- Видео 510
- Просмотров 3 034 343
Fauz Production
Кения
Добавлен 19 июн 2022
Assalamu aleykum warahmatuallahi wabarakatuh. KARIBU KATIKA CHANNEL YETU.
HIKMA YA MWANADAMU KUNYIMWA DUNIA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
HIKMA YA MWANADAMU KUNYIMWA DUNIA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров: 356
Видео
MAMBO MATATU YANAOVUKA MPAKA KATIKA UGONVI//SHEIKH ABDUSATTAR
Просмотров 2189 часов назад
MAMBO MATATU YANAOVUKA MPAKA KATIKA UGONVI//SHEIKH ABDUSATTAR
SABABU YA ALLAH KUMNYIMA MWANADAMU DUNIA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 66312 часов назад
SABABU YA ALLAH KUMNYIMA MWANADAMU DUNIA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Kipimo cha mapenzi/hasira ya Allah juu ya mja wake//Duktur Islam Muhammad.
Просмотров 50812 часов назад
Kipimo cha mapenzi/hasira ya Allah juu ya mja wake//Duktur Islam Muhammad.
MATAJIRI KUTOA MALI YAO ILI KUITETEA DINI YA ALLAH//DUKTUR ISLAM MUHAMAD
Просмотров 270День назад
MATAJIRI KUTOA MALI YAO ILI KUITETEA DINI YA ALLAH//DUKTUR ISLAM MUHAMAD
BID’AH KATIKA MWEZI WA RAJAB//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
Просмотров 1,4 тыс.День назад
BID’AH KATIKA MWEZI WA RAJAB//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
Waislamu kuacha kuitetea dini ya Allah//Duktur Islam Muhammad
Просмотров 35414 дней назад
Waislamu kuacha kuitetea dini ya Allah//Duktur Islam Muhammad
Wanaadamu kubadilishwa kwa kuachana na amri za Allah.//Duktur Islam Muhammad
Просмотров 47714 дней назад
Wanaadamu kubadilishwa kwa kuachana na amri za Allah.//Duktur Islam Muhammad
Kueka sehemu maalum ya kuswali msikitini//Duktur Islam Muhammad
Просмотров 32921 день назад
Kueka sehemu maalum ya kuswali msikitini//Duktur Islam Muhammad
Muislamu kukumbuka neemah za Allah//Duktur Islam Muhammad
Просмотров 70021 день назад
Muislamu kukumbuka neemah za Allah//Duktur Islam Muhammad
BAADHI YA MASWALI ATAKAO ULIZWA MWANADAMU SIKU YA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 470Месяц назад
BAADHI YA MASWALI ATAKAO ULIZWA MWANADAMU SIKU YA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
DAWA YA STRESS (MAWAZO)//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 3,3 тыс.Месяц назад
DAWA YA STRESS (MAWAZO)//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
NAMNA WATAKAVO SIMAMA WATU SIKU YA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 523Месяц назад
NAMNA WATAKAVO SIMAMA WATU SIKU YA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
(02) HALI 3 WATAKAZO KUWA WATU SIKU YA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 499Месяц назад
(02) HALI 3 WATAKAZO KUWA WATU SIKU YA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
UKARIBU WA SIKU YA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 441Месяц назад
UKARIBU WA SIKU YA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
MALAIKA WANAOMSUJUDIA ALLAH//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 583Месяц назад
MALAIKA WANAOMSUJUDIA ALLAH//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
MWISHO WA AMALI YA MWANADAMU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 1,2 тыс.Месяц назад
MWISHO WA AMALI YA MWANADAMU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
FADHLA ZA MUAWIDHATYN//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED.
Просмотров 2602 месяца назад
FADHLA ZA MUAWIDHATYN//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED.
HII NDIO HATARI YA KUMUUDHI MU'UMIN//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 6782 месяца назад
HII NDIO HATARI YA KUMUUDHI MU'UMIN//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
KISA CHA KUSILIMU KWA TUFEIL BIN AMR (رضي الله عنه) DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 5482 месяца назад
KISA CHA KUSILIMU KWA TUFEIL BIN AMR (رضي الله عنه) DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Nasaha nzito kwa wazazi baada ya Shule kufungwa//Duktur Islam Muhammad
Просмотров 9222 месяца назад
Nasaha nzito kwa wazazi baada ya Shule kufungwa//Duktur Islam Muhammad
KUFANYA UADUI NA MTU ANAEPENDWA NA WATU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 9093 месяца назад
KUFANYA UADUI NA MTU ANAEPENDWA NA WATU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
SABABU YA WATU KUMCHUKIA MTU ANAEPENDWA NA WATU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 2,3 тыс.3 месяца назад
SABABU YA WATU KUMCHUKIA MTU ANAEPENDWA NA WATU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
DALILI ZA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 8 тыс.3 месяца назад
DALILI ZA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
SABABU ZINAZOPELEKEA WAISLAMU KUPENDANA KWAAJILI YA ALLAH.
Просмотров 6133 месяца назад
SABABU ZINAZOPELEKEA WAISLAMU KUPENDANA KWAAJILI YA ALLAH.
ALAMA YA KUJUA UCHAWI WA KUTENGANISHA MUME NA MKE//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 2,2 тыс.3 месяца назад
ALAMA YA KUJUA UCHAWI WA KUTENGANISHA MUME NA MKE//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
HIKMA NA UPOLE KATIKA DA'AWA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Просмотров 5803 месяца назад
HIKMA NA UPOLE KATIKA DA'AWA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
Mu'umin ni mfano wa nyuki//Duktur Islam Muhammad
Просмотров 4814 месяца назад
Mu'umin ni mfano wa nyuki//Duktur Islam Muhammad
Mu'umin ni mfano wa mtende//Duktur Islam Muhammad
Просмотров 4384 месяца назад
Mu'umin ni mfano wa mtende//Duktur Islam Muhammad
Mfano wa mu'umin anaesoma QUR'AN//Dr Islam Muhammad
Просмотров 4584 месяца назад
Mfano wa mu'umin anaesoma QUR'AN//Dr Islam Muhammad
Alhamdulillah
Jazaka'Allaahu mbona muendelezo hakuna?
Allah atujalie mwisho mwema
والله كتاب الله لا شيء سواه❤❤
Subhana llah
Mashaallah Allah akuzidishie kher daima inshallah
Ili tamko toka niajiriwe paka leo mwaka6 nikiingia kazini nalitamka getini nikiingia basi najikinga kilabalaa
Shukraan sheikh ❤
Ni kweli mm niliota Mama akiniambia nisisumbuke kutafuta cheni yake ya dhahabu sitaipata na kweli sijaoona mwaka wa 11 huu
Nilimuota mdada mmoja kipindi anakalibia Kufa nilimfanyia wema mfani Ivi ssa nimemuita ananiambia twende unisaidie kudai madeni yangu nikamsaidia alivyo lipwa tu akapotea gafla nikaanza kumtafuta nikakosa bas ndiyo ivyo
Yaaani hii laana ya nyusi kwa waarabu ah moton ni wengi subhannawallah allah atujaalie tuwe wenye kuongoka maaan wengi wnanyoa nyus wadogo subhannawallah.
Izo ndoto zinanisumbua sanaaa
Mashallah sheikh islam
Swadacta
Qari Myhammab Addyraxman ni 30 пора борми
Shukran jazzilah nakupenda kwa ajili ya Allah, allah akujalie umri mrefu
Allah Akbar😊
Masha Allah shk hakika maaweidha murwa Allah akuhifadhi tupatie ilmu twahitaji .
Sheikh umeongea kitu kizuri lakini mm Niko emarats waarabu safu zao hakuna kugusana vidole vya ncha safu zetu ziko wazi kabisa ukimpelekea mtu mguu kwa ajili ya kutoacha nafasi anauondosha je hii ikoje ???
Alhamdullahi for everything. SubhanaAllah. SubhanaAllah.
Asalam Aleikum. Thanks for the reminder 😮
صدق القائل
Ameen
Munatuchanganya mshejh wengine wanasema uanze na miguu
Shukran sana. Allaah akulipe kheri
Masha Allah jazakalahu keyeran ❤
SUB HAANA ALLAH
Amina Amina yarabilalamin
Allah akulinde duktur Islam Muhammad, Alhamdulilah🎉
MashaAllah Allah akuhifadhi Dr.Islm
Allah wajalie waliotangulia mbele za haki wape kauli thabiti
Assalamualaykum warahmatullah wabarakaatuh naomba namba ya shekh nipo Tanzania
بارك الله فيك
Mtu aliye kufa
Mtu z
Matukio mrijo
Allah na awapunguzie zambi zao amiin
أيوا بارك الله فيك
Mashaalah shekhe wangu, ahllillsunna original, tunaelimika vzuri na usawa vile inavostahiki, ALLAHUBARIK
❤❤❤❤
Shukran kwa mawaidha mazuri
Allah akuhifadhi sheikh wg MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah
Asante sana shehe mwenyezi mungu akupe afya njema
Hafidhwaka LLAH ya imam
MashaAllah
SUBHANA-ALLAH! Tusome ndugu zangu, ALLAH kajaalia Qur'an Kuwa ni muongozo kwa Watu, Hii siyo Tafsiri sahihi,na kupindishwakwake nikufungua mlango wa Shirk,(Tazama). Sura:A-Zumari (39) Aya:(42) MWENYEZI MUNGU huzipokea roho zinapo kufa. Na zile zisio kufa wakati wa kulala kwake, Huzishika zilizo hukumiwa kufa, (na huzirudisha nyengine mpaka ufike wakati uliowekwa.) HAKIKA katika haya bila shaka zipo Ishara kwa Watu wanao Fikiri./(Mwisho wa Tafsiri) 1)Hapa! ALLAH(s,w) anatutazamisha sisi tuone Uweza WAKE YEYE ALLAH(s,w) na Kutuhabarisha Ghaibu kuhusiana na Roho Ya Mwenye kulala usingizi na ya Yule mwenye kufikwa na Maiti(kifo). a)Wakati wa kulala Roho uchukuliwa na kudhibitiwa na Yeye ALLAH(s,w),na uhirudisha hiyo Roho kwa yule ambae wakati wake wakufa bado(ilaa Ajalin Mmusama). b)Na kwayule ambae wakatiwake umefika,ufa usingizini kwa kutorejeshewa Roho yake kwa kuwa wakati wake umefika. 2)Ifahamike QUR'AN ni muongozo kwa Watu,(Al-Baqarah:(aya 1-17) a)Tuisome kwania safi,Wallahi ALLAH(s,w) atakufinulia maana na ukweli wa Maneno YAKE. b)Kuisoma,kujifunza ni Ibada kubwa na chanzo cha uongofu. 3)Tuchukue taadhari kwasisi kujifunza Dini yetu ambayo ndiyo nusra yetu hapa na kesho Akhera. -ALLAH atusamehe na atuongoze kwa Rehma Yake kwa jitihada tutakayoifanya.Amin Ya-Rabb
❤
احبك في الله
Nakupenda sana sheikh wangu Ajili ya Allah♥️
SUBHANALLAH