- Видео 443
- Просмотров 53 471
Samia TV
Танзания
Добавлен 9 апр 2024
Sera Bora za Uwezeshaji Katika Sekta ya Fedha
Kufanikiwa kwa sekta ya fedha nchini kunaelezwa ni kutokana na matokeo ya sera bora za uwezeshaji wa uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita DKT Samia Suluhu Hassan kwenye kutoa fulsa za watanzania kuanzisha mifuko na biashara mpya.
Prof. Mohammed Warsame Mkurugenzi iTrust Finance limited akieleza namna Nchi ya Tanzania imeweza kuweka rekodi barani Afrika kwa kuzindua mifuko mitano ya uwekezaji (unit Trust )wa pamoja ambayo watanzania wanaweza kuwekeza kwa kiwango kidogo cha shilingi laki moja kwa namna ya hisa na hati fungani.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Prof. Mohammed Warsame Mkurugenzi iTrust Finance limited akieleza namna Nchi ya Tanzania imeweza kuweka rekodi barani Afrika kwa kuzindua mifuko mitano ya uwekezaji (unit Trust )wa pamoja ambayo watanzania wanaweza kuwekeza kwa kiwango kidogo cha shilingi laki moja kwa namna ya hisa na hati fungani.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Просмотров: 1
Видео
Fursa kwa Watanzania Kuanzisha Biashara Kupitia Mifumo ya Kimtandao Kusomana
Просмотров 27 часов назад
Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) wampongeza Rais wa awamu ya Sita DKT. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fursa kwa watanzania kuanzisha biashara mpya na juhudi zake za kuhakikisha usalama wa mifumo ya kimtandao inayowezesha kusomana kwa mifumo ya serikali, mifumo ya mabenki na taasisi mbalimbali. Gilead JohnTeri Mtendaji Mkuu wa kituo cha uwekezaji ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa mifuko mita...
Agha Khan Kuendelea Kushirikiana na Serikali Kwenye Utafiti - Mabadiliko ya Tabia ya Nchi
Просмотров 18 часов назад
Makamu Mkuu wa chuu Agha Khan (AKU) Dkt.Sulaiman Shahabuddin amesema wataendelea kushirikiana na serikali kwenye maswala ya utafiti kwenye maswala ya mabadiliko ya tabia nchi na athari mbaya ya mabadiliko ya tabia nchi ambayo yanaathiri Tanzania, Afrika na Ulimwengu kupitia mkataba wa mashirikiano wa vyuo vitano ( Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST),chou kikuu...
Wananchi Wa Moshi Vijijini Kunufaika Na Mradi Wa Uchimbaji Visima 900 Nchi Nzima
Просмотров 18 часов назад
Huduma ya maji safi na salama yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Ni wendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900 nchi nzima. Mwezi Novemba 10, 2024 mtambo wa kuchimba kisima kirefu umechimba kisima Kata ya Mabogini kitongoji cha Shabaha. Maji ndani ya mita 95 kwa wananchi. Pakua Saamia App kupitia Play Store au App Store #samiaap...
Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Kiwango cha Kimataifa (SGR)
Просмотров 510 часов назад
Hadi kufikia mwezi Septemba 2024 Serikali imeshawekeza kiasi cha Dola za Kimarekani Bilioni 10 (sawa na TZS trilioni 23) katika Ujenzi wa Reli ya Kisasa kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR) Tangu ujenzi wa mradi huu ulipoanza tarehe 02 Mei 2017. Hadi kufikia Septemba 2024, ulazaji wa reli ya kati kwa kiwango cha kimataifa umefikia kilometa 625.84, ikilinganishwa na lengo la kilometa 1,219 mwaka 2025...
Ushirikiano wa Kitaaluma wa Vyuo Vitano
Просмотров 22 часа назад
Naibu Makamu Mkuu wa Taasisi Taaluma, Utafiti na Ubunifu (NM-AIST) Prof. Anthony Mshandete amesema wamesaini mashirikiano ya kwanza ya kitaaluma ya vyuo vitano ikiwa ni mwendelezo wa kuifanya taasisi hiyo kuwa bora kwenye maswala ya utafiti kufuatia juhudi mbalimbali za serikali za uchakataji wa data kwa kutumia akili mnemba katika kutatua changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa. Mkataba wa ma...
NJitihada za Rais Samia Katika Kuboresha Elimu Nchini
2 часа назад
Naibu Katibu Mkuu Wizara Elimu Sayansi na Teknolojia amesema Vyuo vikuu Vitano vimesaini makubaliano ya mashirikiano kwenye nyanza za elimu, utafiti na ugani. Ushirikano huo utakaoweza kusaidia matumizi ya miundombinu ya Chuo kimoja kutumiwa na chou kingine. Ikiwa ni jitihada za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwenye maboresho ya elimu yenye uhitaji wa rasilimali kubwa ya vijana wenye elimu na uju...
Ushirikiano wa Kitaaluma Kati ya Vyuo Vikuu Vitano
Просмотров 12 часа назад
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. William Anangisye akieleza namba Chuo cha UDSM na Nchi wanavyoenda kunufaika na utiaji saini wa mashirikiano ya kwanza ya kitaaluma kati ya vyuo vikuu vitano vya;Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST),chou kikuu cha Agha Khan (AKU),Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),chou cha Dar es Salaam na Chuo kikuu cha Simon Fraser (SFU) cah nch...
Rais Samia Akifanya Mazugumzo na Viongozi Mbalimbali
Просмотров 12 часа назад
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi mbalimbali, leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Pakua Saamia App kupitia Play Store au App Store #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
Tulipotoka Tulipo, Mradi wa Maji Same - Korogwe
Просмотров 52 часа назад
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
Tulipotoka Tulipo - Usafiri Dar es Salaam
Просмотров 99 часов назад
Tulipotoka Tulipo - Usafiri Dar es Salaam
Chaguzi za Serikali za Mitaa 2024 na Chaguzi Kuu 2025
Просмотров 314 часов назад
Chaguzi za Serikali za Mitaa 2024 na Chaguzi Kuu 2025
Rais Samia Kuimarisha Huduma za Jeshi la Polisi
Просмотров 414 часов назад
Rais Samia Kuimarisha Huduma za Jeshi la Polisi
Tulipotoka Tulipo - Shule ya Sekondari ya Dkt. Samia Suluhu Hassan
Просмотров 1014 часов назад
Tulipotoka Tulipo - Shule ya Sekondari ya Dkt. Samia Suluhu Hassan
Nishati Safi na Teknolojia ya Kukausha Tumbaku
Просмотров 116 часов назад
Nishati Safi na Teknolojia ya Kukausha Tumbaku
Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni - Mabwepande
Просмотров 419 часов назад
Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni - Mabwepande
Tulipotoka Tulipo Bandari ya Kibirizi Kigoma.
Просмотров 4День назад
Tulipotoka Tulipo Bandari ya Kibirizi Kigoma.
Tulipotoka Tulipo - Hospitali ya Wilaya ya Songwe
Просмотров 2День назад
Tulipotoka Tulipo - Hospitali ya Wilaya ya Songwe
Ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Nchini
Просмотров 3День назад
Ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Nchini
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
Просмотров 17День назад
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
Upatikanaji wa Huduma za Ubingwa Bobezi
Просмотров 214 дней назад
Upatikanaji wa Huduma za Ubingwa Bobezi
Kanisa la AICT Waunga Mkono Agenda Nishati Safi ya Kupikia
Просмотров 314 дней назад
Kanisa la AICT Waunga Mkono Agenda Nishati Safi ya Kupikia
Tulipotoka Tulipo: Uwanja wa Ndege Arusha
Просмотров 614 дней назад
Tulipotoka Tulipo: Uwanja wa Ndege Arusha
serikali inajitahidi hongera
Agawe ela watu awana misingi wanalala njaa😂
Mwenyezi Mungu Mungu azid kumbarik Rais wetu SSH, ampe afya na umri mrefu
Mungu ibarik Tanzania 🇹🇿, Mwenyezi Mungu mbarik SSH. tuweke nia ya kuzalisha ngano kwa wingi naona wa Ukraine wanatuona kama mazuzu waafrica wote
😂😂😂
HONGERA SANA RAISI WETU MAMA SAMIA UNA TEKELEZA KWA VITENDO KIUKWELI MAMA UMEFANYA MAMBO YA MAENDELEO TUNAKUPENDA SANA MITANO TENA 5 MUNGU AKULINDE NA HUSDA WATU WASIYO NA SHUKLANI ❤❤❤❤
Mama umefanya mengi, Mungu akupe afya ili uzidi kutuneemesha sisi Watanzania.
Kazi iendelee
Umefanya kazi kubwa sana mama, Tunakuombea Mungu azidi kukuimarisha ili uzidi kufanya kazi ya maendeleo katika taifa.
Mungu awe nanyi, kazi iendelee,
Kurdos 🎉🎉
Safi
Nipo mtoto wa mama kizimkazi
❤
Huo ujinga kenya uwezi kuufanya ndiyo maana umekuja uku Tanzania kwa sisi mazwazwa wa ccm mbele kwa mbele, hongera
Tanzania Bara ndio wataengezeka. Lakini hapa visiwani Zanzibar watapungua kutokana na mambo ya serikali ya Zanzibar inayowafanyia watalii. Moja wako ni kodi za ovyo. Mfano kuwalipisha bima ya afya ya lazima. Kitu ambacho hizo nchi zinazosifika kwa utalii sana na zina miundombinu mizuri kushinda Zanzibar hazifanyi ujinga huo. Na mengi mengineyo. Hayo ni maneno ya matour operator ambao tumewasikia wakisema wanataka kuhamishia biashara zao za utalii Kenya na Tanzania bara. Sasa sijui Zanzibar itapata nini hapo. Maana inaendekeza tamaa mbele mauti nyuma.t
Safi sana kiongozi
Acha ujing ww
👌👌👌
Lovo you madam president 👑👑✍️
Nimeamini mwakilishi wa East Africa ❤
Kenya hakuna siasa za uchawa..kaona fursa ya uchawa iko TZ..na huyu bibie hachelewi kumpa uwaziri maana hakuna kitu anapenda kama kusifiwa..
Nenda shule kwanza
Safi Sana Kijana, Chawa wa Mama Mpaka Kenya wapo
Uwoo mradi ni wa magu
Sio wa Magufuli ulikuwa tangu Kikwete na kila Rais anajenga sehemu yske
Hovyo wewe kweli mwendo kasi mradi wa jpm?😂😂😂 we mtanzania kweli au, kwahivo kikwete hakufanya kitu haya tufanye na daraja la kigamboni la magu ufurahishe moyo wako
Shule bila waalimu ni sawa na magofu hayana maana yoyote ,tz elimu ni zero education angeajiri waalimu ndio tungeona kafanya kitu sio kujenga magofu
Kamsifu ruto shenzi ww
❤❤