BRELA ONLINE TV
BRELA ONLINE TV
  • Видео 247
  • Просмотров 131 929

Видео

FAHAMU BRELA ILIPOTOKA, ILIPO SASA NA INAPOELEKEA
Просмотров 5814 дней назад
FAHAMU BRELA ILIPOTOKA, ILIPO SASA NA INAPOELEKEA
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA TATU
Просмотров 4614 дней назад
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA TATU
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA TANO
Просмотров 1514 дней назад
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA TANO
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA NNE
Просмотров 814 дней назад
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA NNE
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA PILI
Просмотров 1314 дней назад
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA PILI
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA KWANZA
Просмотров 3014 дней назад
HISTORIA YA BRELA SEHEMU YA KWANZA
BRELA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA KATIKA MAONESHO YA MADINI MKOANI GEITA
Просмотров 88Месяц назад
BRELA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA KATIKA MAONESHO YA MADINI MKOANI GEITA
ALAMA ZOTE ZA BIASHARA NA HUDUMA ZINASAJILIWA BRELA
Просмотров 74Месяц назад
ALAMA ZOTE ZA BIASHARA NA HUDUMA ZINASAJILIWA BRELA
MCHONGO WA MSAMAHA WA ASILIMIA 50%
Просмотров 220Месяц назад
MCHONGO WA MSAMAHA WA ASILIMIA 50%
BRELA INAENDELEA KUWEZESHA WABUNIFU KUANZIA NGAZI YA CHINI HADI VYUO VIKUU
Просмотров 982 месяца назад
BRELA INAENDELEA KUWEZESHA WABUNIFU KUANZIA NGAZI YA CHINI HADI VYUO VIKUU
BRELA YATAKIWA KUWALINDA WABUNIFU, WANUFAIKE NA BUNIFU ZAO
Просмотров 592 месяца назад
BRELA YATAKIWA KUWALINDA WABUNIFU, WANUFAIKE NA BUNIFU ZAO
BRELA IBORESHE MAHUSIANO NA TAASISI ZINGINE - MHE. WAZIRI DKT. JAFO
Просмотров 502 месяца назад
BRELA IBORESHE MAHUSIANO NA TAASISI ZINGINE - MHE. WAZIRI DKT. JAFO
BRELA YATAKIWA KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA NCHINI
Просмотров 522 месяца назад
BRELA YATAKIWA KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA NCHINI
BRELA KUWA LANGO LA WAFANYABIASHARA TANZANIA
Просмотров 1062 месяца назад
BRELA KUWA LANGO LA WAFANYABIASHARA TANZANIA
MDAU WA BRELA AKIELEZEA SABABU YA KUSAJILI JINA LA BIASHARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE
Просмотров 1313 месяца назад
MDAU WA BRELA AKIELEZEA SABABU YA KUSAJILI JINA LA BIASHARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE
ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA MHE. BALOZI DKT. JOHN SIMBACHAWENE
Просмотров 443 месяца назад
ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA MHE. BALOZI DKT. JOHN SIMBACHAWENE
MSAMAHA WA ADA YA UWASILISHAJI WA NYARAKA ZA KAMPUNI ZILIZO SAJILIWA KABLA YA MWAKA 2018
Просмотров 1933 месяца назад
MSAMAHA WA ADA YA UWASILISHAJI WA NYARAKA ZA KAMPUNI ZILIZO SAJILIWA KABLA YA MWAKA 2018
FAIDA ZA KUSAJILI ALAMA ZA BIASHARA na HUDUMA
Просмотров 733 месяца назад
FAIDA ZA KUSAJILI ALAMA ZA BIASHARA na HUDUMA
ASANTE MDAU WETU WA THAMANI TUKUTANE 2025 NDANI YA SABASABA
Просмотров 434 месяца назад
ASANTE MDAU WETU WA THAMANI TUKUTANE 2025 NDANI YA SABASABA
ZIJUE SIFA KUU TATU ZA HATAZA
Просмотров 394 месяца назад
ZIJUE SIFA KUU TATU ZA HATAZA
BRELA BADO TUPO SABA SABA
Просмотров 614 месяца назад
BRELA BADO TUPO SABA SABA
TUKUTANE SABA SABA 2024
Просмотров 684 месяца назад
TUKUTANE SABA SABA 2024
BRELA TUPO SABASABA KWA AJILI YAKO
Просмотров 294 месяца назад
BRELA TUPO SABASABA KWA AJILI YAKO
KAZI INAENDELEA KATIKA MAONESHO YA 48 YA SABASABA
Просмотров 384 месяца назад
KAZI INAENDELEA KATIKA MAONESHO YA 48 YA SABASABA
BRELA YAWATAKA WAFANYA BIASHARA KUJISAJILI
Просмотров 1005 месяцев назад
BRELA YAWATAKA WAFANYA BIASHARA KUJISAJILI
IP DAY 2024 HIGHLIGHTS
Просмотров 745 месяцев назад
IP DAY 2024 HIGHLIGHTS
Tanzania yashiriki mkutano wa kidiplomasia ukamilishwaji wa sheria ya kimataifa ya Miliki Ubunifu
Просмотров 876 месяцев назад
Tanzania yashiriki mkutano wa kidiplomasia ukamilishwaji wa sheria ya kimataifa ya Miliki Ubunifu
World Intellectual Property Day 2024 Message from WIPO Director General Daren Tang
Просмотров 356 месяцев назад
World Intellectual Property Day 2024 Message from WIPO Director General Daren Tang
SIKILIZA USHUHUDA WA FRANK MUSA
Просмотров 876 месяцев назад
SIKILIZA USHUHUDA WA FRANK MUSA

Комментарии

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 22 дня назад

    Kuhusu kampuni za usafilishaji wa abiria je natakiwa kusajiri brela au sumatla?

  • @rizikitimoth8278
    @rizikitimoth8278 29 дней назад

    Biashara mpya unaombwa mkataba wa pango naendaje kupanga office na sijajua kama ntapata vibari au la

  • @Swahili_used_items4
    @Swahili_used_items4 Месяц назад

    Mbona mm inagoma kuload data za NIDA?

  • @TheBestFruitJuice
    @TheBestFruitJuice Месяц назад

    Je jina la biashara linaweza kuazimishwa na mtu mengine?

  • @uchumitalks3487
    @uchumitalks3487 Месяц назад

    Hii imekaa poa sanaaa

  • @GodlistenAgustino
    @GodlistenAgustino 2 месяца назад

    Vigezo vya neno siri kwanye usajili wa nifa online

  • @samuelseverua
    @samuelseverua 2 месяца назад

    mbona gharama haziongelei?

  • @CharlesTarimo-r5r
    @CharlesTarimo-r5r 2 месяца назад

    Nitoboa na Mimi niwe na kampuni Asante brella

  • @CharlesTarimo-r5r
    @CharlesTarimo-r5r 2 месяца назад

    Nitoboa na Mimi niwe na kampuni Asante brella

  • @EngeraNdosi
    @EngeraNdosi 2 месяца назад

    3:01

  • @EngeraNdosi
    @EngeraNdosi 2 месяца назад

    Durufpct2021

  • @Mr_delivery_dsm
    @Mr_delivery_dsm 2 месяца назад

  • @amani-y2o
    @amani-y2o 2 месяца назад

    Nahitaji kutengeneza brela

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 2 месяца назад

    Fanyeni kitu mtandao wenu uko ICU

  • @patrickmushi5421
    @patrickmushi5421 3 месяца назад

    Mtu alie-edit hii video vp uko BRELA na kazi Bado anayo

  • @Msofficexplorer
    @Msofficexplorer 3 месяца назад

    izo ziko kundi B

  • @joelalphoncebanka-ky6yu
    @joelalphoncebanka-ky6yu 3 месяца назад

    Je biashara huduma ya kifedha yaani mpesa iko katika kundi gani?

  • @joelalphoncebanka-ky6yu
    @joelalphoncebanka-ky6yu 3 месяца назад

    Mko vizuri sana❤❤❤😂

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 4 месяца назад

    TUNAETAJI VIDEO TUTORIALS YA KUJIFUNZA KUTUMIA SYSTEM YA BRELA , UTASAIDIA SANA WANAINCHI

    • @brelaonlinetv
      @brelaonlinetv 3 месяца назад

      SAWA TUMEPOKEA TUNAFANYIA KAZI

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 4 месяца назад

    Naomba namba yako

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 4 месяца назад

    Asante

  • @Khadija-cd6gc
    @Khadija-cd6gc 4 месяца назад

    Amen

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 4 месяца назад

    VIDEO HII INAELEZEA UMUHIMU WA KUSAJILI NEMBO YAKO, LAKINI TUNAHITAJI VIDEO NYINGINE INAYOTUONYESHA JINSI INAYOFANYIKA, SAWA KWENYE MFUMO WAKO, REKODI SCREEN YAKO YA COMPUTER TU UNAPOIFANYA.

  • @EmmanueljohnUpepo
    @EmmanueljohnUpepo 5 месяцев назад

    Broo naitajii kufanyaa bisharaha ya mikopo je vigezo vinakuaje ety

  • @sirielrichard7134
    @sirielrichard7134 5 месяцев назад

    Asante boss Mimi Nina biashara na Nina tawi ambalo limetokana na biashara hii ya Kwanza Jina ni hili moja natumia na na biashara hii kubwa na ndg zinafana Sasa ulipaji wa leseni hapa inakuwaje jamani.

  • @HenryOkellopaschal
    @HenryOkellopaschal 5 месяцев назад

    Samahani naomba namba ya watsp

  • @DanielSamike
    @DanielSamike 5 месяцев назад

    Kwakeli mi huwa nashangaa sana yaaa kusali kampuni tuuuvinachukua mpaka siku 2

  • @AnnaMgala-n6g
    @AnnaMgala-n6g 6 месяцев назад

    Watangazaji ata awaelewi jaman sijui wanafeli wapi wanaeleweshwa ila amna kitu

  • @FURAHA-BESTt
    @FURAHA-BESTt 6 месяцев назад

    One day ntafungua kiwanda kikubwa zaid tanzania

  • @JacksonShirima-mw5ui
    @JacksonShirima-mw5ui 6 месяцев назад

    Naombeni mtusaidie namna ya kusajili biashara kwa njia ya mtandao

  • @limo_7
    @limo_7 6 месяцев назад

    Baada ya kujaza fomu no 128 nini kinafuata...? Nawasilisha kwa njia gani, naomba msaada wa maelezo ya kutosha juu ya hili

  • @TonyMbanda
    @TonyMbanda 7 месяцев назад

    Asante kwa kunipa haya maarifa

  • @MgasaEmanoeli
    @MgasaEmanoeli 7 месяцев назад

    Huyu ni mwanaume au mbona sauti ya kike kabsa

  • @AMOSKAMUGISHA-uu8st
    @AMOSKAMUGISHA-uu8st 7 месяцев назад

    👍

  • @AbelChrispin
    @AbelChrispin 7 месяцев назад

    hizi kampuni za mkopo zinaumiza wanachi hamuon

  • @AbelChrispin
    @AbelChrispin 7 месяцев назад

    hawa wanotoa mkopo mtandao mbona wanwaumiza panache inamana hamuoni

  • @STRONGWOMAN-l3b
    @STRONGWOMAN-l3b 8 месяцев назад

    👍

  • @FurahaKalunde
    @FurahaKalunde 8 месяцев назад

    Je sisi tusio na kitambulisho cha NIDA je tunafanyaje?

  • @nshashisaguda
    @nshashisaguda 8 месяцев назад

    Je usafirishaji wa mazao kutoka eneo moja kwenda eneo jingine inahitajika leseni

  • @festokaduma4679
    @festokaduma4679 8 месяцев назад

    Somo nzuri

  • @EmmanuelWilliam-q8c
    @EmmanuelWilliam-q8c 8 месяцев назад

    Asante sana,naje unaweza sajili jina la biashara na badae kubadilisha kuwa kampuni?

  • @kichaukatanzania4366
    @kichaukatanzania4366 9 месяцев назад

    Hayo maandisho ya maelekezo ni madogo mno.

  • @raframs.stationery
    @raframs.stationery 10 месяцев назад

    Good👍👍

  • @Anza_tz
    @Anza_tz 11 месяцев назад

    Kwa wote mnaosoma ujumbe huu natumai muda mnasoma ujumbe nitakua nimeshatoboa kimaisha lakini na nyinyi pia nawaombea wote tutoboe kwa pamoja tule mema ya nchi Amina.

  • @Petro_mwamlima.01
    @Petro_mwamlima.01 11 месяцев назад

    Hii ni video nzuri sana, moja ya video bora kuitazama kwa mwaka huu 2023. Elimu kubwa sana juu ya milki bunifu imerahisishwa sanaa na kueleweka kwa urahisi. Lakini nadhani kuna haja yakuleta video nyingine, mtuambie kuna msaa gani wabunifu wanapewa pale wanapokuwa na bunifu na hawajui mambo yakisheria. Je tunaweza kuwa na Inventor Assistance Program kwa wabunifu wasiojua sheria na wasio na pesa yakulipa wanasheria kama walivofanya WIPO? Sambamba na hilo, umesema kuwa mtu anaweza kulinda ubunifu wake nchi tofauti tofauti, ni jambo zuri, lakini ukijaribu kukagua tovuti ya WIPO, sisi kama Tanzania hatupo kwenye Inventor Assistance Program, kuna jambo lolote linawezakufanyika tukawepo ili kuongeza chachu ya bunifu na milki bunifu za kimataifa? Tafadhari rejea hapa www.wipo.int/iap/en/ . Nadhani kwa sasa BRELA inafanya vizuri zaidi kuifikia jamii hususani sisi vijana wabunifu, hongereni.

  • @alexlemanga3393
    @alexlemanga3393 11 месяцев назад

    nikijaribu kuandika jina la kampuni naambiwa siyo sahihi nifanyaje hapo?

  • @EmmyMollel-vf2nq
    @EmmyMollel-vf2nq 11 месяцев назад

    Nataka kusajili ila biashara yangu ni shulee itafaa

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 Год назад

    Dada naomba no yako

  • @ndakindaki2333
    @ndakindaki2333 Год назад

    Yaan kumbe kuna umuhimu wa kufungua kampun jaman hapa lazma nipambanee ahsant sana brela

  • @klee98727
    @klee98727 Год назад

    Hakika mume nifunguwa akili nimepata point kubwa Sana juu ya logo yangu ya biashara na uthamani wake katika kuilinda biashara yangu.