kuku wengi 0622889446
Salla farm wateja wanafurahia kazi zetu
Просмотров 9413 года назад
Salla farm wateja wanafurahia kazi zetu
Azolla mkombozi wa wafugaji inashangaza 0622889446
Просмотров 2653 года назад
Azolla mkombozi wa wafugaji inashangaza 0622889446
Unapatikana Moshi sehemu gan?
Hii ni ya kuku ngapi
I wish I could understand swahili,[especially with the measurements and figures]but beautiful cages respect from Uganda
Nataka mbegu ha burundi
Nzuri
Please say something ? about and how
naomba mnipatie za kwenu
@@ShabaniSawilo 0622889446
tunaomba namba zetu za whatsap na kama magrop naomba mtuungee tuwez kuwasilian juu ya kilimo icho
@@ShabaniSawilo 0622889446
whatsap number
tunaomba wasapu namba zenu na vikundi vya whatsap mtufunze umo kwa galama yoyot
Habari ndugu, najifunzankupanda azola. Natakiwa kuchimba shimo urefu gani kwenda chini?
Upepo itakuaje apo
Nimependa
Hongeraaa sana broo
Kama Hilo Banda mnatengenezea sh.?
Mimi nahitaji banda kama hili burundi. Je mnatoa huduma ya kunichorea ramani ?
How does it work?
Dar mnapatikana wapi?
Kazi safi
Vzr mno, hizo ni za kuku wa kienyeji au wa kisasa?
Habari naitaji Mabanda ya Kuku dar es salaam,kuusu pesa usijali,sio kwa kigamboni
bei
🎉🎉
Where can I get you for construction
Xxx
Kazi murua kabisa aisee
Kazi nzuri aisee
Kazi nzuri sana❤
Mnapatikana wap
Kazi nzuri sana
Is it possible to show us bit by bit how it's made. Niko kenya
Makambako mnapatikana wapi?
Wawuuuu amizing thanks. Very clean ✌
Unaweza kufugia kuku wa kienyeji?
ndiyo
Kazi nzuri kutoka kenya
karibu 0622889446
Watching from kenya,, naweza kuja Tanzania kuona?
karibu sana
Hii Ni kama pesa ngapi
nicheck WhatsApp 0622889446
Ready to start farming business
Nitawapataje jamani nami nijenge banda kama hili?
call 0622889446
Tupe namba yako
0622889446
sasa mimi nuliza je ayo mabanda yani izo cage (keji) kuna maalum kwa vifaranga na kuku wakubwa au unweza kumleya kifaranga mpka atakapo fika kutaka kwa iyo iyo cage( keji) moja
zipo za vifaranga na za wakubwa angalia kwenye hii chanel Kuna kazi tumefanya bunju inaonyesha za vifaranga na za wakubwa
Hilo la kuku 300 bei gani mi nikijenga banda wewe unakuja kufanya installation ya mfumo?
Niko Arusha banda la kuku 300 linagalim Tsh ngapi? Naitaji sana
Banda zuri sana kwa shinyanga tutapataje huduma
Quality and Efficient .
Niambie kabisa nijue nijipange vp coz nahitaji banda kama hili
nicheck WhatsApp 0622889446
Vp brother kwema hii banda nimependa sana na nimekuw nikifuatilia sana mambo ya ufugaji wa kuku nataka nianzea hii mradi wa ufugaji na ndoto zangu kufikisha kuku 300 sasa banda size hii ndo natafuta ni ngapi nduguangu ni makuyun Arusha kama utaelekea babati
Kazi nzur hongera Sana Shem 👏
Asante sana shem
Napataje?
WhatsApp 0622889446
Hongereni Kwa Kazi nzuri,nikitoka huduma ya kujengewa Banda la Kuku nawapataje?
karibu 0622889446
Duh mko vizuri,, MTU akihitaji kujengewa GARAMA Ni kiasi gani? (Makipo)
karibu 0622889446