UMOJAfrica STUDIOS
UMOJAfrica STUDIOS
  • Видео 5
  • Просмотров 274
#5. BASICS_of_3D_MODELLING_with_BLENDER_4.1_Kufanya_Mabadiliko_&_Kurekebisha_Mabadiliko_ya_Kitu.
Hii ni video ya tano katika mafunzo haya ya BASICS of 3D MODELLING with BLENDER 4.1, yenye maelezo juu ya namna ya Kubadili Muundo, Eneo, Mzunguko wa kitu na Kurekebisha mabadiliko hayo ndani ya programu ya BLENDER. Video hii ina tafsiri ya maneno ya kiingereza isiyorasmi katika lugha ya kiswahili. Hivyo basi nashauri utumie KAMUSI yenye tafsiri ya maneno hayo ya kiingereza kwenda katika lugha ya kiswahili kama kutakuwa na utata katika tafsiri hiyo.
Tembelea chaneli yetu ya WhatsApp ya UMOJAfrica STUDIOS: whatsapp.com/c...
ili kuwa wa kwanza kupata taarifa mara baada ya video mpya kuwekwa You Tube.
Tembelea kundi letu la WhatsApp la UMOJAfrica STUDIOS: chat.whatsapp....
kuuliza maswali yote u...
Просмотров: 9

Видео

#4. BASICS_of_3D_MODELLING_with_BLENDER_4.1_Kuchagua_&_Kuacha_kuchgua_Vitu.
Просмотров 553 месяца назад
Hii ni video ya nne katika mafunzo haya ya BASICS of 3D MODELLING with BLENDER 4.1, yenye maelezo juu ya namna ya Kuchagua na Kuacha kuchagua kitu ndani ya programu ya BLENDER. Video hii ina tafsiri ya maneno ya kiingereza isiyorasmi katika lugha ya kiswahili. Hivyo basi nashauri utumie KAMUSI yenye tafsiri ya maneno hayo ya kiingereza kwenda katika lugha ya kiswahili kama kutakuwa na utata kat...
#3. BASICS_of_3D_MODELLING_with_BLENDER_4.1_Muonekano/Mpangilio_wake_&_Utumikaji_wake.
Просмотров 993 месяца назад
Hii ni video ya tatu katika mafunzo haya ya BASICS of 3D MODELLING with BLENDER 4.1, yenye maelezo juu ya Muonekano/mpangilio na namna ya kutumia programu ya BLENDER. Video hii ina tafsiri ya maneno ya kiingereza isiyorasmi katika lugha ya kiswahili. Hivyo basi nashauri utumie KAMUSI yenye tafsiri ya maneno hayo ya kiingereza kwenda katika lugha ya kiswahili kama kutakuwa na utata katika tafsir...
#2. BASICS_of_3D_MODELLING_with_BLENDER_4.1_Utangulizi_wa_Grafiki_za_Kompyuta_&_Uundaji_wa_3D.
Просмотров 479 месяцев назад
Hii ni video ya pili katika mafunzo haya ya BASICS of 3D MODELLING with BLENDER 4.1, yenye maelezo juu ya maana za grafiki za kompyuta na uundaji wa 3D. Video hii ina tafsiri ya maneno ya kiingereza isiyorasmi rasmi katika lugha ya kiswahili. Hivyo basi nashauri utumie KAMUSI yenye tafsiri ya maneno hayo ya kiingereza katika lugha ya kiswahili kama kutakuwa na utata katika tafsiri hiyo. Tembele...
#1. BASICS_of_3D_MODELLING_with_BLENDER_4.1_Ku-Download_&_Ku-Install_Blender.
Просмотров 6710 месяцев назад
Hii ni video ya kwanza katika mafunzo haya ya BASICS of 3D MODELLING with BLENDER 4.1. Video inafundisha namna ya ku-download na ku-install programu ya blender 4.1... ENJOY.

Комментарии