Jack Benjamin
Jack Benjamin
  • Видео 20
  • Просмотров 23 328

Видео

Cover (Jack Solo) Congolese Guitar
Просмотров 183День назад
Cover (Jack Solo) Congolese Guitar
Jack Benjamin -Bado Ft Catherine Benjamin(Official Video)
Просмотров 1,8 тыс.14 дней назад
Produced by Jack Pro Directed by Jack Pro For more Information text 816-291-7034
Jack Benjamin - tusamehe Ft Feby Og (official video)
Просмотров 2,4 тыс.Месяц назад
Kwasababu ya matatizo ya dunia iyi, wengi wame msahau mungu naku tenda yale ambayo mungu ataki Iła tuna omba mungu atusamehe. Produced by Jack Pro Directed by Jack Pro Shot by Spy and Le Jeune premier silambien Written by Jack Benjamin
Jack benjamin - Mniombee (Official Video)
Просмотров 7429 месяцев назад
Produced by Jack Pro Directed by Raban
Heri Ya Mwaka Mpya 2025- Washikala Lutengya Benjamin
Просмотров 694Год назад
Heri Ya Mwaka Mpya 2025- Washikala Lutengya Benjamin
Jack Benjamin Ft Alpha Mwana Mtule - Nakumisi Yo (OFFICIAl VIDEO)
Просмотров 2,1 тыс.2 года назад
Jack Benjamin Ft Alpha Mwana Mtule - Nakumisi Yo (OFFICIAl VIDEO)
Subira By Jack Benjamin
Просмотров 4582 года назад
Subira By Jack Benjamin
Usiliye By David Rajabu
Просмотров 7553 года назад
Usiliye By David Rajabu
Ndugu Yangu By Jack Benjamin
Просмотров 8 тыс.4 года назад
Ndugu Yangu By Jack Benjamin

Комментарии

  • @zoits.1319
    @zoits.1319 3 дня назад

    Very cool.

  • @ShabaniObedi
    @ShabaniObedi 4 дня назад

    Nakuku balisana my Sister

  • @ShabaniObedi
    @ShabaniObedi 5 дней назад

    ruclips.net/video/z5r6avX5zLY/видео.htmlsi=yqhb_qCqfJcLF94o

  • @olomwenekasengesenge
    @olomwenekasengesenge 6 дней назад

    Papa huko na akili nyingi sana unafaa sana kwa mawazo yote huliyo towa. Ni meyaunga mkono mawazo yako. Hii channel yako hiendelee kusafisa ubongo wa wa kongomani. Huu ndoo uzalendo.

  • @Jeanpaulsumbu2024
    @Jeanpaulsumbu2024 7 дней назад

    Ndugu Washikala,asante saana kwa uchambuzi wako,ingekuwa wakongomani wote wanayo mawazo kama wewe,kongo ineligeuka Allemagne d'afrique mimi ni nduguyako mzalendo ASSANI SUMBU KAPOLO nakushukuru nikiwa apa OTTAWA CANADA

  • @Hassan-gq3ft
    @Hassan-gq3ft 7 дней назад

    Hongera sana mze wangu kwa kutowa maoni yako na kufafanuwa zaidi kwa lugha ya kiswahili ili watu wa nyumbani fizi waelewe kiundani Mambo yanayo endelea ndani ya inchi

  • @RaymondMaleloSungura
    @RaymondMaleloSungura 7 дней назад

    Safi sana ndugu Washikala kwa maoni yako . Kumbuka BRUNO.

  • @barakafizitv2632
    @barakafizitv2632 8 дней назад

    ningeomba sana kipindi hiki kiendelee usiishie hapo uzidi kupandisha vitu kwenye account hii kama maneno hayo uliyoyaongea hapo🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️

  • @rashidibitendo148
    @rashidibitendo148 8 дней назад

    Ujumbe wangu Kwa waKongomani. Ninge waomba wakongomani kwa pamoja tusikubali kudanganywa na maoni ya watu wanao rubuni fikra zetu, cha muhimu tuipende nchi yetu kwa kumweshimu na kumuhunga raisi wetu mkono ili turekebisha hiyo katiba maana hiyo ndo moyo wa nchi yetu ya Congo unao gawa damu katika mishipa tafauti ya Province zetu, hiyo katiba ikiwa inaumwa na nchi nzima itakua inaumwa. " linda sana katiba ya nchi kuliko vyote uvilindavyo maana ndipo zitokazo chemchemi za uzima wa nchi yetu Congo. ling, Mithali 4:23

  • @rashidibitendo148
    @rashidibitendo148 8 дней назад

    Asente sana Mweshimiwa Washikala Lutengya kwa maoni yako yanayo sisimua isia za ndugu zetu Wakongomani, Mungu wangu Yesu Kristo akuzidishie kuona mbali na kuwataarifu ndugu zako katika lugha yetu ya kiswahili ili watu waelewe kinacho endelea katika nchi yetu. Ubarikiwe sana katika jina la Bwana Mungu aliye Mwokozi wetu Yesu Kristo Amena.

  • @imbkatanaboy5757
    @imbkatanaboy5757 8 дней назад

    Akili inaitajika ❤️

  • @balebangamakamba5167
    @balebangamakamba5167 8 дней назад

    Hongera sana mkuu kwa mawazo haya. Hili ni wazo la maana na nimsaada mkubwa kwa wanainchi wetu.

  • @francoiswangandu5523
    @francoiswangandu5523 8 дней назад

    Hongera sana mzee, Hiyo inaonyesha kazi. Mtazamo na uchambuzi wako ni mzuri kweli, ndi kazi sasa hiyo. Mungu akutie nguvu na akupe maono zaidi na ujasiri wa kuyatoa kwa watu ili wakujuwe na wewe. Video kama hizi ziendelee kabisa ili kuokoa wengine

  • @KuombaUmcChoir
    @KuombaUmcChoir 8 дней назад

    Mwakole manga ❤

  • @binheritieralamandataraja
    @binheritieralamandataraja 8 дней назад

    🙏🙏 Aksanti sana ndugu Mweshimiwa #Mpastori_Washikala kwa ufafanuzi mzuri sana . Mimi kama Mwana sheriya katika mafunzo pa LUBUMBASHI, nakubaliana Na maneno yote unayo yaongeleya hapo. ❤NB: hacha basi niseme wala niongezee jambo moja.: #kuhusu kipengele cha 10 Leo tumeona wakongomani waliyo inje ya inchi wali chagua Félix. Sasa swali ni moja kwa nini kuchaguliwa Na wakongomani wa inje ya inchi Na wakati wao si wakongomani kwani Congo akuna watu wa pacha la ukabila❓ Ni mengi Ila ndo kama comment yangu Iyo . Mwakole manga Que vive fizi Que vive espace itombwe Que vive Mboko Que vive village LÙAMBA Alamanda Taraja Bin Héritier LÙAMBA IS Home/ fizi

  • @benjaminabisemba5331
    @benjaminabisemba5331 9 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @benjaminabisemba5331
    @benjaminabisemba5331 10 дней назад

    Hallelujah sana kweli 🙏

  • @sabatoager
    @sabatoager 10 дней назад

    mapenzi yanauma sana

  • @ezekielmeshack8387
    @ezekielmeshack8387 13 дней назад

    Amen ❤

  • @FebyOgTz
    @FebyOgTz 15 дней назад

    Kazi kubwa blood ❤️

    • @jackp8760
      @jackp8760 15 дней назад

      Asante blood 🩸

  • @alengaakili9619
    @alengaakili9619 17 дней назад

    Atari sana NYUMBU KAKADADAZI 🎉MMEUPIGA MWINGI NYUMBU NYIE😂

  • @imbkatanaboy5757
    @imbkatanaboy5757 18 дней назад

    Sija kata tamaaa...❤❤🎉

  • @samora324
    @samora324 18 дней назад

    Mungu awape nguvu

  • @IMANIABEID
    @IMANIABEID 19 дней назад

    Nice❤

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      I appreciate you

  • @Bombe_kc
    @Bombe_kc 19 дней назад

    👏🏼

  • @KizaFelix-dt4ei
    @KizaFelix-dt4ei 19 дней назад

    Umeweza wangu ❤❤🎉

  • @ZabronMshikana
    @ZabronMshikana 19 дней назад

    Kali

  • @EtoShipola
    @EtoShipola 19 дней назад

    Hallelujah 🎉

  • @Jonathanabedinego
    @Jonathanabedinego 19 дней назад

    Mungu a bariki kazi zako

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      asante sana kaka

  • @machozibachinge8626
    @machozibachinge8626 19 дней назад

    My favorite songs 🎵

  • @christopherbilly1190
    @christopherbilly1190 19 дней назад

    Hao waganga wachawi me hata siwajuw namuamin Mungu ✨👋🧏🏻‍♂️🎤🙏

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Kweli kaka🙌🙌

  • @rashidiabongyo
    @rashidiabongyo 19 дней назад

    Mpewe mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉mahisha ni foleni

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Tunapambana na maisha Asante sana🙌🙌

  • @ShukuruDelose
    @ShukuruDelose 19 дней назад

    ❤❤❤❤ amen

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Amen 🙏🏿 ❤

  • @LaurentLeader-iw8ez
    @LaurentLeader-iw8ez 19 дней назад

    Haya maisha ni folenii 🎙️ Ya jack merciiiii 🔥🔥

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Yaaa Jack 😂Asante kaka Iyo kweli life ni foleni

  • @Rusia-b3m
    @Rusia-b3m 19 дней назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @KavumuGLOBALTV
    @KavumuGLOBALTV 19 дней назад

    Mungu wangu ni dereva atanifikisha wherever 🔥🔥

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Yeye ndo dereva honestly 🙌🙌

  • @BukuruZona
    @BukuruZona 19 дней назад

    Keep move up sana🎉

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Asante sana 🙌🙌🙌

  • @Leonjeanpierre-yo3xi
    @Leonjeanpierre-yo3xi 19 дней назад

    Amen San ❤

  • @BukuruZona
    @BukuruZona 19 дней назад

    Umetusha sana dada yangu❤

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Amesema asante sana

  • @KuombaUmcChoir
    @KuombaUmcChoir 19 дней назад

    Oui oui..good job..Tata

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Asante mwamba🙌🙌

  • @MasokaJiko
    @MasokaJiko 19 дней назад

    Keep it up baba ❤❤❤

    • @jackp8760
      @jackp8760 19 дней назад

      Thanks kindness ❤️

  • @EuniceMariki
    @EuniceMariki 29 дней назад

    Keep going see you at the Top 💦

    • @jackp8760
      @jackp8760 29 дней назад

      Thank you princess

  • @LoyRiziki
    @LoyRiziki Месяц назад

    Amen 🙏❤

  • @baruanimwenebatu8656
    @baruanimwenebatu8656 Месяц назад

    Mungu azidi kuwa pomoja nawe. Barikiwa sana

  • @Annettefit
    @Annettefit Месяц назад

    Amen❤❤

    • @jackp8760
      @jackp8760 Месяц назад

      Thanks anne ❤️

  • @sarahmwambaofficial6010
    @sarahmwambaofficial6010 Месяц назад

    Kazi poa sana! ❤

  • @wilondjamlumbulwadaudi9104
    @wilondjamlumbulwadaudi9104 Месяц назад

    Seen by wilondja mlumbulwa daudi

  • @MireilleKamabaragata
    @MireilleKamabaragata Месяц назад

    Mwenyezi mungu azidi kuwaongoza kwakila atua Mubarikiwe 🎉🎉❤

  • @igwejoseph
    @igwejoseph Месяц назад

    Yes sir 😌🔥🙏🏾🤴🏿

    • @jackp8760
      @jackp8760 Месяц назад

      Igwe kaka🙌🙏🏿🙏🏿

  • @Bombe_kc
    @Bombe_kc Месяц назад

    Praise God.