Shirika La Nyumba Zanzibar
Shirika La Nyumba Zanzibar
  • Видео 81
  • Просмотров 28 740

Видео

ZHC KUZINDUA MRADI WAKE WA UJENZI CHUMBUNI
Просмотров 237Месяц назад
ZHC KUZINDUA MRADI WAKE WA UJENZI CHUMBUNI
ZHC KUZINDUZI MRADI WAKE YA UJENZI CHUMBUNI
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
ZHC KUZINDUZI MRADI WAKE YA UJENZI CHUMBUNI
MAENDELEO YA MRADI WA ZHC WA NYUMBA 1293 /94 ILIYOPO DARAJANI (KWA FUNDI ABDUL)
Просмотров 8512 месяца назад
MAENDELEO YA MRADI WA ZHC WA NYUMBA 1293 /94 ILIYOPO DARAJANI (KWA FUNDI ABDUL)
ZHC IMESHIRIKIA KILELELE CHA WIKI YA MASHIRIKA YA UMMA
Просмотров 2202 месяца назад
ZHC IMESHIRIKIA KILELELE CHA WIKI YA MASHIRIKA YA UMMA
ZHC KUTOA MSAADA KWA WATOTO YA YATIMA
Просмотров 262 месяца назад
ZHC KUTOA MSAADA KWA WATOTO YA YATIMA
CHUMBUNI IJAYO NYUMBA ZA BEI NAFUU KUJENGWA
Просмотров 3 тыс.2 месяца назад
CHUMBUNI IJAYO NYUMBA ZA BEI NAFUU KUJENGWA
ZHC IMESHIRIKI ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHOS 2024
Просмотров 1162 месяца назад
ZHC IMESHIRIKI ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHOS 2024
MRADI WA NYUMBA ZA KIKWAJUNI KUSHIRIKISHA KIKAMILIFU WAKAAZI
Просмотров 1,3 тыс.2 месяца назад
MRADI WA NYUMBA ZA KIKWAJUNI KUSHIRIKISHA KIKAMILIFU WAKAAZI
MRADI WA MOMBASA KWA MCHINA UMEKIDHI VIWANGO VYA KIMATAIFA WSHIRIKI WA MKUTANO WA AUHF
Просмотров 3172 месяца назад
MRADI WA MOMBASA KWA MCHINA UMEKIDHI VIWANGO VYA KIMATAIFA WSHIRIKI WA MKUTANO WA AUHF
ZHC KUIJENGA TUNGUU MPYA
Просмотров 1,6 тыс.2 месяца назад
ZHC KUIJENGA TUNGUU MPYA
Maslahi ya wananchi kwenye bei za Nyumba kwanza -ZHC
Просмотров 2982 месяца назад
Maslahi ya wananchi kwenye bei za Nyumba kwanza -ZHC
HAPPY CUSTOMER SERVICE WEEK
Просмотров 603 месяца назад
HAPPY CUSTOMER SERVICE WEEK
HAPPY CUSTOMER SERVICE WEEK 2024
Просмотров 353 месяца назад
HAPPY CUSTOMER SERVICE WEEK 2024
MAKABIDHIANO YA MRADI WA MOMBASA KWA MCHINA
Просмотров 1,8 тыс.3 месяца назад
MAKABIDHIANO YA MRADI WA MOMBASA KWA MCHINA
TANGAZO MUHIMU KWA WAPANGAJI WA ZHC
Просмотров 323 месяца назад
TANGAZO MUHIMU KWA WAPANGAJI WA ZHC
YAJUE MAENDELEO MRADI WA UJENZI WA ZHC DARAJANI MCHANGANI, ZANZIBAR
Просмотров 3,3 тыс.3 месяца назад
YAJUE MAENDELEO MRADI WA UJENZI WA ZHC DARAJANI MCHANGANI, ZANZIBAR
MRADI WA ZHC WA NYUMBA ZA BEI NAFUU KIEMBE SAMAKI, UNGUJA
Просмотров 1953 месяца назад
MRADI WA ZHC WA NYUMBA ZA BEI NAFUU KIEMBE SAMAKI, UNGUJA
TANGAZO LA WAPANGAJI WA ZHC KULIPA KODI KWA WAKATI
Просмотров 243 месяца назад
TANGAZO LA WAPANGAJI WA ZHC KULIPA KODI KWA WAKATI
KATIBU MKUU - WAMM NDG. KHADIJA KHAMIS RAJAB AIPA HEKO ZHC KWA UHAKIKI WA MILKI ZAKE
Просмотров 473 месяца назад
KATIBU MKUU - WAMM NDG. KHADIJA KHAMIS RAJAB AIPA HEKO ZHC KWA UHAKIKI WA MILKI ZAKE
WATENDAJI WA ZHC ZINGATIENI HAKI NA WAJIBU WENU KAZINI
Просмотров 413 месяца назад
WATENDAJI WA ZHC ZINGATIENI HAKI NA WAJIBU WENU KAZINI
KIKAO ZHC NA WADAU MASHEHA WAKIWA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
Просмотров 143 месяца назад
KIKAO ZHC NA WADAU MASHEHA WAKIWA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
KATIBU MKUU - WAMM NDG.KHADIJA KH.RAJAB AIPA HEKO ZHC KWA UHAKIKI WA MILKI ZAKE
Просмотров 543 месяца назад
KATIBU MKUU - WAMM NDG.KHADIJA KH.RAJAB AIPA HEKO ZHC KWA UHAKIKI WA MILKI ZAKE
Wazee CCM waelezea kuridhishwa na mradi wa Nyumba 72 Mombasa kwa Mchina
Просмотров 2373 месяца назад
Wazee CCM waelezea kuridhishwa na mradi wa Nyumba 72 Mombasa kwa Mchina
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
Просмотров 593 месяца назад
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
UCHUNGUZI WA UDOGO (SOIL TEST) KATIKA MRADI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU ZINAZOTARAJIWA KUJENGWA CHUMBUNI
Просмотров 1943 месяца назад
UCHUNGUZI WA UDOGO (SOIL TEST) KATIKA MRADI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU ZINAZOTARAJIWA KUJENGWA CHUMBUNI
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
Просмотров 303 месяца назад
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
Просмотров 373 месяца назад
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
Просмотров 403 месяца назад
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC
Просмотров 423 месяца назад
SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR KUKAA KIKAO NA MASHEHA AMBAO KATIKA MAENEO YAO KUNA NYUMBA ZA ZHC

Комментарии

  • @allysalum5938
    @allysalum5938 6 дней назад

    Kwa mfano unataja na bei maskini aone unafuu wake kama ana uwezo wa kujichanga ajichange kuna shida gani apo

  • @OMARJUMAOMAR-i2v
    @OMARJUMAOMAR-i2v 7 дней назад

    Asalam aleykum Bei gani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 24 дня назад

    Ni nyumva nzuri lakini Kisiwa hicho ni kudofo ingekuwa Bara ingenunuliwa haraka Wanzawote wanakumbilia Bara huko Biashara hakuna ndiyo maana wanataka muungano uvunjike warudie Utumwa wageuzwe kama Samaki na waarabu

  • @mohamedisimai
    @mohamedisimai Месяц назад

    Yaaani kila kitu mnalaumu tu nn sida

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 Месяц назад

    Safi 🎉

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf Месяц назад

    Ccm oyee

  • @JandaalHaqeem
    @JandaalHaqeem Месяц назад

    Ngojeni mwisho ndo kwanza movie inaanza😂

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 Месяц назад

    Na ww jenga zako ugawe bure

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 Месяц назад

    🎉😂 ZANZIBAR WE ARE COMING 😅

  • @abdul-halimkhamis1824
    @abdul-halimkhamis1824 Месяц назад

    Hongera kwa shirika

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y Месяц назад

    Wanafiki wakubwa

  • @allyhassan1147
    @allyhassan1147 Месяц назад

    uko unguja ni mjin tu

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 Месяц назад

    Mnajenga maeneo ya wazi, shughuli za kijamii zitafanyika wp? Pwani au?

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 Месяц назад

    SEMA HAPO KWEMYE BEI NAFUU APO😅😢😂

  • @SamiraMuhanna
    @SamiraMuhanna Месяц назад

    M/mungu akupeni nguvu kwa maendeleo ya zanzibar. Inshaallah

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 Месяц назад

    But very expensive mnafanya jamani ss wa chini huwa mtihani

  • @rashidally1149
    @rashidally1149 2 месяца назад

    Huku Pemba ndio munatudidimisha hasa labda faini tu

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 2 месяца назад

    Mtihan

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 2 месяца назад

    Karume kajenga kawapa wananchi wasio jiweza bure ccm wameamua kujenga wafanye biashara mwananchi hana uwezo ya kula yake ataweza kununua gorofa

  • @kibelaame5178
    @kibelaame5178 2 месяца назад

    Kibure

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 2 месяца назад

    Tumuombea duwa kwa wingi raisi mwinyi leo muda mfupi aliokaa unguja kaibadilisha wako wapi waliopita wame shindwa robo yake alio fanya raisi mwinyi mungu ambariki pamoja na wanawe Amin

  • @amoural-harthy7312
    @amoural-harthy7312 2 месяца назад

    Chumbuni ipo njia ya wapi?

  • @Bobobobo-jr9zr
    @Bobobobo-jr9zr 2 месяца назад

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 месяца назад

    Mtu cha kukila hakijuw ataweza vpi kununua nyumba punguzeni umaskini watu watajenga wenyewe ikiwa kwa mikopo nchi ziliendelea zimejengwa n wananchi

  • @hafidhsaid2562
    @hafidhsaid2562 2 месяца назад

    Nyumba ya vyumba 2-3 ambavyo havizidi sq m150 inayogharimu mamilioni ya mamia si bei nafuu kama munavyojinasibu.Bado sioni mwananchi wa kawaida kuweza kumiliki nyumba hiyo. Hili ni changa la macho tu. Nyumba ya bei ya chini kwa kipimo nilichokitaja angalau ingeharimu milioni 60-70 hapo tungalifahamu.

  • @abdul-halimkhamis1824
    @abdul-halimkhamis1824 2 месяца назад

    Hongera kwa shirika mji utabadilika tunaomba na njia ya chumbuni iengezwe upana bado ni nyembamba

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Kwani hakuna makampuni ya nyumbani Zanzibar mkayapa hizi kazi.

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 Месяц назад

      TUKIPEWA TUNAFANYA UNYAAMBI , WWAPEWE TU WAGENI 😂😂😂🎉🎉

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Kwa mifumo ya smz hili litakufa maana litaenda kwa hasara wazanzibar masikini hawamudu nyumba kwa ml 230 kuenda juu mshahara hadi leo lki 347000

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Nyumba za bei rahisi mbona hamutaji bei acheni siasa za 1990 .Nyumba inayouzwa ml 350 inakuaje kuwa ni ya bei afadhali?

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Nyumba hazituhusu wananchi wa kawaida maana milion 100 kwenda juu ndio bei zenu sasa kwa mshahara wa smz wa lki 347000 anaimudu nani?/ kama sio nyie wenyewe wakubwa na aila zenu.

  • @alirajab921
    @alirajab921 2 месяца назад

    washauza au mshapeyana wenywe kwa wenyewe😂

  • @Yussufjuma-xh3nn
    @Yussufjuma-xh3nn 2 месяца назад

    vzr

  • @NassorOmarDadi
    @NassorOmarDadi 2 месяца назад

    Wanavuruga open space tu ujinga tu kuondoa hewa kuna maeneo mengi mazuri nje y mji but lazima wajenge mjini, mji n huduma tu watu watakuja km huduma zipo makaazi, hospital, shule n soko

  • @alirajab921
    @alirajab921 2 месяца назад

    miiom 180 unafuu gani

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 месяца назад

    SEMA NYUMBA ZETU TUZIKARABATI

  • @SaidIssa-tq3yv
    @SaidIssa-tq3yv 3 месяца назад

    Bei nafuu !!!! Wacheni vituko. Na kufanya istihizai Kwa watu wanyonge . Nyumba ya Bei nafuu ni udongo na kuezekwa makuti ya kumba na milango ya mabati inayouzwa Kwa mabata , sio nyumba hizo unazotangaza , wanunuaji wa nyumba hizo wanajulikana Tena maarufu sana , acheni ubabaifu.

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 3 месяца назад

    Asalamu Alaikum bei ya vyumba 2 na balconi

  • @Mwiny-w4x
    @Mwiny-w4x 3 месяца назад

    Hizo nyumba hakuna Mnyonge hata mmoja atakaepata hapo

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 3 месяца назад

    Wapeni bure tu

  • @ShaabanTech
    @ShaabanTech 3 месяца назад

    Mashaallah

  • @YakoubAliy
    @YakoubAliy 3 месяца назад

    Sio nyumba za Bei rahisi ukisikia hizo Bei kwa wanyonge walio wengi hawahimili ni za wa daraja la wastani wanyonge hamujawakumbuka wanaolipwa laki3 Au 5 na ndio jamii kubwa

  • @NashatAhmed-z2t
    @NashatAhmed-z2t 3 месяца назад

    Wakazi wa Block no 9 bado tunalia na hali iliopo. Viongozi wamekuja lkn hakuna kilichofanyika. Hali ni mbaya sana

  • @AbubakarMuqaddam-f2r
    @AbubakarMuqaddam-f2r 3 месяца назад

    Mbona Pemba hmtufanyii ayo maendeleo jamni

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 3 месяца назад

      Nyinyi wenyewe hamjengi wala hamuuzi kwa watu vimbelembele

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 3 месяца назад

    Karume hajafanya biashara za nyumba alizojenga nyinyi ccm mafisadi mnajenga nyumba kwapesa yamlipa Kodi halafu mnauza je masikini mmewafikiria kwamba hawana pesa kamakashindwa kujenga kibanda ataweza kununua hizo nyumba hivi mtakua mnawawezesha au mnatukandamiza chumba hizo watakao nunua matajiri wawakilishi makatibu wabunge na watu waserekali wenye wazifa mkubwa masikini atabaki kutumbua macho na kuwadanganya Kwa pasali za wali na vitenge hamupo kusaidia wenye Hali Tete

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 4 месяца назад

    tender za kuwapa wa TZ kukuza uwezo tunawapa wachina............

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 4 месяца назад

    Kweli kujenga Unguja tu Pemba aaaa

  • @johnabdillah9531
    @johnabdillah9531 4 месяца назад

    Iyo bei nafuu ndo sh ngapi.

  • @themasimbi2
    @themasimbi2 4 месяца назад

    Kujenga unguja t ila pemba aaah

  • @mudathirbaalawy813
    @mudathirbaalawy813 5 месяцев назад

    Tukija tunataraji bei itakua nafuu kwa kweli kunavutia

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 Год назад

    Mbna hamujatuwekea michoro na ramani ya jengo litakavyokuwa?