Ken Kisilu Official
Ken Kisilu Official
  • Видео 93
  • Просмотров 571 264

Видео

SWAHILI WORSHIP GOSPEL MIX 2025 | EXTENDED PLAYLIST FOR PRAYER AND REFLECTION - Ken Kisilu
Просмотров 1,2 тыс.21 день назад
Powerful worship for your prayer time. Tune in and be blessed by powerful official worship by Pastor Ken Kisilu. All songs in the playlist are available on this youtube channel.
Mimi sitaona haya kusema Wewe wangu na mimi wako// Baba Ninakupenda - Ken Kisilu & Esther Imari
Просмотров 23621 день назад
Mimi sitaona haya kusema Wewe wangu na mimi wako// Baba Ninakupenda - Ken Kisilu & Esther Imari
The glory of the Lord [Live Cover] - Pastor Ken Kisilu & Nairobi Grace Chapel worship Team
Просмотров 271Месяц назад
The glory of the Lord [Live Cover] - Pastor Ken Kisilu & Nairobi Grace Chapel worship Team
Naamini umenichora viganjani mwako| Mikononi Mwako [Live]
Просмотров 3632 месяца назад
Naamini umenichora viganjani mwako| Mikononi Mwako [Live]
Ee Bwana katika miungu yote ni nani aliye kama Wewe| Uinuliwe [Live]
Просмотров 1 тыс.2 месяца назад
Ee Bwana katika miungu yote ni nani aliye kama Wewe| Uinuliwe [Live]
POWERFUL WORSHIP MINISTRATION // PASTOR KEN KISILU & ESTHER IMARI
Просмотров 4672 месяца назад
POWERFUL WORSHIP MINISTRATION // PASTOR KEN KISILU & ESTHER IMARI Join us as we sing beautiful worship songs in this powerful ministration. God bless you! We don't own the copyright of the song done in this broadcast. . . . . . #worshipmusic #gospelmusic #live #singing
Alka Mbumba - Uwepo wako Bwana uwe nami (Cover by Ken Kisilu & DC Ruaka Shaback)
Просмотров 5314 месяца назад
Alka Mbumba - Uwepo wako Bwana uwe nami (Cover by Ken Kisilu & DC Ruaka Shaback)
NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI MIX 2024|| 1HR OF PURE HYMNS (Ken Kisilu)
Просмотров 27 тыс.8 месяцев назад
Enjoy a wonderful moment in God's presence as you get blessed by amazing hymns, Tenzi za rohoni and nyimbo za wokovu Renditions by Pastor Ken Kisilu. Find links for each of the songs below:- 1. Twende Kwa Yesu Mimi Nawe ruclips.net/video/zzQFO-wI5NI/видео.htmlsi=lF1ZfmIhPUdnNH7S 2. Kumtegemea Mwokozi ruclips.net/video/e0FSdG_gd2w/видео.htmlsi=Gv9gdxsHWsLwtLUb 3. Neema Ya Golgotha ruclips.net/vi...
Ken Kisilu - Mbele Ninaendelea (Official Tenzi Za Rohoni)
Просмотров 3,1 тыс.8 месяцев назад
MBELE NINAENDELEA lyrics Mbeleni naendelea Ninazidi kutembea, Mombi uyasikie Ee Bwana unipandishe, Chorus Ee Bwana uniinue Kwa imani nisimame, Nipande milima yote Ee Bwana unipandishe. Sina tamaa ni nikae Mahali pa shaka kamwe, Hapo wengi wanakaa Kuendelea naomba. Nataka nipandishwe juu Zaidi ya yale mawingu, Ninaomba nifikishwe Ee Bwana unipandishe. #hymn #tenzizarohoni #mbeleninaendelea #vira...
Ken Kisilu - Salama Rohoni (Official Tenzi Za Rohoni)
Просмотров 9658 месяцев назад
NI SALAMA ROHONI MWANGU lyrics Nionapo amani kama shwari, Ama nionapo shida; Kwa mambo yote umenijulisha, Ni salama rohoni mwangu. Chorus Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu. Ingawa Shetani atanitesa, Nitajipa moyo kwani; Kristo ameona unyonge wangu, Amekufa kwa roho yangu. Dhambi zangu zote wala si nusu, Zimewekwa Msalabani; Wala sichukui laana yake, Ni salama rohoni mwangu. Ee Bwana himiza...
Ken Kisilu - Bwana U Sehemu Yangu (Official Tenzi Za Rohoni)
Просмотров 1,2 тыс.8 месяцев назад
BWANA U SEHEMU YANGU lyrics Bwana u sehemu yangu, rafiki yangu wewe Katika safari yangu, tatembea na wewe Pamoja na wewe, pamoja na Wewe Katika safari yangu, tatembea na wewe. Mali hapa sikutaka, ili niheshimiwe, Na yanikute mashaka, sawasawa na wewe Pamoja na wewe, pamoja na wewe Heri nikute mashaka sawasawa na wewe. Niongoze safarini Mbele unichukue Mlangoni mwa Mbinguni, niingie na wewe Pamo...
Ken Kisilu - Neema Ya Golgotha (Official Music Video)
Просмотров 2,1 тыс.8 месяцев назад
NEEMA YA GOLGOTHA lyrics Nilipofika Golgotha Nikaiona huko, Neema kubwa kama mto Neema ya ajabu. Chorus Neema ya Golgotha Ni kama bahari kubwa, Neema tele na ya milele Neema ya kutosha. Nilipofika moyo wangu Ulilemewa sana, Sikufahamu bado vema Neema yake kubwa. Nilipoona kwamba Yesu alichukua dhambi, Neema ikadhihirika Na moyo ukapona. Mbinguni nitakapofika Furaha itakuwa, Kuimba juu ya neema ...
Salama Rohoni (Tenzi za rohoni 23) - Pastor Ken Kisilu
Просмотров 5629 месяцев назад
Best rendition of Ni Salama Rohoni Mwangu hymn (Tenzi za rohoni 23) by Pastor Ken Kisilu #hymn #salamarohoni #trending #viral
Ken Kisilu - Sioni Haya Kwa Bwana//Msalaba Ndio Asili ya mema (Tenzi za rohoni)
Просмотров 1,3 тыс.9 месяцев назад
Hymn Rendition by Pastor Ken Kisilu Audio and Video by Phoemax media SIONI HAYA KWA BWANA Lyrics Sioni haya kwa Bwana, Kwake nitang’ara! Mti wake sitakana, Ni neno imara. Chorus Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. Kama kiti chake vivyo, Ni yake ahadi; Alivyowekewa navyo, Kamwe, havirudi. Bwana wangu, tena Mungu, Ndilo lake jina! Hataa...
Ken Kisilu - Wewe Ni Mwema (Official Worship Video)
Просмотров 1,1 тыс.9 месяцев назад
Ken Kisilu - Wewe Ni Mwema (Official Worship Video)
Ken Kisilu - Kuoshwa Kwa Damu (Tenzi za Rohoni)
Просмотров 4,1 тыс.10 месяцев назад
Ken Kisilu - Kuoshwa Kwa Damu (Tenzi za Rohoni)
KIJITO CHA UTAKASO - Ken Kisilu
Просмотров 3 тыс.10 месяцев назад
KIJITO CHA UTAKASO - Ken Kisilu
Ken Kisilu - USINIPITE MWOKOZI (Tenzi za rohoni.10) Best Rendition
Просмотров 1 тыс.11 месяцев назад
Ken Kisilu - USINIPITE MWOKOZI (Tenzi za rohoni.10) Best Rendition
Ken Kisilu - SIONI HAYA KWA BWANA/ MSALABA NDIO ASILI YA MEMA (Best Rendition Tenzi za Rohoni no 82)
Просмотров 2,1 тыс.11 месяцев назад
Ken Kisilu - SIONI HAYA KWA BWANA/ MSALABA NDIO ASILI YA MEMA (Best Rendition Tenzi za Rohoni no 82)
Ken Kisilu - SIBABAIKI NINAYE YESU(Official Audio)
Просмотров 583Год назад
Ken Kisilu - SIBABAIKI NINAYE YESU(Official Audio)
Ken Kisilu - Mungu Si Kigeugeu (Official Music Video)
Просмотров 1 тыс.Год назад
Ken Kisilu - Mungu Si Kigeugeu (Official Music Video)
Asante dance by Junior Divine Impacters (Deliverance Church Intl- Ruaka)
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
Asante dance by Junior Divine Impacters (Deliverance Church Intl- Ruaka)
Ken Kisilu - Umeinuliwa Juu (Official Music Video)
Просмотров 3,8 тыс.Год назад
Ken Kisilu - Umeinuliwa Juu (Official Music Video)
Ken Kisilu - NINA SABABU //ASANTE (Official Audio)
Просмотров 897Год назад
Ken Kisilu - NINA SABABU //ASANTE (Official Audio)
Ken Kisilu - Muweza wa yote (Official lyrical video)
Просмотров 969Год назад
Ken Kisilu - Muweza wa yote (Official lyrical video)
Ameniweka huru kweli naimba sasa Haleluya! Live | Ken Kisilu and DCI Ruaka Worship Team
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
Ameniweka huru kweli naimba sasa Haleluya! Live | Ken Kisilu and DCI Ruaka Worship Team
MWOKOZI WETU anatupa furaha duniani - Ken Kisilu (Nyimbo za wokovu 141)
Просмотров 5 тыс.Год назад
MWOKOZI WETU anatupa furaha duniani - Ken Kisilu (Nyimbo za wokovu 141)
Twende Kwa Yesu Mimi Nawe - Tenzi Za Rohoni - Ken Kisilu (Official music)
Просмотров 17 тыс.Год назад
Twende Kwa Yesu Mimi Nawe - Tenzi Za Rohoni - Ken Kisilu (Official music)
Ee Bwana nishike mkono | Lyrical video | Pastor Ken Kisilu
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
Ee Bwana nishike mkono | Lyrical video | Pastor Ken Kisilu

Комментарии