- Видео 125
- Просмотров 215 333
TAHA ONLINE TV (TAHA)
Танзания
Добавлен 18 янв 2015
The Tanzania Horticultural Association (TAHA) is a Business Association grouping together all aspects of the Horticulture Industry in Tanzania.
Mission:
“To develop and promote the Horticultural Industry in Tanzania to become more profitable sustainable, and participate more effectively in the development of the country”
Vision:
“A vibrant, prosperous and sustainable horticultural production in Tanzania”.
Values:
Solidarity, Commitment, Cooperation, communication, Economic orientation, Social and environment development

Strengthening food systems by promoting locally available and affordable technologies in Pemba
Feed the Future Tanzania Tuhifadhi Chakula (Let's Save Food) Project continues to strengthen food systems and boost incomes by promoting innovative, locally available, and affordable technologies. Meet Mr Ali Hassan Kombo, an onion farmer from Pemba who built a game-changing storage facility capable of storing 10MT of onions for up to 6 months
Просмотров: 28
Видео
WEBINAR: CRITICAL MARKET ACCESS REQUIREMENTS FOR AVOCADO EXPORTERS
Просмотров 72Месяц назад
FAHAMU ZAIDI SOKO LA CHINA KWA AJILI YA ZAO LA PARACHICHI Je, wewe ni mkulima au muuzaji wa parachichi unayetaka kusafirisha zao la parachichi kwenda soko la China? Usikose kufuatilia Kikao mkakati hiki ili kupata uelewa wa kina kuhusu masharti muhimu ya ufikiaji wa soko la China. Kipindi hiki kitakupa maarifa muhimu yatakayokusaidia kuuza zao la parachichi kwa mafanikio na kukidhi viwango vyot...
Dotto Reston
Просмотров 512 месяца назад
Technology is transforming agriculture! @FeedtheFuture Tanzania Tuhifadhi Chakula (Let's Save Food) project empowers young innovators to create solutions for better post-harvest management.
Soil Analysis Technology
Просмотров 472 месяца назад
Technology is transforming agriculture! @FeedtheFuture Tanzania Tuhifadhi Chakula (Let's Save Food) project empowers innovators to create solutions for better post-harvest management.
Silos and other Post harvest storage and processing facilities
Просмотров 362 месяца назад
Technology is transforming agriculture! @FeedtheFuture 🇹🇿 Tuhifadhi Chakula project empowers young innovators to create solutions for better post-harvest management. #USwithTanzania
Solar dehydrators and PIC Bags
Просмотров 522 месяца назад
Technology is transforming agriculture! @FeedtheFuture 🇹🇿 Tuhifadhi Chakula project empowers innovators to create solutions for better post-harvest management. Listen to Bernadetha from PICS, who develops solar dehydrators. #USwithTanzania
Richard from KIlimokazi
Просмотров 613 месяца назад
Technology is transforming agriculture! @FeedtheFuture 🇹🇿 Tuhifadhi Chakula project empowers young innovators to create solutions for better post-harvest management. One standout is Richard Paul from Kilimo Kazi Group, who develops solar dehydrators. #USwithTanzania
ANNOUNCEMENT OF HORTICULTURAL EXPORT ACCELERATOR PROGRAM (HEAP)
Просмотров 574 месяца назад
ANNOUNCEMENT OF HORTICULTURAL EXPORT ACCELERATOR PROGRAM (HEAP)
Rais wa JMT, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atambua mchango wa TAHA
Просмотров 905 месяцев назад
Tunamshukuru Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan kwa kuendelea kutambua mchango wa TAHA katika kukuza sekta ya Horticulture nchini. TAHA itaendelea kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha sekta hii inakuwa kwa kasi na kila fursa inayotokana na sekta hii inawagusa wakulima na wananchi kwa ujumla. Video: @ikulu_mawasiliano
RECAP: USHIRIKI WA TAHA NA KUTOA ELIMU YA HORTICULTURE KWA WAKULIMA WA KIZIMKAZI NA MAENEO YA JIRANI
Просмотров 1095 месяцев назад
RECAP: USHIRIKI WA TAHA NA KUTOA ELIMU YA HORTICULTURE KWA WAKULIMA WA KIZIMKAZI NA MAENEO YA JIRANI
Faida Matunda na Mbogamboga Zenye Rangi ya Kijani
Просмотров 836 месяцев назад
Faida Matunda na Mbogamboga Zenye Rangi ya Kijani
Faida Matunda na Mbogamboga Zenye Rangi ya Njano
Просмотров 766 месяцев назад
Faida Matunda na Mbogamboga Zenye Rangi ya Njano
UANZISHAJI WA BUSTANI PAMOJA NA MAFUNZO YA KILIMO NA LISHE KWA WANAFUNZI
Просмотров 3156 месяцев назад
Katika kuhakikisha tunatoa elimu ya lishe na kilimo bora katika jamii ili kujenga jamii yenye afya na inayofanya kilimo chenye tija. TAHA inatoa mafunzo ya lishe bora katika shule mbalimbali nchini, wanafunzi hawa wamepewa elimu ya namna ya kuandaa shamba, uchaguzi wa mbegu, utunzaji wa mazao shambani lakini pia ni kwa namna gani mazao haya ya mbogamboga yatawasaidia kupata mlo bora. Elimu hii ...
MSAADA WA VIUATILIFU KWA WAKULIMA WA MAZAO YA VIUNGO, WILAYA YA MUHEZA MKOANI TANGA.
Просмотров 1109 месяцев назад
Katika kuhakikisha wakulima wa mazao ya viungo wanafanya kilimo bora na chine tija ili kuweza kukidhi mahitaji ya solo, TAHA kwa kushirikiana na Serikali ya Halmashauri ya Muheza imetoa msaada wa viuatilifu na elimu ili kutokomeza ugonjwa wa manyauko uliokuwa unashambukia mazao hayo ya viungo. Msaada na mafunzo haya yametolewa kupitia mradi ulioletwa na wadau wa maendeleo SIDA kupitia Serikali ...
MAFUNZO YA KILIMO NA LISHE KWA WANAFUNZI
Просмотров 18710 месяцев назад
MAFUNZO YA KILIMO NA LISHE KWA WANAFUNZI
TANZANIA AVOCADO | PARACHICHI YA TANZANIA
Просмотров 1,6 тыс.10 месяцев назад
TANZANIA AVOCADO | PARACHICHI YA TANZANIA
USHIRIKIANO KATI YA TAHA NA TRADE MARK AFRICA (TMEA)
Просмотров 20410 месяцев назад
USHIRIKIANO KATI YA TAHA NA TRADE MARK AFRICA (TMEA)
KILIMO CHA EMBE SEHEMU YA 2: MBINU BORA ZA UKUZAJI WA MAUA YA EMBE
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
KILIMO CHA EMBE SEHEMU YA 2: MBINU BORA ZA UKUZAJI WA MAUA YA EMBE
KILIMO CHA EMBE SEHEMU YA 1: MBINU BORA ZA UTUNZAJI WA MAUA YA EMBE
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
KILIMO CHA EMBE SEHEMU YA 1: MBINU BORA ZA UTUNZAJI WA MAUA YA EMBE
UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA BUILDING A BETTER TOMORROW - BBT
Просмотров 434Год назад
UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA BUILDING A BETTER TOMORROW - BBT
MAFANIKIO YA MIAKA MITANO YA MRADI WA STRONG
Просмотров 494Год назад
MAFANIKIO YA MIAKA MITANO YA MRADI WA STRONG
MAFANIKIO YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI (B|U|S)
Просмотров 194Год назад
MAFANIKIO YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI (B|U|S)
MAFANIKIO YA MRADI WA KUWAINUA WANAWAKE NA MABINTI - SINGIDA
Просмотров 209Год назад
MAFANIKIO YA MRADI WA KUWAINUA WANAWAKE NA MABINTI - SINGIDA
IFAHAMU TAHA RESEARCH AND INFORMATION CENTRE (TARIC)
Просмотров 2712 года назад
IFAHAMU TAHA RESEARCH AND INFORMATION CENTRE (TARIC)
TAHA YAZINDUA MAFUNZO YA NDIZI KWA WAKULIMA 500 - ROMBO, KILIMANJARO.
Просмотров 3582 года назад
TAHA YAZINDUA MAFUNZO YA NDIZI KWA WAKULIMA 500 - ROMBO, KILIMANJARO.
USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA MRADI WA BBT "BUILDING A BETTER TOMORROW"
Просмотров 5262 года назад
USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA MRADI WA BBT "BUILDING A BETTER TOMORROW"
SCOLASTICA ANAJIVUNIA KIPATO NA AFYA BORA KUTOKANA NA KILIMO CHA HORTICULTURE
Просмотров 2152 года назад
SCOLASTICA ANAJIVUNIA KIPATO NA AFYA BORA KUTOKANA NA KILIMO CHA HORTICULTURE
MAFANIKIO YA NDG. SHABANI MUSSA KUPITIA KILIMO CHA HORTICULTURE
Просмотров 6892 года назад
MAFANIKIO YA NDG. SHABANI MUSSA KUPITIA KILIMO CHA HORTICULTURE
Kaka Kyando tuko nyuma yako
Hongera sana
Big up kwa jamaa nchi bila hitaji muhimu la binaadamu la kila siku ni nothing.
Wizara ya Kilimo wasaidieni wakulima nchi hii itakuwa na matajiri wengi sana na watu wote watapata lishe bora Umri wa kuishi utapanda
Sio kirahisi kiivo
Hakika
Jirani yangu huyu tajiri tokea kitambo sana
❤❤❤❤
Namwona Isaack wa TAHA hapo
Huyu si mzee wa Almagatha au namfananisha
TRA pesa zetu njooni mchukue
Acha uongo we mzee, umetumwa eti eee😂 hizo bei unataja ni wauzaji wa reja reja mzigo mkubwa huwezi kuuza papai moja elfu moja
Inategemee na mkoa inawezekana kuwa papai moja sh 1000 kwa shambani
Mnaouliza TAHA wako wapi simu zenu janja haziwasaidii?
😂😂😂😂😂😂😂
Hapo sasa 😂😂😂
Na tego za kuzuwia wizi umefukia kila kona
Hakikisha na Kodi unalipa kulingana na maelezo haya uliyo thibitisha mwenyewe
Acha wivu
Kilimo hakina kodi....imekula kwako na roho yako mbaya
Tatizo la Kodi hawangalii uzalendo na muda gani ulipata hasara mpaka ukainuka.
Asante kwa kunitoa Matongotongo
Naomba kuuliza hiv kwa mkoa wa Pwani haswa maeneo ya Mkuranga maji yanapatikana kwa ajili ya kilimo??
Yanapatkana inategmea sehm na sehm
Nipo biharamulo nimepanda miche 500 ya parachichi nahitaj jifunza zaid kilimo cha parachichi
Msaada kuangusha matunda yanakuwa ya njano
Good job taha
Boss wangu kiando ongera sana kamanda unapambana kila Kona ubarikiwe sana
Mko vzr Kagera karagwe napataje msaada wenu jamani?
Hooongera sana kyando! Mwalemi
Habar.Naomba mawasiliano ya taha.
Naomba namba ya Mr mkopi
Hongera sana
Uko vizur je unaweza tumia mbolea ya samad wakat wakupanda
Habari nawezaje kuwapata
Nauliza parachichi ni makadamia
Nauliza maiya ya parachichi niku mwangililia maji
Asante kwa kunitia moyo sasa nawapataje TAHA
Ni viema sana napenda sana ukulima
Vizur sana boss wangu umebuni jipya na lenye mafanikio
Naitwa Debarah Wisdom
Nakuomba unipatie No Zako za Cm kwani natamani kulima Niko Geita Katoro
Habari, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya uanachama kupitia +255 763 718 849 Asante sana kwa kuwasiliana nasi
Mim naomba nambazako nije kujifunza
Taha.wanapatilana..wapi..kwq.dar
Habari, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya uanachama kupitia +255 763 718 849 Asante sana kwa kuwasiliana nasi
Naomba namba yako ya simu nipo mkoa wa kagera.nataka ushauri wako
Habari, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya uanachama kupitia +255 763 718 849 Asante sana kwa kuwasiliana nasi
Good
Najiungaje na taha
Habari, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya uanachama kupitia +255 763 718 849 Asante sana kwa kuwasiliana nasi
Naomba namba Yako mdogo wangu
Daah naitwa Edwin satock kyando
Mzee ata me nashamba la mikomba heka nne na michungwa paomoja na michenza SEMA nipo semehemu hamna wanununzi mzee
Jiongeze nunua gari kubwa beba mwenyewe peleka sokoni@@alphoncenkandi4420
Nakushuru sana giliad molel Kwa elimu nzuri kilimo
Asante sana
Naomba no yako
Habari, naomba kufahamu unapatikana mkoa gani
Ninahitaji mbegu za parachichi aina ya hass niko marangu
Habari, Tafadhali wasiliana na Bwanashamba wetu Mkoa wa kilimanjaro kuptia mawasiliano +255 757 800 694 Abdon Hamaro
Maelezo mazuri
Karibu sana uendelee kujifunza
Taarifa inachangamoto kidogo, Tanzania kwa sasa inasalisha Tani 40,000 kwa mwaka, usafirishaji 11,200 lengo ni 28,000. Kama usalishaji kwa sasa ni 40,000 1. Lengo lipo chini uzalishaji wa sasa 2. Kuna takriban 28,800 ya parachichi hazina soko kwa sasa
Nimeiona thanks
Asante sana TAHA Kwa hii online Tv.Nilitamani sana siku Moja tuwe na kitu hiki.option ya subscribe siioni
Karibu sana
@@tahaonlinetv8989 Ameni,nimekuwa nikiwasiliana nanyi mara nyingi Asante Kwa huduma ya ushauri na hamasa .
Natumia mint, kama una shida ya kuamka amka usiku kwa ajili ya haja ndogo, ukitumia mint utalala vizuri na kuamka ukiwa vizuri
Napenda Sana kilimo Ahsanteni kwa elimu
Karibu sana uendelee kuijfunza