- Видео 9
- Просмотров 14 642
Kika TVtz
Добавлен 31 янв 2024
KOSA LANGU
Kijana casto anaitelekeza familia yake Kwa sababau ya Cindy ambaye hana mapenz ya kweli kwake Zaid ya kutaka pesa zake, karibu kitazama film hii fupi ujifunnze na uburudike. #clamvevo #love #film #movie #jotitv #comedy #kicheche #mbengotv #nollywood #mbengotv #duet #movie #clamvevo #jotitv #babashyam #stevemweusicomedy #
Просмотров: 197
Видео
KARMA YANGU Ep2
Просмотров 1,5 тыс.21 день назад
karma yangu ni film fupi inayohusu3# misukusuko Ya maisha na ndoa ,je baada ya candy kukubaliana na ushauri wa Cindy atafanikiwa kweli kimaisha? karibu kuitazama upate kuelimika na kuburudika #clamvevo #love #movie #film #jotitv #kicheche #comedy #mbengotv #bongo #film #clamvevo #
KARMA YANGU ( EP 1)
Просмотров 59628 дней назад
Karma yangu ni film fupi inayohusu misukosuko ya maisha na Ndoa Cindy anshawishi candy kuingia kwenye biasha za kujiuza ili kufanikiwa kimaisha candy anaamin kwenye elim yake itamtengenezea maisha Je candy atakubaliana na Cindy fatilia kisa hiki Cha kusisimua ujifunze. #comedy #clamvevo #stevemweusicomedy #jotitv #mbengotv #kicheche #nyundotv #harmonize #zuchu #mkoitv#jotitv#clamvevo #film #mov...
WRONG - MESSAGE
Просмотров 5765 месяцев назад
Ndoa nitamu ukipata anayeendana na wewe, ndoa nitamu ukipata anaye ku penda, Wivu ni mzuri kwenye mapenzi lakin Wivu ukizidi pia unaweza ukavunja ndoa ,je unaweza vunja ndoa yako Kwa sababu ya massage iliyoingia kwenye sim ya Mpenzi wako?
PAMELA
Просмотров 4236 месяцев назад
Pamela mwanamke anayelea watoto peke yake, anapambana na Maisha yake Lakin anapata changammoto kwenye biashara zake Je Pamela atafanya nin kuipambanifamilia yake?
PAMELA
Просмотров 2597 месяцев назад
Pamela mwanamke anayelea watoto wake bila ya mzazi mwenza, anafanya chochote ili kukidhi mahitaji ya watoto wake,ugumu wa Maisha unamfanya Pamela afanye jambo ambalo hakutarajia, Pamela anashauriwa kutafuta mwanaume atakaye msaidia kulea watoto, Je atakubali ushauri wa Rafiki?
MTOTO WA MWENYE NYUMBA No3
Просмотров 3,2 тыс.7 месяцев назад
kidawa amekumba na pigo zito huku marafiki wakiendelea na kukata sare je Nini kimemtokea kidawa
MTOTO WA MWENYE NYUMBA SEHEMU YA2
Просмотров 5 тыс.9 месяцев назад
Kidawa kimemkuta kitu kizito, je? nikitu gani tazama sehem ya 2 ya mtoto wa mwenye nyumba
MTOTO WA MWENYE NYUMBA sehemu ya kwanza (MP4)
Просмотров 2,9 тыс.9 месяцев назад
Karibu kuitazama filamu fupi kali sana inayomuhusu binti KIDAWA na wapangaji wake. Humu ndani Kuna visa Mikasa mbali mbali inayohusu nyumba za kupanga. Hutojutia kuitazama.
Mbona mzigo atumbukizwi mpya?.
Safi sana keep going
Fresh sana
Umeuwa kazi nzur2 🎉
Kaz nzur
Big up kazi nzuri
We🎉
Nice
Well done keep it up
❤
Nimeipenda ila mbona haiendelei
Nimeipenda ila mbona haiendelei
Nimeshinda
Maisha ya single mama
❤🎉
❤🎉
Well done
Dah! Au bas 😢
Keep it up
Love it
Natami kuona hatima ya kuadi
Natami kuona hatima ya kuadi
😅😅😅 tunaomba muendelezo
Imekaa utamu sana Cindi naona moto ulioupuliza unakuwakia mwenyewe kazi unayo
Well well well
Kazi nzuri hongereni
Well done
Kuadi kachukuliwa nataman kujua kinachojiri
Big up tunaomba muendelezo
Umetisha hongera sana kazi nzuri.
hongera sana
Well done
, keep it up
Kazi nzuri sanaaaaaa tunaomba muendelezo
Naomba muendelezo😂😂😂
Mambo ni moto
Naona pameanza kuchangamka
Umetisha KAZI nzur ❤
❤❤❤❤Kaz Kari sana
Good luck
Kazi nzuri
Kazi imeenda hii
Ŵell done
Keep it up
Kazi nzuri
Hahhaaa I like it
Hongera
Kidawa
Kazi nzuri
🎉
Hongera mdogo wangu keep it up
Asante